Huyu ndo dr Slaa wa ukweli, ambaye jana akiongea na wasomi viwanja vya mabibo, amesema yuko tayari kupimwa akili kwan inashangaza kuona kichwa chake kimoja kinazid vichwa vyote vya ccm. Hii imetulia na ni ukwel mtupu!
Huyu ndo dr Slaa wa ukweli, ambaye jana akiongea na wasomi viwanja vya mabibo, amesema yuko tayari kupimwa akili kwan inashangaza kuona kichwa chake kimoja kinazid vichwa vyote vya ccm. Hii imetulia na ni ukwel mtupu!
Na majeraha waliyonayo ni makubwa sema wanajitahidi kuyafichaficha
Kama samson alivyowahangaisha wafilisi!
na mficha maradhi kilio humuumbua!!!!
Amani yetu inatumiwa vibaya.
UVCCM wameona hiki kichwa si cha kawaida lazima kipimwe maana ni sawa na CC nzima ya CCM, hata Newton kwa waliosoma Physics watu wa enzi yake walitaka apimwe akili kwa vile alikuwa si wa kawaida.Huyu ndo dr Slaa wa ukweli, ambaye jana akiongea na wasomi viwanja vya mabibo, amesema yuko tayari kupimwa akili kwan inashangaza kuona kichwa chake kimoja kinazid vichwa vyote vya ccm. Hii imetulia na ni ukwel mtupu!
Kwani wewe umepata wangapi.Mbona hakushinda uchaguzi? Wabunge kapata 20 out of 200! Hiyo ni akili au matope!
Kaambiwa na PhD wa ukweli kuwa akili zake ziko kwenye certificates akiona ukuta umejaa vyeti anafikiri ndiyo akili nyingi, ha ha haaa.Nina wasi wasi na akili za Alhaji shekhe mufti dr Mkwere!
na mficha maradhi kilio humuumbua!!!!
Amani yetu inatumiwa vibaya.
Atawatesa sana, mnahangaika na mtu mmoja huku viongozi wengine wa CDM wakiendelea na makongamano.Cha msingi ni kwa Slaa kukubali kwenda Milembe!