Ingawa bado haijadhibitishwa lakini ni chanzo toka kwa kada wa kamati kuu chadema kwamba jimbo la segerea ambalo lilipendekezwa liwe CUF ameachiwa Dr. Slaa kuipeperusha bendera ya chama chake CDM.
Tusubiri.
Shost.

Lengo ni moja tu,kumuondosha ccm madarakani hivyo hiyo haijalishi
ndoto hizo
LOWASA sio ccm? tena fisadi papa?
Lengo ni moja tu,kumuondosha ccm madarakani hivyo hiyo haijalishi
Halafu ndo next PM wa nchi yetu Tanzania
Hivi Josephine amemfugulia geti? Au Mzee slaa bado yuko likizo?