Dr Slaa: Kikwete acha kushambulia CHADEMA

Dr. Slaa wewe ni mpinzani toka moyoni hauigizi upinzini, sitegemei kama utakuja kuisifia serikali ya jk..Mungu akujalie afya njema mzee.!
 
huyu mzee naye anajichanganya.anataka kutuambia kwamba kikwete huwa anazungumzia zaidi chadema kuliko ccm au kuliko mikakati,mafanikio nachangamoto zinazoikabili serikali! aache usanii aisee! au slaa hataki asikie akitajwa au chama chake kikitajwa na kikwete? kuhusu ccm kuchukuwa sera ya kusomesha wanafunzi bure,kwa hiyo kumbe anachotaka slaaa si watanzania wapate nafuu kwa kusomesha watoto bali anachotaka ni kupingana tu hata kama mwenzako anataka kufanya jambo la msingi?
Chadema walipohubiri hizi sera CCM walisema haiwezekani sasa leo ccm kuzihubiri inashangaza
 
hivi kuchukua sera za wapinzani kwa ajili ya kufanikisha maendeleo ni dhambi
si dhambi lakini inakuwa dhambi pale ulipoziponda na kusema haiwezekani. CCM ilisema elimu ya bure haiwezekani, leo watawezaje? Walisema kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi haiwezekani, leo inachekesha wanakula matapishi yao. Na ukumbuke si kwamba wanafanya ila wanadanganya wakichaguliwa tena ndio watafanya
 
Maskini babuuuu, pole sana kwa kuikosa ikulu. Cheki ulivyochoka. Umeishiwa mashairi sasa umebaki kujibu hoja za J.K. Mwanzoni ulifikiri ungefanikiwa kwa maandamano ikawa hola, migomo hola, m4c holaaa. Na bado utapanga vingi lakini vitaishia kuwa hola. Pole Dr. Slaa uongo wooote mara makontena ya kura sijui nini, watanzania wameng'amua ujanja na uongo wako uliokubuhu. Utaisoma mzee CCM hiyoooooooooo na bado hadi ujinyon*********e mwaka huu.

How old are you?
 
NI wazi CCM siku hizi wameamisha yale yale ya bungeni ambayo mchungaji Msigwa aliwachana live hadi wakaachana na hiyo habari, sasa CCM wameamua valia njuga.

NI kichefu chefu kwa kweli, Si rais, si Nape, si wassira, na wengine wengi wanaonyesha wana hofu kuu, hawajiamini bila chokonoa CDM ,hawapati kujiamini mpaka wasikie CDM watasema nini, na CDM wakisema kitu basi ndipo hujisikia kuwa kinafaa.
 
Maskini babuuuu, pole sana kwa kuikosa ikulu. Cheki ulivyochoka. Umeishiwa mashairi sasa umebaki kujibu hoja za J.K. Mwanzoni ulifikiri ungefanikiwa kwa maandamano ikawa hola, migomo hola, m4c holaaa. Na bado utapanga vingi lakini vitaishia kuwa hola. Pole Dr. Slaa uongo wooote mara makontena ya kura sijui nini, watanzania wameng'amua ujanja na uongo wako uliokubuhu. Utaisoma mzee CCM hiyoooooooooo na bado hadi ujinyon*********e mwaka huu.

Kazi kweli kweli CCM, hivi kwel mtu mzima unathubutu kushabikia ccm after all wanayotufanyia waTz! Inasikitisha
 
Dr Slaa umri unakwenda mpaka anajichanganya mwenyewe, sasa mbona Dr Slaa yeye kila siku anaishambulia CCM nani kamkataza. Sasa hivi atasema tena usalama wa taifa wanataka kumpa sumu.

Kenge ni kenge tu...hata akikatwa mkia..au akiwa kama hiii
ImageUploadedByJamiiForums1353439424.083153.jpg
 
Mkuu Ritz

Nimekuuliza kati ya kambi ya Lowassa na Kambi ya Membe mkuu wangu.Kwani Zitto yuko CCM? Umechanganya madesa mkuu wangu.

