Dr Slaa Jibu tuhuma hizi...!

Dr Slaa Jibu tuhuma hizi...!

Chagga people are leading for nepotism and favouritism among African societies, study suggests. Famous research conducted and compiled by the late Zimbabwean professor Julius Mambubwa on 'the effects of nepotism to the economic growth of Africa' documented that 50 percent of the employed Chagga people have had their current jobs through the influence of their fellow Chagga relatives.

Additionally, it went on showing that in nearly each of the public office which is headed by a Chagga, 45 percent of the workers are coming from Chagga tribe apparently getting their employment after someone at the top had pulled strings for them.

ha ha ha...you have really tried to immitate a writer..the problem is,you just dont fool intellectuals just like that..what's'the name of that researcher again???ha ha..i am sure if i was lookin in your eyes you'd'have forgotten it already...how about u put a link for where we can read the report ourselves??..hata mkisoma bado mnashindwa kutofautisha umbea wa salon na intellectual talk..women!!
 
masaburi ya magamba at work,hovyo kabisa kama mmetumwa na nape kajipangen tena,kuhusu silaha malima utasemaje,rage nae?katafute kazi nyingine hii ya magamba umeshachelewa.
 
Unadai umeikuta FACE BOOK, nini kimekuvutia hadi uilete huku JF? Huna negative interest na Dr Slaa? Head line inasomeka Dr, Slaa jibu tuhuma hizi, mbona kuna suala la diwani na AK 47? Unahisi ukaskazini ni jitihada za makusudi za Dr, Slaa? Nafikrir inapendeza kuweka thread ambayo hata wewe mwenyewe uwe umejiuliza maswali badala ya kutushirikisha wengine. Unataka Dr, Slaa ajibu then utakubaliana na majibu yake? Kalaghabaho!!!
 
Hii hoja ilishawahi kuja humu jamvini ikapotezewa, naona imerudishwa tena. Umbea, fitna, wivu wa kike na magamba at work
 
hivi jamani, kuna mtu wa kusini alienda pale clinic, akakataliwa kutibiwa kutokana na ukanda/ukabila wake! kama wapo toa ushahidi siyo unakurupuka tu! Dr. Slaa hawezi kujibu hoja ambazo hazina mashiko namna hii! shame on you!
 
Nimepoteza muda wangu kusoma nikifikiri kuna la maaana nitalikuta sentensi inayofuata,***** mtupu!! si unge summarize tu na kuandika Dr Slaa na wenzake waendeleza Ukaskazini CCBRT..Huu wimbo wa ukaskazini unaoimbwa na magamba watanzania tunaujua,na kamwe hautakuwa pona yenu CCM,sasa usijisumbue kuandika maneno mengi maana hakuna jipya hapo!
 
Nitamjibu suala moja wapo; Hili ni kuhusu kaliba ya wagonjwa; Hospitali yoyote haifuati wagonjwa majumbani kwao; inatibu wale ambao wanafika hospital tu; na tena hakuna sehemu ambayo mtu anaulizwa kabila lake. Suala la kuchangamkia matibabu ni la elimu au uelewa, kipato na upatikanaji wa huduma yenyewe. Kumuuliza Slaa ni kumwonea kama Singida au Dodoma wagonjwa wa macho ni wengi basi waulizwe wabunge wao, DC au RC wao wameandaa utaratibu upi kudhibiti hali hiyo? ikiwa ni pamoja na kuwapatia matibabu wananchi wao.
 
Nimepita katika group moja katika facebook nikakuta kuna post ambayo inazungumzia tuhuma za ufisadi uliofanywa na watu mbalimbali kutoka vyama vya upinzani akiwemo Dr Slaa..,si vibaya tuhuma hizi nikizileta hapa jamvini kwa kuwa Dr Slaa yupo na naamini wapo pia watu wenye uelewa katika haya yaliyozungumzwa wanaweza kuchangia ama kusaidia katika kukanusha ama kusahihisha ama kukiri tuhuma hizi..,

