Dr Slaa Jibu tuhuma hizi...!

umefanya vizuri kumwambi,nadhani atakupa majibu mazuri. Lakini sioni anavyohusika moja kwa moja, kwa sababu yeye ni mtu mkubwa sana na mambo ya ajira na matibabu hakutani nayo. Lakini hujafanya vibaya kumjulisha. Endelea hivyo hivyo, ukiona jingine tena mjulishe.
 
Swala hili ingawa limeletwa kwa kumtumia Dr.Slaa lakini ukweli unabakia kwamba kuna mchezo mchafu unachezwa dhidi ya wananchi hasa ktk maswala ya ELIMU na AFYA. Haiwezekani serikali kutoa ruzuku kubwa ktk kusaidia kuyaendesha mashirika haya lakini bado wananchi wanalipa gharama kubwa kuliko hata za private Hospitals..

Kinachotarajiwa na wengi ni kwmaba serikali inatoa ruzuku hizo ili kuwapunguzia gharama za matibabu wananchi na sio kusaidia chombo hicho kupata mtaji wa kufanya biashara. Ni lazima serikali iliangalie upya swala hili na hasa ktk Elimu na Afya, maswala ya exemption tax zifutwe kwa vyombo vyote walipe kodi kwa sababu mbali na ruzuku wanazopewa ukiongezea na exemption inatugharimu mara 10 na mlengwa hapa inaonyesha sio kuwapa huduma bora wananchi bali kulikuza shirika hilo. Na hakuna sababu ya kuwapa urahisi huu ikiwa bado wananchi inawagharimu sawa na kutotumia kodi zao kukiendesha chombo hiki.

Kama Dr.Slaa anafanya haya na lawama hizi ni za kweli inabidi abadilishe muundo mzima kama mfano bora kwetu japokuwa anaweza kutokuwa na madaraka hayo. Kuwa katibu wa kurugenzi wa shirika hili haina maana Dr.Slaa ndiye anayeandika Policies na jinsi ya shirika hili litakavyo endeshwa, ila maadam yeye kama mgombea Urais ambaye aliwaahidi wananchi kuwa huduma za Afya na Shule zitakuwa bure basi mfano bora lazima uanzie kuonyesha msimamo wake ktk uendeshaji wa shirika unaloliongoza.

Kuna ukweli nauona katika hili ambao wengi katika watu tulionao humu jamvini wanajaribu kutokuuona na kuupuuza. Nadhani ikiwa watu wako makini katika kutaka kuhoji yale yanayoendelea katika nchi yetu katika kila pande ya nchi hii bila woga ama upendeleo. Tunaweza kupata majibu mengi ya maswali tulionayo hivi sasa.
 
Kwa taarifa yako Dr. Slaa alishinda urais,ila nyie kwa utapeli wenu usio na aibu mkamtangaza baba mwanaasha,sisi rais wetu ni Dr. Slaa.
Kwa kura zilizopigwa hapa JF Dr Slaa alishinda tena kwa kura nyingi tu hili siwezi pinga!!
But hupo uraiani...aliburuzwa sanaaa

DATA KAMILI HIZI HAPA CHINI!

Chama Cha Mapinduzi – 5,276,827 – 61.17%

CHADEMA – 2,271,941 – 26.34%
 
Maamuzi yoyote yanapofanywa katika taasisi kama hiyo huwezi kufanya kama ya nyumbani kwako kuna mambo ya kuangalia kama vile mazingira yanayolizunguka taasisi, upatikanaji wa nguvu kazi katika taaluma hiyo kwa wakati huo na resources zingine lakini pia kuna utaratibu na {vision and mission } ya taasisi, ukifahamu hayo ndipo uhoji kwa mbona hii siyo mpango wao?
 