Mie nipo kambi wa wapenda amani najua wewe lazima utakuwa kambi ya Dr Slaa au upo kambi ya Zitto.
 
maskini babuuuu, pole sana kwa kuikosa ikulu. Cheki ulivyochoka. Umeishiwa mashairi sasa umebaki kujibu hoja za j.k. Mwanzoni ulifikiri ungefanikiwa kwa maandamano ikawa hola, migomo hola, m4c holaaa. Na bado utapanga vingi lakini vitaishia kuwa hola. Pole dr. Slaa uongo wooote mara makontena ya kura sijui nini, watanzania wameng'amua ujanja na uongo wako uliokubuhu. Utaisoma mzee ccm hiyoooooooooo na bado hadi ujinyon*********e mwaka huu.

aafu wewe nasikia ni mlozi wa watu mtaani kwako usiku. Habari zishajulikana, ndo maana unashindwa kuelewa thread iliyotupwa hapa ni ipi. Umekurupuka mno. Jk anatakiwa aongoze watanzanioa tuwe na maisha yenye nafuu na siyo kuleta habari za vyama vya upinzani kwa kuwa hiyo ndo kai yao kwa chama tawala.pumbafuuuuu.
 
Kikwete na timu yake wametuuza na bado wanatuhitaji. Wenzetu kenya pamoja na yoooote mda huu wanayo treni ya mwendo kasi watanzania hata trc na tazara zimetushinda, aaahh maumivu matupu katika miaka hii 51. Achieni waingie wengine.
 
huyu mzee naye anajichanganya.anataka kutuambia kwamba kikwete huwa anazungumzia zaidi chadema kuliko ccm au kuliko mikakati,mafanikio nachangamoto zinazoikabili serikali! aache usanii aisee! au slaa hataki asikie akitajwa au chama chake kikitajwa na kikwete? kuhusu ccm kuchukuwa sera ya kusomesha wanafunzi bure,kwa hiyo kumbe anachotaka slaaa si watanzania wapate nafuu kwa kusomesha watoto bali anachotaka ni kupingana tu hata kama mwenzako anataka kufanya jambo la msingi?

Hiyo Elimu ya bure si ilikuwepo, ni nani aliiondoa? Mkuu wewe ni mtanzania kweli?
 
Chadema wanamnyima usingizi, badala ya kufikiria ni jinsi gani ataondoa rushwa kwenye chama chake, anapoteza muda kuwashambulia chadema.

Ilikuwa asubuhi ikawa jioni, CCM wakaondoka!!!

ccm fahamu kwamba Wtz hawataki usanii wenu wanataka maendeleo. Wekeni nguvu zenu kutekeleza Ilani.Mtapendwa mkiitekeleza kivitendo ilani yenu.Mikakati yenu eti ya kuzunguka nchi nzima kuwajibu wapinzani mnakwenda kuumbuka.Wtz wa leo siyo wa kudanganyika,watawapuza kuliko mnavyoota ndoto kwamba mtawageuza Wtz mmechelewa.Kama mnataka kuwahi igeni kwa Rais wa Zambia Sata anavyofanya katika kuboresha maisha ya wananchi wake. Anashirikiana na wapinzani wake kuleta maendeleo nchini mwake.Nyie mnaendeleza propaganda zinazowafanya mchukiwe sana.Huo ni ushauri wa bure kwenu ccm, iliyoparanganyika baada ya kuona umma Wtz umeipa kisogo.
 
Molemo
Mkuu hebu nikuulize ni lini Dr. Slaa alisimama kwenye majukwaa kunadi sera za Chadema? Elimu bure ni moja ya sera za awali ya serikali inayoongozwa na chama makini cha CCM; hiyo sera siyo mpya ni uamuzi tu kurudia utaratibu wa zamani; msipoteze muda na kujinadi na vitu ambavyo hamkuvianzisha tafuteni umaarufu kwenye sera mpya.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom