Dr Slaa: Kikwete acha kushambulia CHADEMA

Afuatilie kwa nini mishahara ya watymishi haitoki kama zamani yaani kabla ya tarehe 25 kama alivyoahidi,

Afuatilie kwa nini chama kinazidi kupoteza mvuto machoni pa wananchi.

Afuatilie kwa nini gharama za maisha zinapanda kila kukicha.
 
Wananchi hawamnyimi usingizi JK,kama kukabidhi nchi kwa Chadema 2015 kunavyomkosesha usingizi.
 
huyu mzee naye anajichanganya.anataka kutuambia kwamba kikwete huwa anazungumzia zaidi chadema kuliko ccm au kuliko mikakati,mafanikio nachangamoto zinazoikabili serikali! aache usanii aisee! au slaa hataki asikie akitajwa au chama chake kikitajwa na kikwete? kuhusu ccm kuchukuwa sera ya kusomesha wanafunzi bure,kwa hiyo kumbe anachotaka slaaa si watanzania wapate nafuu kwa kusomesha watoto bali anachotaka ni kupingana tu hata kama mwenzako anataka kufanya jambo la msingi?

Alosema magamba waache kutumia nguvu za dola kuwadhiti wapinzani ni nani?
 
ccm kwa ujumla wamebaki jina tu! Hawana tena sera zozote ya kuwaambia wanainchi na hata hivyo ugumu wa maisha uliosababishwa na chama hiki hakika itakuwa pigo kwao chichiem na bila shaka wametoa fundisho tosha,lala motoni ccm!
 
Cdm mnajidanganya dalili ya mvua ni mawingu angalieni matokea ya uchaguzi mdogo ya udiwani ndio mfanye tathmin ya kuchukua nchi hata dr slaa amekosa mvuto kwa wananchi angalia kata zote alizonadi wagombea wa chadema wameshndwa!endeleen na porojo zenu kwenye jamiiforoum utafikiri watanzania wote wanaingia hum!
 
Maskini babuuuu, pole sana kwa kuikosa ikulu. Cheki ulivyochoka. Umeishiwa mashairi sasa umebaki kujibu hoja za J.K. Mwanzoni ulifikiri ungefanikiwa kwa maandamano ikawa hola, migomo hola, m4c holaaa. Na bado utapanga vingi lakini vitaishia kuwa hola. Pole Dr. Slaa uongo wooote mara makontena ya kura sijui nini, watanzania wameng'amua ujanja na uongo wako uliokubuhu. Utaisoma mzee CCM hiyoooooooooo na bado hadi ujinyon*********e mwaka huu.

Comments za kifacebook hizi
 
huyu mzee naye anajichanganya.anataka kutuambia kwamba kikwete huwa anazungumzia zaidi chadema kuliko ccm au kuliko mikakati,mafanikio nachangamoto zinazoikabili serikali! aache usanii aisee! au slaa hataki asikie akitajwa au chama chake kikitajwa na kikwete? kuhusu ccm kuchukuwa sera ya kusomesha wanafunzi bure,kwa hiyo kumbe anachotaka slaaa si watanzania wapate nafuu kwa kusomesha watoto bali anachotaka ni kupingana tu hata kama mwenzako anataka kufanya jambo la msingi?

Hujaelewa,ngoja nikukumbushe,mwaka 2010 wakati dr akinadi ilani ya chadema alisema'elimu bure kuanzia chekechea hadi kidato cha sita na gharama ya vifaa vya ujenzi kushushwa'.Baada ya hapo kila kampeni za ccm watu walitoa mapovu kumpinga dr.je kwa nini ccm waseme inawezekana ilihali walipinga?CHUKUA HATUA
 
Mleta mada ebu tueleweshe vizuri Dr Slaa kamwambia rais Kikwete aache kuishambulia Chadema au aache kuvishambulia vyama vya upinzani.
 
Dr Slaa umri unakwenda mpaka anajichanganya mwenyewe, sasa mbona Dr Slaa yeye kila siku anaishambulia CCM nani kamkataza. Sasa hivi atasema tena usalama wa taifa wanataka kumpa sumu.
 
Mleta mada ebu tueleweshe vizuri Dr Slaa kamwambia rais Kikwete aache kuishambulia Chadema au aache kuvishambulia vyama vya upinzani.

Mkuu Ritz

Vipi utata wa uraia wa Katibu mkuu wenu mmeutatua?
 
Dr Slaa umri unakwenda mpaka anajichanganya mwenyewe, sasa mbona Dr Slaa yeye kila siku anaishambulia CCM nani kamkataza. Sasa hivi atasema tena usalama wa taifa wanataka kumpa sumu.

Mkuu Ritz

Kati ya Kambi ya Lowassa na Kambi ya Membe unaunga mkono Kambi ipi?
 
Kinana kawekwa kimikakati ili kufanikisha ahadi yako kwa kinana,ambayo alimwaidi kabla na baada na baada ya uchaguzi. Mukama aliwekwa kisiasa ili kuzoofisha makundi yalikuwemo ndani ya chama,kuhusu sera ya elimu bure ccm wameiba ili kuwateka vijana,na wazazi wanaosomesha ili waanze kukipenda chama cha mafisadi. Laki ndio njia pekee chadema ambayo wakii2mia ili kuwadhiirishia watz ya kuwa ccm wezi wa kila ki2 na si wabunifu katika mambo ya muhimu na msingi, ila wabunifu ktk kubuni makampuni hewa na miradi feki ya kuwaibia wananchi
 
Maskini babuuuu, pole sana kwa kuikosa ikulu. Cheki ulivyochoka. Umeishiwa mashairi sasa umebaki kujibu hoja za J.K. Mwanzoni ulifikiri ungefanikiwa kwa maandamano ikawa hola, migomo hola, m4c holaaa. Na bado utapanga vingi lakini vitaishia kuwa hola. Pole Dr. Slaa uongo wooote mara makontena ya kura sijui nini, watanzania wameng'amua ujanja na uongo wako uliokubuhu. Utaisoma mzee CCM hiyoooooooooo na bado hadi ujinyon*********e mwaka huu.

Daah! Gamba kuu hilo linautisha moto kwa kuumwagia petroli! Ha! Ha! Ha!
 
Back
Top Bottom