Dr. Slaa kugombea jimbo la Segerea kupitia CHADEMA

Dr. Slaa kugombea jimbo la Segerea kupitia CHADEMA

From mtatiro, kasema hilo jmbo limeachiwa CDM ila hakumtaja nani anagmbea
 
Hata kama hatumbukii yeye basi Josephine aingie ulingoni tutampa kura zetu. Asihofie kukosa kura. Popote likitajwa jina la Dr. Slaa atapita kwani twajua kuwa aliachia nafasi ili kumkomboa Mtanzania.
 
Ingawa bado haijadhibitishwa lakini ni chanzo toka kwa kada wa kamati kuu chadema kwamba jimbo la segerea ambalo lilipendekezwa liwe CUF ameachiwa Dr. Slaa kuipeperusha bendera ya chama chake CDM.

Tusubiri.

Shost.
Mwacheni babu apumzike hamchoki kumlisha maneno?Yerico kazimwa kama mshumaa lakini bado tu.mwenyewe kasema muda ukifika atasema
 
Kwahiyo Rais na PM wa UKAWA watatoka kanda moja ya kaskazini?!!

Kwani waliotoka Bagamoyo na sumbawanga wametusaidia nini na pamoja na kutoka sehemu tofauti? Haya mambo ya kugawana madaraka yapo ccm! Ndiyo maana baba mwanaasha alikuwa anahangaika kutafuta mawaziri kubalance ukanda matokeo yake anakuja na vichwa maji tupu ili mradi tu eti kila kanda wapate waziri! UKAWA ni uwezo wa mtu siyo mambo ya ukanda na ndiyo maana wanataka katiba iwaondowe mawaziri kuwa wabunge na wawe wanaomba kazi kama kazi zinginee za umma! uko hapo?
 
Kwani waliotoka Bagamoyo na sumbawanga wametusaidia nini na pamoja na kutoka sehemu tofauti? Haya mambovya v kugawana madaraka yapo ccm! Ndiyo maana baba mwanaasha alikuwa anahangaika kuta g uta mawaziri kubalance ukanda matokeo yake anakuja na vichwa maji tupuvili mradi tu eyi nao wapate waziri! UKAWA ni uwezo wa mtu siyo mambo ya ukanda na ndiyo maana wanataka katiba iwaondowe mawaziri kuwa wabunge na wawe wanaomba kazi kama kazi zinginee za umma! uko hapo?
Ipi nafasi ya NCCR na NLD ktk ukawa iwapo rais atoke CDM,makamu CUF through CDM na PM nae atoke CDM?!!! Maana kikatiba tayari mgombea mwenza ni mwanachama wa CDM. Je hakutakuwa na mgawanyo wa madaraka?! Tukiacha habari ya ukanda
 
huko hata kura yangu kapata. masikini rais wangu wa moyoni! mbowe wewe ni mubaya! we acha tu.
 
Kila siku habari mpya utadhani usajili ulaya...
 
Back
Top Bottom