Dr Slaa: Kikwete acha kushambulia CHADEMA

Molemo
Mkuu hebu nikuulize ni lini Dr. Slaa alisimama kwenye majukwaa kunadi sera za Chadema? Elimu bure ni moja ya sera za awali ya serikali inayoongozwa na chama makini cha CCM; hiyo sera siyo mpya ni uamuzi tu kurudia utaratibu wa zamani; msipoteze muda na kujinadi na vitu ambavyo hamkuvianzisha tafuteni umaarufu kwenye sera mpya.

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu wangu Chama,

Mbona utata wa uraia wa Katibu mkuu wenu unazungumzwa kila kona ya nchi? Angalieni sana mkuu wangu hili litawaumiza sana.
 
Mie nipo kambi wa wapenda amani najua wewe lazima utakuwa kambi ya Dr Slaa au upo kambi ya Zitto.

Mkuu wangu Ritz

Kati ya Kambi ya Membe na Kambi ya Lowassa ni ipi iliibuka kidedea kwenye uchaguzi mkuu wa ndani ya chama?
 
Mkuu wangu Chama,

Mbona utata wa uraia wa Katibu mkuu wenu unazungumzwa kila kona ya nchi? Angalieni sana mkuu wangu hili litawaumiza sana.
Molemo
Utata wa katibu mkuu ni majungu ya kisiasa yanayopikwa na yule mpishi mkuu wa majungu Tanzania Dr. Slaa; hana jipya la kusema amakuja na uzushi mpya; niliwahi kukujibu Kinana si ameitumikia serikali ya Tanzania bali pia alijitolea maisha yake kulinda mipaka ya nchi hii; wakati Dr. Slaa anahangaika na wanakwaya Kinana alikuwa macho kuitetea heshima ya nchi hii. Uraia wa katibu wetu hauna shaka yoyote.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Huyu Babu Kakono kachanganyikiwa sasa achane na siasa imemshinda akiongea maneno 100 ya kweli 5 yaliyobaki uongo
akashughulikie kesi za unyumba
 
Hiyo Elimu ya bure si ilikuwepo, ni nani aliiondoa? Mkuu wewe ni mtanzania kweli?
kabla hatujaangalia nani aliiondoa kwanza tunatakiwa tuangalie nani aliiweka.Halafu tujue kipindi hicho tulikuwa tunasomesha wanafunzi wangapi na sasa wako wangapi.
 
huyu mzee naye anajichanganya.anataka kutuambia kwamba kikwete huwa anazungumzia zaidi chadema kuliko ccm au kuliko mikakati,mafanikio nachangamoto zinazoikabili serikali! aache usanii aisee! au slaa hataki asikie akitajwa au chama chake kikitajwa na kikwete? kuhusu ccm kuchukuwa sera ya kusomesha wanafunzi bure,kwa hiyo kumbe anachotaka slaaa si watanzania wapate nafuu kwa kusomesha watoto bali anachotaka ni kupingana tu hata kama mwenzako anataka kufanya jambo la msingi?

Huo ndo mwsho wako wa kufikiri!,kichwa chako unakuzia nywele tu na cyo kuflikiria hoja za msingi had za juu!
 
Molemo
Utata wa katibu mkuu ni majungu ya kisiasa yanayopikwa na yule mpishi mkuu wa majungu Tanzania Dr. Slaa; hana jipya la kusema amakuja na uzushi mpya; niliwahi kukujibu Kinana si ameitumikia serikali ya Tanzania bali pia alijitolea maisha yake kulinda mipaka ya nchi hii; wakati Dr. Slaa anahangaika na wanakwaya Kinana alikuwa macho kuitetea heshima ya nchi hii. Uraia wa katibu wetu hauna shaka yoyote.

Chama
Gongo la mboto DSM

cc mapandikiz=mataa ila kama wew.Et majungu unajua maana ya majungu?Kama n uongo why hawakanushi et unawatetea! Ni yale yale kasoro umilik wa ndovu!
 
Last edited by a moderator:
Molemo
Utata wa katibu mkuu ni majungu ya kisiasa yanayopikwa na yule mpishi mkuu wa majungu Tanzania Dr. Slaa; hana jipya la kusema amakuja na uzushi mpya; niliwahi kukujibu Kinana si ameitumikia serikali ya Tanzania bali pia alijitolea maisha yake kulinda mipaka ya nchi hii; wakati Dr. Slaa anahangaika na wanakwaya Kinana alikuwa macho kuitetea heshima ya nchi hii. Uraia wa katibu wetu hauna shaka yoyote.

Chama
Gongo la mboto DSM

Chama
Toa ushahidi kwamba ni Dr Slaa anazungumzia uraia wa Kinana.Vinginevyo wewe ndiye kiwanda cha uongo.
 
Last edited by a moderator:
kabla hatujaangalia nani aliiondoa kwanza tunatakiwa tuangalie nani aliiweka.Halafu tujue kipindi hicho tulikuwa tunasomesha wanafunzi wangapi na sasa wako wangapi.
Serikali makini haiwezi kutumia swala la idadi ya wanafunzi kuwa ni sababu. Vijana walizaliwa wakakuzwa wakafikia umri wa kwenda shule. Serikali lege lege huchagua mambo rahisi na majibu hafifu. Hovyoo!
 
Back
Top Bottom