idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
Dar, CCBRT, Dr Mihigo Slaa akiwa Mwenyekiti WA Baraza la wadhamini CCBRT, nafikiri Ni 2013, sina hakika, kabla hajatangaza dau lake na kununulika!!
Acha uongo ni Jana hiyo.
Dar, CCBRT, Dr Mihigo Slaa akiwa Mwenyekiti WA Baraza la wadhamini CCBRT, nafikiri Ni 2013, sina hakika, kabla hajatangaza dau lake na kununulika!!
![]()
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.
Picha imepigwa juzi CCBRT, babu yupo kama anaogopa, kama anataka kujificha nyuma ya kikwete
Mbna li dr.mihogo toka ale bilion za ccm amekuwa na sura ka sheta
Eti huyu ndo padri
dr. slaa kama ana hepatic carcinoma, yaani cancer kabisa ya inii.... trust me....soon anakufa kama mchungaji mtikila
Acha uongo ni Jana hiyo.