extracted from TANURI LA FIKRA

Kuchukua tuhuma za mwanachama na kuivesha tuhuma hiyo kwa chama ni makosa na hili linafanywa makusudi na wapinzani ili waendelee kichafua CCM.,haiwezekani ufisadi unasibishwe na CCM hali ya kuwa katika kila chama watu wa AINA hiyo wapo; Nikianza moja kwa moja na katibu mkuu na mgombea URAIS wa chadema Bwana WILBROD SLAA ambaye ni kiongozi mkuu wa taasisi ya CCBRT (katibu wa bodi ya wakurugenzi) ambayo inapatiwa ruzuku ya shilingi za kitanzania; 1,000,000,000/= kutoka kwa serikali kila mwaka kwa kuiendeleza taasisi hiyo kwa manufaa ya watanzania wote na taifa kwa ujumla na pia inapata misaada na harambee mbalimbali kutoka kwa watu binafsi na mashirika makubwa ndani na nje ya TANZANIA kama EUROPEAN UNION,IRISH AID, AUSTRARIAN GVT, AusAID, CBM, JOHNSON&JOHNSON nk, ili kuwaendeleza watanzania katika nyanja ya afya,.tofauti na malengo hayo taasisi hii chini ya Dr Slaa imekuwa ikitoa huduma za jamii kwa ubaguzi mkubwa na kukosekana kwa usawa; nitabainisha kama ifuatavyo;
a) Wagonjwa wanaotibiwa kwa mwaka wanakadiriwa kufika 1,080,000 katika hawa zaidi ya nusu ni kutoka katika mikoa ya kasikazini ikiongozwa na moshi na arusha.(branch ya CCBRT iko moshi)
b) Operesheni zilizofanywa kati ya mwaka 2003-2007 ni kama ifuatavyo.,macho 31,200 napo pia zaidi ya nusu ya wagonjwa walitoka maeneo hayo. Mimi sidhani kuwa moshi kuna watu wenye matatizo ya macho zaidi ya Dodoma, Singida na sehemu nyingine za tanzania ya kati.
c) Operesheni za orthopaedic&plastic surgery kati ya 2003-2007 ni 6,520 bado wagonjwa wengi walitokea kaskazini
d) Na waathirika waliokuwa wakihudumiwa na CCBRT kati ya 2003-2007 zaidi ya 60% ni kutoka mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (ripoti ya Tom Varnneste 24 jully 2008)
e) Taasisi hii pia inakadiriwa kuwa na waajiriwa 320 napo hapa ni uchaga, na ukaskazini umetawala, mchakato wa uajiri ukisaidiwa na Jacqueline Kweka(Advocacy Officer) uliona kuwa hakuna watu waliosoma na kustahili kufanya kazi CCBRT ila ni wachaga na watu wa kanda ya kaskazini. Katika utafiti uliosimamiwa na CCBRT, Radar development pamoja na DISABILITY AID ABROAD umeonyesha kuwa ni asilimia 0.7% ya waajiriwa ndio watu wenye ulemavu(CCBRT ikiwemo kwa kutoajiri walemavu ingawa ni taasisi ya kusimamia walemavu nchini)
f) Lakini kama hilo halitoshi gharama za matibabu ni za juu sana katika hospitali zilizo chini ya CCBRT, takwimu zipo; Gharama ya matibabu kwa CCBRT mtu binafsi anatakiwa kulipa kati ya dola 400-714 sawa na 600,000-1,071,000/= gharama hii ni kubwa ajabu kulingana na pato la kawaida la mtanzania na pia ni gharama ya juu hata kuzidi hospitali zingine hapa nchini ambazo hazipati msaada serikali wala mashirika makubwa ya nje na pia hazifanyiwi harambee kama CCBRT.,mfano CATARACT SURGERY HINDU MANDAL 400,000/=, AGA KHAN 315,000/= REGENCY 300,000/= MISSION MIKOCHENI 180,000 WAKATI CCBRT 680,000(Tom Venneste Appendix iii-nov 2008)

Pia CCBRT imekuwa haiko tayari kuwa wawazi juu ya kiasi cha mapato kinachochangiwa kutoka katika taasisi hizi kubwa duniani (dalili kubwa ya kuwepo ufisadi ndani yake)

Ama ukiacha hayo ambayo yanamgusa moja kwa moja Dr Slaa, pia kuna yanayowahusu viongozi wengine wa CHADEMA kama vile DIWANI WA KATA YA SERENGETI,MKOANI MARA KUKAMATWA AKIMILIKI AK47 KINYUME CHA SHERIA kiuhalisia huu pia ni ufisadi na hata yule MBUNGE WA CUF ALIYESHUTUMIWA KUINGIZA NCHINI MAGARI YA WIZI NA KISHA KUKWEPA KODI huu pia ni ufisadi ila inapotokea mambo kama haya yakifanywa na viongozi au wanachama wa CCM yatatangazwa vyombo vyote vya habari na pia suala hilo litabebeshwa kwa chama badala ya mtu binafsi.

Gamba @work
 
Ndugu zangu,

Kila kukicha wachaga, wachaga, hahahahahahaaaaa katika nchi yetu kuna makabila ambayo watu wake waliona jua mapema, miongoni mwao ni wachaga, wahaya, wanyakyusa!

Wakati wengine wakiwinda, kucheza unyago, au kuvua samaki pale baharini hawa wenzetu walikuwa shule walijifunza mengi ikiwemo biashara. Angalia dominants wa biashara hapa Tanzania baada ya wawekezaji ni makabila yapi. Katika ofisi nyeti angalia makabila yanayoziongoza.