Nimepita katika group moja katika facebook nikakuta kuna post ambayo inazungumzia tuhuma za ufisadi uliofanywa na watu mbalimbali kutoka vyama vya upinzani akiwemo Dr Slaa..,si vibaya tuhuma hizi nikizileta hapa jamvini kwa kuwa Dr Slaa yupo na naamini wapo pia watu wenye uelewa katika haya yaliyozungumzwa wanaweza kuchangia ama kusaidia katika kukanusha ama kusahihisha ama kukiri tuhuma hizi..,

extracted from TANURI LA FIKRA

Kuchukua tuhuma za mwanachama na kuivesha tuhuma hiyo kwa chama ni makosa na hili linafanywa makusudi na wapinzani ili waendelee kichafua CCM.,haiwezekani ufisadi unasibishwe na CCM hali ya kuwa katika kila chama watu wa AINA hiyo wapo; Nikianza moja kwa moja na katibu mkuu na mgombea URAIS wa chadema Bwana WILBROD SLAA ambaye ni kiongozi mkuu wa taasisi ya CCBRT (katibu wa bodi ya wakurugenzi) ambayo inapatiwa ruzuku ya shilingi za kitanzania; 1,000,000,000/= kutoka kwa serikali kila mwaka kwa kuiendeleza taasisi hiyo kwa manufaa ya watanzania wote na taifa kwa ujumla na pia inapata misaada na harambee mbalimbali kutoka kwa watu binafsi na mashirika makubwa ndani na nje ya TANZANIA kama EUROPEAN UNION,IRISH AID, AUSTRARIAN GVT, AusAID, CBM, JOHNSON&JOHNSON nk, ili kuwaendeleza watanzania katika nyanja ya afya,.tofauti na malengo hayo taasisi hii chini ya Dr Slaa imekuwa ikitoa huduma za jamii kwa ubaguzi mkubwa na kukosekana kwa usawa; nitabainisha kama ifuatavyo;
a) Wagonjwa wanaotibiwa kwa mwaka wanakadiriwa kufika 1,080,000 katika hawa zaidi ya nusu ni kutoka katika mikoa ya kasikazini ikiongozwa na moshi na arusha.(branch ya CCBRT iko moshi)
b) Operesheni zilizofanywa kati ya mwaka 2003-2007 ni kama ifuatavyo.,macho 31,200 napo pia zaidi ya nusu ya wagonjwa walitoka maeneo hayo. Mimi sidhani kuwa moshi kuna watu wenye matatizo ya macho zaidi ya Dodoma, Singida na sehemu nyingine za tanzania ya kati.
c) Operesheni za orthopaedic&plastic surgery kati ya 2003-2007 ni 6,520 bado wagonjwa wengi walitokea kaskazini
d) Na waathirika waliokuwa wakihudumiwa na CCBRT kati ya 2003-2007 zaidi ya 60% ni kutoka mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (ripoti ya Tom Varnneste 24 jully 2008)
e) Taasisi hii pia inakadiriwa kuwa na waajiriwa 320 napo hapa ni uchaga, na ukaskazini umetawala, mchakato wa uajiri ukisaidiwa na Jacqueline Kweka(Advocacy Officer) uliona kuwa hakuna watu waliosoma na kustahili kufanya kazi CCBRT ila ni wachaga na watu wa kanda ya kaskazini. Katika utafiti uliosimamiwa na CCBRT, Radar development pamoja na DISABILITY AID ABROAD umeonyesha kuwa ni asilimia 0.7% ya waajiriwa ndio watu wenye ulemavu(CCBRT ikiwemo kwa kutoajiri walemavu ingawa ni taasisi ya kusimamia walemavu nchini)
f) Lakini kama hilo halitoshi gharama za matibabu ni za juu sana katika hospitali zilizo chini ya CCBRT, takwimu zipo; Gharama ya matibabu kwa CCBRT mtu binafsi anatakiwa kulipa kati ya dola 400-714 sawa na 600,000-1,071,000/= gharama hii ni kubwa ajabu kulingana na pato la kawaida la mtanzania na pia ni gharama ya juu hata kuzidi hospitali zingine hapa nchini ambazo hazipati msaada serikali wala mashirika makubwa ya nje na pia hazifanyiwi harambee kama CCBRT.,mfano CATARACT SURGERY HINDU MANDAL 400,000/=, AGA KHAN 315,000/= REGENCY 300,000/= MISSION MIKOCHENI 180,000 WAKATI CCBRT 680,000(Tom Venneste Appendix iii-nov 2008)

