Dr.Slaa: Kichwa kimoja sawa na vichwa vyote CCM

Huyu ndo dr Slaa wa ukweli, ambaye jana akiongea na wasomi viwanja vya mabibo, amesema yuko tayari kupimwa akili kwan inashangaza kuona kichwa chake kimoja kinazid vichwa vyote vya ccm. Hii imetulia na ni ukwel mtupu!

Baado saana!

Dr. WS ana akili gani?

acha kumsifia bure! ana rely kwenye weaknesses na matatizo ndani ya CCM and all the time he is lucky!! Richmond ilimtoa akawa star wakati ule, sasa hivi DOWANS ndio mtaji wake! sijawahi ona crativeness yake tuna msifia tuu hana jipya. siku CCM ikijipanga na kukaa sawa migogoro itaanza tena ndani ya CDM!! actually wakati wa uchaguzi kwenye mahojiono pale ITV alikiri kwamba yeye ni mwanaharakati (which I totally agree with him!), he is not a politician at all. ndio maana kaifanya CDM kuewa pressure group rather than a political party!!!

Kama great thinkers you all know very well hakuna chama cha siasa duniani ambacho malengo yake ni kusaidia wananchi!!! (this is a hard truth!) chama chochote cha siasa lengo lake ni kuingia ikulu au kukamata dola period!

CDM wanadanganya wanafunzi wa chuo kikuu na waalimu wao eti wanawatetea! hamna kitu kama hicho! they are just being used and will be thrown away just like a toilet paper (or worse like a used Condom!) acha CDM iingie ikuku tuone kama wataweza ku- sustain nguvu ya CCM wakiwa chama kikuu cha upinzani!!!

Believe me they will be too tough opposition to handle, subbotage CDM inazofanya zitakua cha mtoto, na CCM ni wataalam wa propaganda ndio tutaona akili ya WS otherwise mnampa bichwa tu. mtu anatoa matamko yaajabu mnaogopa kumwambia! ataendelea kuropoka tu na kuvuruga nchi na amani kwa kusingizia haki ya katiba, halafu anatukana katiba ni mbovu wakati aliapa kwa katiba hiyo hiyo!
 
Cha msingi ni kwa Slaa kukubali kwenda Milembe!

nitakwambia nani anatakiwa kwenda milembe kupima akili;ni huyu aliyetamka maneno haya:
1.foleni ya magari dar ni ishara ya maisha bora
2.miba za wanafunzi ni kwa sababu ya vihelehele vyao
3.sijui chanzo cha umasikini wa nchi yangu
4.udsm ilianza na wanafunzi 13 sasa hivi 17000 lakini hajiulizi tz ilikuwa na watu wangapi na sasa tuko
wangapi,je si ilibidi wawe zaidi ya 17000?akasema hayo ni maendeleo makubwa
5.tanzania kuna wanasiasa wanahubiri udini lakini hajakamata hata mmoja
6.nawajua wala rushwa lakini nawapa mda wajirekebishe.
huyu hafai hata kupelekwa milembe aachwe aokote makopo maana atawaaribu hata hao machizi afadhali
wa milembe
 
Baado saana!

Dr. WS ana akili gani?

acha kumsifia bure! ana rely kwenye weaknesses na matatizo ndani ya CCM and all the time he is lucky!! Richmond ilimtoa akawa star wakati ule, sasa hivi DOWANS ndio mtaji wake! sijawahi ona crativeness yake tuna msifia tuu hana jipya. siku CCM ikijipanga na kukaa sawa migogoro itaanza tena ndani ya CDM!! actually wakati wa uchaguzi kwenye mahojiono pale ITV alikiri kwamba yeye ni mwanaharakati (which I totally agree with him!), he is not a politician at all. ndio maana kaifanya CDM kuewa pressure group rather than a political party!!!

Kama great thinkers you all know very well hakuna chama cha siasa duniani ambacho malengo yake ni kusaidia wananchi!!! (this is a hard truth!) chama chochote cha siasa lengo lake ni kuingia ikulu au kukamata dola period!

CDM wanadanganya wanafunzi wa chuo kikuu na waalimu wao eti wanawatetea! hamna kitu kama hicho! they are just being used and will be thrown away just like a toilet paper (or worse like a used Condom!) acha CDM iingie ikuku tuone kama wataweza ku- sustain nguvu ya CCM wakiwa chama kikuu cha upinzani!!!