Sishangai kuwaona wakichangamkia hata fursa za matibabu wakati wengine wakibanana kwa wapiga ramli. Wakati umefika badala ya kupiga majungu we have to strive for opportunities available. Opportunities are not given but taken!

Well said!, Ila wenye upeo mdogo wa kufikiri kama mtoa mada hawatakuelewa,maana atakuchukulia na wewe ni mchaga kwa hiyo ndio wale wale
 
Huyo ndio mlitaka awe rais!

Angeligeuza ikuru kuwa Jumba la utapeli!

Usicheze na hili kabila na petha.
 
Hawezi kujibu uzushi kama huu hata sikumuja! Tume washika kila idara sasa mmeamia kwenye habari za uzushi na zisizo thibitishwa.
Huu uzi na uombea kifo hivi punde. Maana ni wa uzushi mtupu.
 
Kwa kuwa wewe ni mtafiti mzuri, hebu zama zaidi kwa kutupa majibu ya uhusiano kati ya (a) hadi (d) na (f). Labda majibu yake yaneweza kukusaidia kuondoa hii mada kwenye mjadala! Na hii inaweza kuthibitisha uwezo wako wa kuchambua takwimu.
 
mimi nitajibu suala la diwani mwenye'Ak 47' ni kwamba huyo bwana alikuwa mwenyekiti wa kijiji cha machochwe wilaya serengeti kwa tiketi ya chama cha mapinduzi baadae ilitokea kutoelewana kwake na diwani aliyekuwa pale kwenye hiyo kata kitu kilichopelekea huyo bwana kuhama na kujiunga chadema kipindi cha uchaguzi mwaka 2010,suala la yeye kukamatwa na bunduki zaweza kuwa kabisa ni sababu za kibinafsi na halihusiani na chadema wala dk slaa' mbona hujiulizi waziri anayetembea smg' hili jambn ni chuki binafs kwa dk.
 
Huyo ndio mlitaka awe rais!

Angeligeuza ikuru kuwa Jumba la utapeli!

Usicheze na hili kabila na petha.

huyo ndio rais 2015.
Ndiye atakaye pambana na baba yenu mkubwa mwamba wa kaskazini lowasa na atakuwa daraja letu la kwenda magogoni.
Chezeeeeeea DR weyeeeeee!

Hatuto babaishwa na habari za uzushi.
 
Nimepita katika group moja katika facebook nikakuta kuna post ambayo inazungumzia tuhuma za ufisadi uliofanywa na watu mbalimbali kutoka vyama vya upinzani akiwemo Dr Slaa..,si vibaya tuhuma hizi nikizileta hapa jamvini kwa kuwa Dr Slaa yupo na naamini wapo pia watu wenye uelewa katika haya yaliyozungumzwa wanaweza kuchangia ama kusaidia katika kukanusha ama kusahihisha ama kukiri tuhuma hizi..,

extracted from TANURI LA FIKRA

Kuchukua tuhuma za mwanachama na kuivesha tuhuma hiyo kwa chama ni makosa na hili linafanywa makusudi na wapinzani ili waendelee kichafua CCM.,haiwezekani ufisadi unasibishwe na CCM hali ya kuwa katika kila chama watu wa AINA hiyo wapo; Nikianza moja kwa moja na katibu mkuu na mgombea URAIS wa chadema Bwana WILBROD SLAA ambaye ni kiongozi mkuu wa taasisi ya CCBRT (katibu wa bodi ya wakurugenzi) ambayo inapatiwa ruzuku ya shilingi za kitanzania; 1,000,000,000/= kutoka kwa serikali kila mwaka kwa kuiendeleza taasisi hiyo kwa manufaa ya watanzania wote na taifa kwa ujumla na pia inapata misaada na harambee mbalimbali kutoka kwa watu binafsi na mashirika makubwa ndani na nje ya TANZANIA kama EUROPEAN UNION,IRISH AID, AUSTRARIAN GVT, AusAID, CBM, JOHNSON&JOHNSON nk, ili kuwaendeleza watanzania katika nyanja ya afya,.tofauti na malengo hayo taasisi hii chini ya Dr Slaa imekuwa ikitoa huduma za jamii kwa ubaguzi mkubwa na kukosekana kwa usawa; nitabainisha kama ifuatavyo;
a) Wagonjwa wanaotibiwa kwa mwaka wanakadiriwa kufika 1,080,000 katika hawa zaidi ya nusu ni kutoka katika mikoa ya kasikazini ikiongozwa na moshi na arusha.(branch ya CCBRT iko moshi)
b) Operesheni zilizofanywa kati ya mwaka 2003-2007 ni kama ifuatavyo.,macho 31,200 napo pia zaidi ya nusu ya wagonjwa walitoka maeneo hayo. Mimi sidhani kuwa moshi kuna watu wenye matatizo ya macho zaidi ya Dodoma, Singida na sehemu nyingine za tanzania ya kati.
c) Operesheni za orthopaedic&plastic surgery kati ya 2003-2007 ni 6,520 bado wagonjwa wengi walitokea kaskazini
d) Na waathirika waliokuwa wakihudumiwa na CCBRT kati ya 2003-2007 zaidi ya 60% ni kutoka mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (ripoti ya Tom Varnneste 24 jully 2008)
e) Taasisi hii pia inakadiriwa kuwa na waajiriwa 320 napo hapa ni uchaga, na ukaskazini umetawala, mchakato wa uajiri ukisaidiwa na Jacqueline Kweka(Advocacy Officer) uliona kuwa hakuna watu waliosoma na kustahili kufanya kazi CCBRT ila ni wachaga na watu wa kanda ya kaskazini. Katika utafiti uliosimamiwa na CCBRT, Radar development pamoja na DISABILITY AID ABROAD umeonyesha kuwa ni asilimia 0.7% ya waajiriwa ndio watu wenye ulemavu(CCBRT ikiwemo kwa kutoajiri walemavu ingawa ni taasisi ya kusimamia walemavu nchini)
f) Lakini kama hilo halitoshi gharama za matibabu ni za juu sana katika hospitali zilizo chini ya CCBRT, takwimu zipo; Gharama ya matibabu kwa CCBRT mtu binafsi anatakiwa kulipa kati ya dola 400-714 sawa na 600,000-1,071,000/= gharama hii ni kubwa ajabu kulingana na pato la kawaida la mtanzania na pia ni gharama ya juu hata kuzidi hospitali zingine hapa nchini ambazo hazipati msaada serikali wala mashirika makubwa ya nje na pia hazifanyiwi harambee kama CCBRT.,mfano CATARACT SURGERY HINDU MANDAL 400,000/=, AGA KHAN 315,000/= REGENCY 300,000/= MISSION MIKOCHENI 180,000 WAKATI CCBRT 680,000(Tom Venneste Appendix iii-nov 2008)

Pia CCBRT imekuwa haiko tayari kuwa wawazi juu ya kiasi cha mapato kinachochangiwa kutoka katika taasisi hizi kubwa duniani (dalili kubwa ya kuwepo ufisadi ndani yake)

Ama ukiacha hayo ambayo yanamgusa moja kwa moja Dr Slaa, pia kuna yanayowahusu viongozi wengine wa CHADEMA kama vile DIWANI WA KATA YA SERENGETI,MKOANI MARA KUKAMATWA AKIMILIKI AK47 KINYUME CHA SHERIA kiuhalisia huu pia ni ufisadi na hata yule MBUNGE WA CUF ALIYESHUTUMIWA KUINGIZA NCHINI MAGARI YA WIZI NA KISHA KUKWEPA KODI huu pia ni ufisadi ila inapotokea mambo kama haya yakifanywa na viongozi au wanachama wa CCM yatatangazwa vyombo vyote vya habari na pia suala hilo litabebeshwa kwa chama badala ya mtu binafsi.
Wee *****, hivi unajua kuwa kwanza Dr. Slaa sio Katibu bali ni Mwenyekiti? Pili, yeye kama M/Kiti wa Bodi anashughulika na Policy Issues na sio Operational issues? Hujui kuwa CCBRT ina CEO wake ambaye kimsingi jukumu la fedha na uendeshaji wa kila siku wa Taasisi hiyo uko chini yake? Sasa, Slaa anahusikaje hapa? Kwanini usingemfuata CEO akujibu?
 
Huyo ndio mlitaka awe rais!

Angeligeuza ikuru kuwa Jumba la utapeli!

Usicheze na hili kabila na petha.
Na Mzee wa Kimakonde alipoanzisha ANBEN Company na hatimaye kujiuzia mgodi wa Kiwira naye alikuwa wa kabila hili? Ama kweli, unahitaji akili ya maiti kukishabikia Chama cha Magamba, Mafisadi na Majambazi wakubwa wa rasilimali zetu!
 
Ili la kashfa ya Dr slaa CCBRT sijalickia leo tu nadhani kuna kitu kilichojificha ila wana CDM wenzangu mambo mengine tusishabikie tuu uwenda kuna kaukweli ndani yake
 
Dr.2po nae huku kusini kwa mujibu wa ratiba yake,anabanwa xana hata hvo anajitahdi lakini naimani akitoka huku anaweza akajibu,hvo hebu 2vute subira.
 
Back
Top Bottom