Pia CCBRT imekuwa haiko tayari kuwa wawazi juu ya kiasi cha mapato kinachochangiwa kutoka katika taasisi hizi kubwa duniani (dalili kubwa ya kuwepo ufisadi ndani yake)

Ama ukiacha hayo ambayo yanamgusa moja kwa moja Dr Slaa, pia kuna yanayowahusu viongozi wengine wa CHADEMA kama vile DIWANI WA KATA YA SERENGETI,MKOANI MARA KUKAMATWA AKIMILIKI AK47 KINYUME CHA SHERIA kiuhalisia huu pia ni ufisadi na hata yule MBUNGE WA CUF ALIYESHUTUMIWA KUINGIZA NCHINI MAGARI YA WIZI NA KISHA KUKWEPA KODI huu pia ni ufisadi ila inapotokea mambo kama haya yakifanywa na viongozi au wanachama wa CCM yatatangazwa vyombo vyote vya habari na pia suala hilo litabebeshwa kwa chama badala ya mtu binafsi.

Wewe unaumwa ukabila. Dr. Slaa si mchaga na ukienda mbali zaidi si mbantu. Huo uchaga na Slaa unatoka wapi? Upuuzi mtupu. Hata huko facebook ndo wewe uliiandika. Maana kama usingekuwa wewe ungegundua hayo makosa madogo kama kumuhusisha Dr. Slaa na uchaga. Kuhusu matumizi ya hela mwona CAG ambaye huwa nakagua idara zote zinazopokea ruzuku toka serikalini. Kama idara itapata hati chafu huwa haipewi temna Ruzuku. Pia misaada toka nje huwa haiji hivi hivi, jamaa huwa wanatuma wakaguzi wao kila mara na kama kuna matumizi mabaya huwa wanasitisha misaada. Ukiona wanaendelea kuleta jua kuwa matumizi yanaridhisha. Ushauri wa bure tu, Nawe anzisha taasisi yako serikali itakupa ruzuku acha kuchonga maneno.
 
Nimepita katika group moja katika facebook nikakuta kuna post ambayo inazungumzia tuhuma za ufisadi uliofanywa na watu mbalimbali kutoka vyama vya upinzani akiwemo Dr Slaa..,si vibaya tuhuma hizi nikizileta hapa jamvini kwa kuwa Dr Slaa yupo na naamini wapo pia watu wenye uelewa katika haya yaliyozungumzwa wanaweza kuchangia ama kusaidia katika kukanusha ama kusahihisha ama kukiri tuhuma hizi..,

