Dr. Slaa kugombea jimbo la Segerea kupitia CHADEMA

Dr. Slaa kugombea jimbo la Segerea kupitia CHADEMA

kama ni ubunge labda Kawe kwa mdee ambaye anaweza kupta viti maalum kwa kuwa yeyeni mkiti wabawacha!

Naweza kuelewa kama intention ni kumpa PM!
 
Dar ilipaswa kuwaka moto kumchanganya adui mfano-kigamboni zitto-segerea slaa.safari kinondoni etc
 
Ingawa bado haijadhibitishwa lakini ni chanzo toka kwa kada wa kamati kuu chadema kwamba jimbo la segerea ambalo lilipendekezwa liwe CUF ameachiwa Dr. Slaa kuipeperusha bendera ya chama chake CDM.

Tusubiri.

Shost.

Duh!
Sasa hapa sisiemu si wajitoe tu!
 
Back
Top Bottom