Believe me they will be too tough opposition to handle, subbotage CDM inazofanya zitakua cha mtoto, na CCM ni wataalam wa propaganda ndio tutaona akili ya WS otherwise mnampa bichwa tu. mtu anatoa matamko yaajabu mnaogopa kumwambia! ataendelea kuropoka tu na kuvuruga nchi na amani kwa kusingizia haki ya katiba, halafu anatukana katiba ni mbovu wakati aliapa kwa katiba hiyo hiyo!

hapo kwenye red imeonyesha jinsi gani unavyoweza kucopy na kupaste..kongamano la katiba uliliangalia vizuri na ukameza...by the way uko mwaka wa ngapi??mmeshafanya test za pili??
nafikiri unatakiwa kuwa library..lakini una uhuru wa mawazo hata kama ni pumba
angalia bluu above..hujui kama richmond ilisababisha baraza la mawaziri kuvunjwa akiwemo mfadhili wenu wa ccm lowassa?
 
I am independet thinker! sina chama, mimi si ng'mbe kama wewe kuwa manipulated na watu wa ajabu ajabu kama hao mpo watu kama nyinyi kwa ajili hiyo, na una haki yako ya kikatiba kumuabudu tu huyo mwenye akili wako au mwingine yeyote, ila si kila mtu anamuona hivyo. and si mwanafunzi kama wewe ***hole!
 
Ndio uzuri wa JF unaruhusiwa kutoa maoni yako hata kama unatumia makalio kufikiri, ila kwa faida yako uwe unascrow mpaka chini utaona sehemu ya topic information, hapo ndio utajijuwa kwamba wewe ni zuzu kiasi gani. angalia idadi ya watu wanaoview thread husika, sio unakurupuka tu kama umetoka maliwatoni kukimbilia kupost kitu ili mradi uonekane na wewe kwamba kwenye msafara wa mamba na kenge wamo, ila tatizo wewe hata kundi la kenge haupo wewe ni mjusi tu.
 
Hawa ccm watu wa ajabu sana, sasa kwa nini uchanganyikiwe au ujibishane na kichaa? IN actual fact Dr Slaa amewaacha makada wa ccm kwa mbali sana ndo maana wanashindwa kumuelewa.
 
Ndio uzuri wa JF unaruhusiwa kutoa maoni yako hata kama unatumia makalio kufikiri, ila kwa faida yako uwe unascrow mpaka chini utaona sehemu ya topic information, hapo ndio utajijuwa kwamba wewe ni zuzu kiasi gani. angalia idadi ya watu wanaoview thread husika, sio unakurupuka tu kama umetoka maliwatoni kukimbilia kupost kitu ili mradi uonekane na wewe kwamba kwenye msafara wa mamba na kenge wamo, ila tatizo wewe hata kundi la kenge haupo wewe ni mjusi tu.

Nyamaza wewe! Niliisha sema wewe ni tundu la kati kati ya makalio hukuelewa nini!!!!! kwani JF ni ya mama yako? son of thousand fathers!!!

I do not argue with danda heads like you. I am out.
 
Kijana inaonekana unatafuta basha humu JF? maana kila mtu unamshushia matusi usidhani watu wasochangia hawaoni, sisi wengine kila siku tupo humu JF lakini sio lazima uchangie huwa tunasoma michango ya wenzetu halafu tunaendela na safari zetu, nidhamu ndogo unayoionesha humu inaonekana ni athari za kuanza kuingiliwa kinyume na maumbile tangu ukiwa mdogo.
 
KATIKA SIKUZANGU ZAUHAI HAKUNA SIKU NILIFURAHI KAMA SIKU NILIO SIKIA Dr slaa akitangaza kugombea URAIS. daima sio kila kiongozi anauwezo wakuongoza. wengine nidhaifu lakini Dr slaa NAMWAMINI NAMHITAJI ilikujenga tanzania yenye misingi ya kisheria na kidemokrasia.!!.UMASKINI TANZANIA
 
The one thing about propaganda is that you must never get too deep into it, to the extent that you start to believe it yourself. There is no way one man is smarter than many many many people put together. He just sees things differently. Acheni mambo ya 'cult of personality' hapa. Akifa huyo masihi wenu? Inamaana hakuna mwengine atakae weza kuisaidia Tanzania kuondokana na ubadhirifu na ufanisi duni katika serikali na utendaji kiujumla. Acheni kuabudu masanamu... sera ndio jambo la msingi.
 
Acheni mambo ya 'cult of personality' hapa. Akifa huyo masihi wenu? Inamaana hakuna mwengine atakae weza kuisaidia Tanzania kuondokana na ubadhirifu na ufanisi duni katika serikali na utendaji kiujumla. Acheni kuabudu masanamu... sera ndio jambo la msingi.
Koh! koh! koh! MMmh!
 
Huyu ndo dr Slaa wa ukweli, ambaye jana akiongea na wasomi viwanja vya mabibo, amesema yuko tayari kupimwa akili kwan inashangaza kuona kichwa chake kimoja kinazid vichwa vyote vya ccm. Hii imetulia na ni ukwel mtupu!
Wakudadavuwa popote ulipo tafadhali. hapa naona wengi hawako active bila shaka walibadili ID zao
 
Back
Top Bottom