extracted from TANURI LA FIKRA

Kuchukua tuhuma za mwanachama na kuivesha tuhuma hiyo kwa chama ni makosa na hili linafanywa makusudi na wapinzani ili waendelee kichafua CCM.,haiwezekani ufisadi unasibishwe na CCM hali ya kuwa katika kila chama watu wa AINA hiyo wapo; Nikianza moja kwa moja na katibu mkuu na mgombea URAIS wa chadema Bwana WILBROD SLAA ambaye ni kiongozi mkuu wa taasisi ya CCBRT (katibu wa bodi ya wakurugenzi) ambayo inapatiwa ruzuku ya shilingi za kitanzania; 1,000,000,000/= kutoka kwa serikali kila mwaka kwa kuiendeleza taasisi hiyo kwa manufaa ya watanzania wote na taifa kwa ujumla na pia inapata misaada na harambee mbalimbali kutoka kwa watu binafsi na mashirika makubwa ndani na nje ya TANZANIA kama EUROPEAN UNION,IRISH AID, AUSTRARIAN GVT, AusAID, CBM, JOHNSON&JOHNSON nk, ili kuwaendeleza watanzania katika nyanja ya afya,.tofauti na malengo hayo taasisi hii chini ya Dr Slaa imekuwa ikitoa huduma za jamii kwa ubaguzi mkubwa na kukosekana kwa usawa; nitabainisha kama ifuatavyo;
a) Wagonjwa wanaotibiwa kwa mwaka wanakadiriwa kufika 1,080,000 katika hawa zaidi ya nusu ni kutoka katika mikoa ya kasikazini ikiongozwa na moshi na arusha.(branch ya CCBRT iko moshi)
b) Operesheni zilizofanywa kati ya mwaka 2003-2007 ni kama ifuatavyo.,macho 31,200 napo pia zaidi ya nusu ya wagonjwa walitoka maeneo hayo. Mimi sidhani kuwa moshi kuna watu wenye matatizo ya macho zaidi ya Dodoma, Singida na sehemu nyingine za tanzania ya kati.
c) Operesheni za orthopaedic&plastic surgery kati ya 2003-2007 ni 6,520 bado wagonjwa wengi walitokea kaskazini
d) Na waathirika waliokuwa wakihudumiwa na CCBRT kati ya 2003-2007 zaidi ya 60% ni kutoka mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (ripoti ya Tom Varnneste 24 jully 2008)
e) Taasisi hii pia inakadiriwa kuwa na waajiriwa 320 napo hapa ni uchaga, na ukaskazini umetawala, mchakato wa uajiri ukisaidiwa na Jacqueline Kweka(Advocacy Officer) uliona kuwa hakuna watu waliosoma na kustahili kufanya kazi CCBRT ila ni wachaga na watu wa kanda ya kaskazini. Katika utafiti uliosimamiwa na CCBRT, Radar development pamoja na DISABILITY AID ABROAD umeonyesha kuwa ni asilimia 0.7% ya waajiriwa ndio watu wenye ulemavu(CCBRT ikiwemo kwa kutoajiri walemavu ingawa ni taasisi ya kusimamia walemavu nchini)
f) Lakini kama hilo halitoshi gharama za matibabu ni za juu sana katika hospitali zilizo chini ya CCBRT, takwimu zipo; Gharama ya matibabu kwa CCBRT mtu binafsi anatakiwa kulipa kati ya dola 400-714 sawa na 600,000-1,071,000/= gharama hii ni kubwa ajabu kulingana na pato la kawaida la mtanzania na pia ni gharama ya juu hata kuzidi hospitali zingine hapa nchini ambazo hazipati msaada serikali wala mashirika makubwa ya nje na pia hazifanyiwi harambee kama CCBRT.,mfano CATARACT SURGERY HINDU MANDAL 400,000/=, AGA KHAN 315,000/= REGENCY 300,000/= MISSION MIKOCHENI 180,000 WAKATI CCBRT 680,000(Tom Venneste Appendix iii-nov 2008)

Pia CCBRT imekuwa haiko tayari kuwa wawazi juu ya kiasi cha mapato kinachochangiwa kutoka katika taasisi hizi kubwa duniani (dalili kubwa ya kuwepo ufisadi ndani yake)

Ama ukiacha hayo ambayo yanamgusa moja kwa moja Dr Slaa, pia kuna yanayowahusu viongozi wengine wa CHADEMA kama vile DIWANI WA KATA YA SERENGETI,MKOANI MARA KUKAMATWA AKIMILIKI AK47 KINYUME CHA SHERIA kiuhalisia huu pia ni ufisadi na hata yule MBUNGE WA CUF ALIYESHUTUMIWA KUINGIZA NCHINI MAGARI YA WIZI NA KISHA KUKWEPA KODI huu pia ni ufisadi ila inapotokea mambo kama haya yakifanywa na viongozi au wanachama wa CCM yatatangazwa vyombo vyote vya habari na pia suala hilo litabebeshwa kwa chama badala ya mtu binafsi.

Mbona sioni tuhuma!! sijui nichangie nini!!? Hivi wagonjwa wanatafuta tiba au waganga wanatafuta wagonjwa!!? Kwamba wagonjwa wengi ni kutoka sehemu fulani kweli akili timamu inaonyesha hizo ni tuhuma?!!!
Thread ilivyoanza sijui ina mantiki gani kama mkurugenzi wa bodi anavishwa tuhuma za shirika lote hasa za kitendaji!!
Kweli kifo cha nyani miti yote huteleza!!! Hebu tafadhali ainisha tuhuma hapa!! usijikanyage ovyo!!
 
