Dr. Slaa karibu ACT-Wazalendo

Dr. Slaa karibu ACT-Wazalendo

mkonozi

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
300
Reaction score
197
Kwako Dr,

Nchii hii bado inakuhitaji sana. Ni dhahiri hao Chagadema hawakuhitaji tena; Zezeta lenye pesa zake limeshanunua sio tu chagadema bali ukawa yote; nacheka kila siku nikikiona hicho ki salum mwalimu kikijifanya kuvaa viatu vyako.

Hakina uzoefu wowote wa kuratibu siasa hasa za kipindi cha uchaguzi; hakina elimu na upeo wa kutosha; hakika kitavuruga uchaguzi huu kila kona, na Chagadema kama chama hakitapata wabunge wengi kama kinavyodhani.

Ni kijibaraka cha Mbowe; Na hakimjui born town Freeman vizuri mzee wa Mega deals, na baada tu ya uchaguzi mkuu; kitasahaulika kabisa kabisa kisiasa. Bora Mnyika alivyoamua kukaa kimya.

Karibu ACT Dr, tangaza mali zako; njoo tukijenge chama kwa ajili ya upinzani wa ukweli baada ya october 2015.

Tena mstue na Professor Lipumba mje wote( wazee wa Ukawa asili).

Wasalaaam;

Mkonozi.
 
Akina Mnyika wameamua kuonesha misimamo yao hata kwa kukaa kimya inatosha ..mbowe kala bingo
 
Kwako Dr,

Nchii hii bado inakuhitaji sana. Ni dhahiri hao Chagadema hawakuhitaji tena; Zezeta lenye pesa zake limeshanunua sio tu chagadema bali ukawa yote; nacheka kila siku nikikiona hicho ki salum mwalimu kikijifanya kuvaa viatu vyako: Hakina uzoefu wowote wa kuratibu siasa hasa za kipindi cha uchaguzi; hakina elimu na upeo wa kutosha; hakika kitavuruga uchaguzi huu kila kona, na Chagadema kama chama hakitapata wabunge wengi kama kinavyodhani. ni kijibaraka cha Mbowe; Na hakimjui born town Freeman vizuri mzee wa Mega deals, na baada tu ya uchaguzi mkuu; kitasahaulika kabisa kabisa kisiasa. Bora Mnyika alivyoamua kukaa kimya:

Karibu ACT Dr, tangaza mali zako; njoo tukijenge chama kwa ajili ya upinzani wa ukweli baada ya october 2015.

Tena mstue na Professor Lipumba mje wote( wazee wa Ukawa asili).

Wasalaaam;

Mkonozi

Hivi act ndio mdudu gani kwenye siasa za Tanzania?
 
baada ya kushindwa kuwapata wabunge wale 50 aliowasema yuda sasa mnamuomba Dr. Slaa eti eee! mchukueni alivyoondoka Zitto mlisema cdm imekufa lakin moto wake sasa unawapa jambajamba!!
 
Na huo uzee wake aanze kujenga upya chama cha CCM! C atakufa hata bila kutoa Mbunge
 
Pole wewe mcheza disco la mbowe; sisi tunamhitaji daktari wa siasa nchini Tanzania; sio hilo zezeta lililonunua chama.

Unamtamani eee!! yule ni cdm dam na wala hawez kuwa msaliti kama yuda,ZITTO.
 
naunga mkono hoja,
hicho ki-salum ni geresha tu kila mmoja wetu anajua hakina thamani.
naibu katibu mkuu zanzibar aliyeamua kuwa wa bara maana zanzibar kwenyewe hana chake.

Back
Top Bottom