Dr. Slaa kugombea jimbo la Segerea kupitia CHADEMA

Dr. Slaa kugombea jimbo la Segerea kupitia CHADEMA

isingekua tamaa ya urais nilipenda iwe hivi
Prof.lipumba temeke
Dr.slaa kinondoni

Lingekuwa bunge zuri sana kule Mbatia !!na wale wazee wa 'ndiyoooooo' na kujichekeshachekesha namba yao itapungua sana !!!
 
Itakuwa poa sana maana jembe lingine litarudi bungeni
 
Huyu raisi wa mioyo yetu tunamsubiri afunguke tukamchomoe mbowe ofisini,
alichomfanyia katibu wetu,hatutamvumilia.
 
Ndo mmeamua kumtoa Kafara Mtatiro!? Duh. Ama kweli UKAWA = CHADEMA. kwanini msingechukua Ubungo sehemu nyingine ambapo kuna mwanachadema?
 
ACHENI kudanganyana .DR Slaa hana m pango wa kurudi chadema
 
ACHENI kudanganyana .DR Slaa hana m pango wa kurudi chadema

Kama wewe ndiye uliyepewa pesa uzipeleke kwa Dr. Slaa halafu hukuzifikisha ukidhani Dr. Slaa atasusa UKAWA imekula kwako .... jiandae kurudisha pesa za TISS
 
Chama cha kijani wana yule mgombea wao katoka urais, akaenda ubunge iringa mjini nako kakosa naskia ana mpango wa udiwani sasa hivi
 
Ingawa bado haijadhibitishwa lakini ni chanzo toka kwa kada wa kamati kuu chadema kwamba jimbo la segerea ambalo lilipendekezwa liwe CUF ameachiwa Dr. Slaa kuipeperusha bendera ya chama chake CDM.

Tusubiri.

Shost.
Tetesi za kijinga. Uteuzi katika vyama unaanza kwa kura za maoni kwa watu walioomba au kuonyesha nia ya kugombea. Mchakato huo umepita, sasa wewe unakuja na porojo yako mradi tu mmwekee maneno kinywani Dr Slaa! Alishawaomba msitumie jina lake, atakapokuwa tayari ataongea!
 
Watu tunatofautiana kufikiri; hivi Wassira, Makamba, Ngeleja n.k ... walikuwa hawagombanii urais. Tuache hapo mh.J.Kikwete aliposhindwa kupata urais mwaka 1995 hakwenda kugombea Ubunge? Twende kwa Prof Mwandosya aliposhindwa mwaka 2005 hakwenda kugombea Ubunge? Akina Mrema, Mbowe vipi? Kweli za kuambiwa changanya na zako....! weye INNOCENT CHACHA wacha hiyo mambo bana!
 
Last edited by a moderator:
Ingawa bado haijadhibitishwa lakini ni chanzo toka kwa kada wa kamati kuu chadema kwamba jimbo la segerea ambalo lilipendekezwa liwe CUF ameachiwa Dr. Slaa kuipeperusha bendera ya chama chake CDM.

Tusubiri.

Shost.

shost ile series iliishia wap?
 
wanamuandaa kuwa waziri mkuu.... huwezi kuwa pm Bila kuwa na jimbo.
 
Back
Top Bottom