Kuchukua tuhuma za mwanachama na kuivesha tuhuma hiyo kwa chama ni makosa na hili linafanywa makusudi na wapinzani ili waendelee kichafua CCM.,haiwezekani ufisadi unasibishwe na CCM hali ya kuwa katika kila chama watu wa AINA hiyo wapo; Nikianza moja kwa moja na katibu mkuu na mgombea URAIS wa chadema Bwana WILBROD SLAA ambaye ni kiongozi mkuu wa taasisi ya CCBRT (katibu wa bodi ya wakurugenzi) ambayo inapatiwa ruzuku ya shilingi za kitanzania; 1,000,000,000/= kutoka kwa serikali kila mwaka kwa kuiendeleza taasisi hiyo kwa manufaa ya watanzania wote na taifa kwa ujumla na pia inapata misaada na harambee................

Habri nyingine zinaweza kuwa na hoja lakini pale muwalishaji anaptaaungeza chumvi kwa watu makini watamngundua tu.

Sasa hii figure ya 1,000,000,000
  • Ni kadirio tu,
  • ni exact figure
  • kiwakiishi tu na mleta hoja hajui na hafahamu figure halisi kama ni zaidi au pungufu ..
Siku nyingine jaribu kucover cooked data za mambo ya fedha kwa kuchanganya changanya number kama hivi 1,12,5800,000
 
Waliopo maeneo ya Dodoma na kati kwa ujumla kunahospitali ya Mvumi ambayo hutoa katibabu ya macho kwa karibu asilimia 95 yaccbrt; hivyo wagonjwa wa maeneo hayo hawalazimiki kwenda ccbrt.
Mimi sitoki kaskazini ila mwanangu alifanyiwa operesheni ya kuwekewa lens mpyaya jicho, gharama nilizolipa pale ccbrt hazikuzidi 20,000 Tshs.

Hivi inawezekana ukaajili mtu ambaye hajaitafuta hiyo kazi ili post zako zioneshe uharisia ungefanya hivi: kwamba kuna watanzania wangapi walitakiwa kutibiwa wakaachwa kwa sababu siyo wachaga, je ni kazi ya hiyo CCBRT kuwatafuta wagonjwa ili waje watibiwe? hapo huna hoja, je unajua taratibu za kuendesha mashirika kama hayo mbona hiyo michango si ukawaulize TRA kama hiyo ni charitable organisation c wanajua inavyoendeshwa au ww hujui haya mambo na mwisho ungesema kwamba huduma zilinyimwa kwa watu wa makabila mengine wakapewa watu wa kasikazini, unauhakika kule kijijini kwetu wanaijua hiyo ccbrt? kama vijijini haiujulikani kama inavyojulikana huko moshi unategemea wanahitaji matibabu watatoka wapi, kwanza umesema gharama zake ni kubwa sasa huoni hao wachaga wanaoenda kutibiwa happo wanazofedha za kutibiwa unataka nitibiwe bure wakati siyo sera ya nchi yako? Mwenzzetu ww umeikiliaje au siaia zinakusumbua huyu DR SLAAukutaka kumchafua huwezi wenzio walikesha miaka kadhaa na intelijensia wamekosa pa kumchafua hapo utakwama pole mwananchi.
 
naomba kutoa angalizo,kuna hospitali inaitwa mvumi ipo dodoma kuna wataalamu na vifaa vya huduma ya macho vya kutosha,wagonjwa wengi wa kanda zingine especially ya kati na ziwa wanahudumiwa pale. kwakuwa ni karibu na kuna kila kitu
 
Kama anasjhinda kila mahali..kwanini hakushinda urais 2010?
Jaribu kufikiri kwanza kabla hujaandika chochote hapa!!

Rejao bwana unachekesha kweli we hujui kama dr.slaa alishinda urais 2010 sema faulo tu za zzm.
 
Mwacheni dr slaa wawatu afanye kazi zake majungu na kuchafuana sio ishu kabisa! watz wengi wanauelewa siku hizi na wanajua kuchambua pumba na mchele enzi za propaganda za kitoto zimepita.
 
hahahahh i think kuwa politician...ni kitu kigumu sana,maanake mie naperuzi zangu jamii forums sina pressure leo sijui nimeandikwa wapi,kesho wataandika nini lol....ebu fikiria kichwa cha habari jibu tuhuma hizi...si ndio pressure zenyewe hizi? kisa cha kufa na stroke...looool
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom