Elections 2010 Dr. Slaa Jangwani katika Picha

That is very gud,go dr slaa,we are at ur back our saviour,
fulana za sihitaji kura za wafanyakazi zisambazwe kwa wingi
 
Duh! I don't know of what happended right now! But I gave all the weaknesses of slaa, Mod have have removed them!. strange as it is! I previoulsy have an idea that JF is a platform where we dare talk openly. I never knew that it is a platfom where Chadema dare talk openly! And for the same reasons, I will never be back on this platform. However, at this juncture, I have no means to convince you that Slaa he is unfit for anything except for MP position. The mass of Tanzania know it all, and we know it all. Keep on dreaming and goodluck

walau chonga hicho kimombo basi! Utathubutje kukosea kuanzia lugha, hoja na ukweli wa mambo!?
 
Jamani picha tu hazitoshi. Uandaliwe mkakati wa kusambaza hotuba zilizorekodiwa kwenda mikoani. Mikakati lazima iwe mipana katika kutafuta ushindi.
 
Kwanini utushawishi kwamba Dr. Slaa hafai kuwa rais ila anafaa kuwa Mbunge? Inakuwaje mtu afae kuwa Mbunge lakini asifae kuwa Rais? Sifa za wagombea wa nafasi hiyo ni zile zile, kasoro umri tu. After all, wewe ni nani mpaka utuambie kwamba hafai? Hoja zako za kum-disqualify Dr. Slaa hazina mashiko hata kidogo, sana sana naona ni uzushi.

Mwisho kabisa, naona Dr. Slaa ni tishio kwa Kikwete na ndio maana umekazana kwamba anafaa akagombee Ubunge ili Kikwete apate mteremko. Mwaka huu JK ataupata Urais kwa jasho, hatapewa kwenye sahani bila kuutolea jasho. Hakuna cha ushindi wa tsunami wala nini.

Kumbe ataupata....!!! sio ikiwa ataupata! lol :love:
mix with yours
 
walau chonga hicho kimombo basi! Utathubutje kukosea kuanzia lugha, hoja na ukweli wa mambo!?

Khaa!! Huyu naye sijui kaibukia kutoka wapi na kimombo chake! Haya, kama hicho chako ni bora zaidi hongera sana. Mimi nipo nipo sana na nitakuwepo zaidi.

Kuchemsha kwako kumenikumbusha point muhimu sana. Chadema kuna nepotism ya hali ya juu kabisa. Leo Nime-retrieve files kibao kuthibitisha. Hii karata ni moja ya mbaya kabisa kukosa kura hasa kwa sisi wa mikoani ambao tuna chama letu la nguvu linaitwa Mwandosya. Anayepinga apinge kwa hoja, siyo kwa kidhungu kama huyu hapo juu au kwa kelele kama pombe shop.
 
Of Course Mnamuogopa Slaa kwa Sababu Hamjui Hatima zenu na Baba Zenu Na Mama Zenu Wezi
 
Khaa!! Huyu naye sijui kaibukia kutoka wapi na kimombo chake! Haya, kama hicho chako ni bora zaidi hongera sana. Mimi nipo nipo sana na nitakuwepo zaidi.

Kuchemsha kwako kumenikumbusha point muhimu sana. Chadema kuna nepotism ya hali ya juu kabisa. Leo Nime-retrieve files kibao kuthibitisha. Hii karata ni moja ya mbaya kabisa kukosa kura hasa kwa sisi wa mikoani ambao tuna chama letu la nguvu linaitwa Mwandosya. Anayepinga apinge kwa hoja, siyo kwa kidhungu kama huyu hapo juu au kwa kelele kama pombe shop.
Hiki ni nini sasa? Kwa kweli kama akili za wanaCCM wote ndo zipo kama hizi za kwako na MS, basi si ajabu kwa nchi kuwa maskini. Mtakaa mpange nini cha maendeleo ya nchi kama uwezo wenu wa kuchambua mambo ndo huu? Yale yale ya mbayuwayu..... akili za kuambiwa.....
 
Slaa's very disappointing on the podium

...Ulitaka awe na sura nzuri na anatabasamu kila wakati kama Mwafulani?? Ilimradi anahutubia mambo ya msingi inatosha, mambo ya kuuza sura tunawaachia wenyewe!!
 
Hiki ni nini sasa? Kwa kweli kama akili za wanaCCM wote ndo zipo kama hizi za kwako na MS, basi si ajabu kwa nchi kuwa maskini. Mtakaa mpange nini cha maendeleo ya nchi kama uwezo wenu wa kuchambua mambo ndo huu? Yale yale ya mbayuwayu..... akili za kuambiwa.....

Kwani wewe uko nchi ambayo ni tajiri na wewe ukiwa tajiri? Ni hiyo akili inakufanya uwe umaskini binafsi, ukisubiria Slaa akupe utajiri. Utaota sana njozi za mchana. Una hoja tuijadili hapa?!
 
Haya mkuu. Subiri mtu aje achukue pesa za mafisadi awapeni. Sina ziada.

Mkuu KN, Nani aliyekwambia kwamba una la zaidi lingine zaidi ya kupigia debe chama mufilisi cha mafisadi? Hilo la kuzichukua pesa za mafisadi lingewezekana kabisa kama tungekuwa na Kiongozi aliyeweka mbele maslahi ya nchi na pia chama kilichopo madarakani ambacho kimeweka mbele maslahi ya nchi, lakini viliyowekwa ni maslahi ya mafisadi na ndiyo sababu kubwa mafisadi wa EPA, Richmond, Meremeta na wengineo bado wanapeta uraiani pamoja na kufisadi mabilioni ya pesa za wavuja jasho.
 
''Ndugu wananchi Kikwete alikataa kura laki tatu na nusu za wafanyakazi pasipo kufanya mahesabu vizuri. hawa wafanyakazi kama ni mwanaume ana mke na kama ni mwanamke ana mume hivyo kakataa kura laki saba. Hawa nao wana watoto waliofikisha umri wa kupiga kura, wana wazazi ndug na jamaa wanawategemea kwa hali ya familia zetu za kiafrika. Tukijumlisha na kuzidisha hapo tunagundua Kikwete kakataa millioni sita na ushee. Sisi Chadema waheshimiwa wafanyakazi na wananchi kwa ujumla tunazihitaji tupate kuwapigania. Naziombeni hizo kura alizokataa Kikwete nipate kuwatumikia kwa uadilifu.''
 
Ni sawa tutampa ila chedema wanatakiwa silaha zao wasifiche mpaka kipindi cha kampeni,sasa hivi kwa kauli hiyo wenzie wameshaanza kujitetea, mi naomba chadema wawe makini kidogo kama kweli wana nia ya kweli,
 
Wewe Keil, hujui unaongeaje na unaongea katika hanga hizi. Ni hiari yako, anyway. Lakini jamaa yenu Slaa kwisha bin mufulisi. Karatu hana lolot jipya kaleta. Yaaani hana mpya yoyote. Ataaibika sana na kupoteza umaarufu wake wa bungeni hivi hivi. Chukua maneno yangu. Si kweli kwamba CCM ni mafisadi, ila kuna watu mafisadi ambao wanashughulikiwa squarely right now. Wanachama wa Chadema ni mafisadi zaidi. Yeye mwenyewe Slaa, Mbowe na wenzake wakina Komu just to mention a few. Nitawapa mafile yao soon. Subirini tuanze kampeni. Niwafungue macho yenu muone nyuchi (uchi) zao.

Kabla ya urais Kikwete aligombea nini Chalinze?
 
Kanyafu nyafuuuuuuuuuu, sijui kama unachosema unakijua au ni unazi wa kisiasa tu, Slaa ni bakora ya Chama Cha Mafisadi/Majambazi, najua kura watazijambazi ili washinde Slaa ni chaguo la wafanyakazi na wategemezi wao,sasa sema ni kura ngapi atapata.Kalagabahooo kaka hata pweza mwenyewe kaona Slaa anamvuto kuliko JK, hata KANU iling'olewa na wafanyakazi na hivyo ndivyo CCM itang'oka.
 
''Ndugu wananchi Kikwete alikataa kura laki tatu na nusu za wafanyakazi pasipo kufanya mahesabu vizuri. hawa wafanyakazi kama ni mwanaume ana mke na kama ni mwanamke ana mume hivyo kakataa kura laki saba. Hawa nao wana watoto waliofikisha umri wa kupiga kura, wana wazazi ndug na jamaa wanawategemea kwa hali ya familia zetu za kiafrika. Tukijumlisha na kuzidisha hapo tunagundua Kikwete kakataa millioni sita na ushee. Sisi Chadema waheshimiwa wafanyakazi na wananchi kwa ujumla tunazihitaji tupate kuwapigania. Naziombeni hizo kura alizokataa Kikwete nipate kuwatumikia kwa uadilifu.''
Kama ume quote maneno uwe unasema, kwa mfano hayo kwenye red yametamkwa na nani au ni komenti yako.
 
Kwani wewe uko nchi ambayo ni tajiri na wewe ukiwa tajiri? Ni hiyo akili inakufanya uwe umaskini binafsi, ukisubiria Slaa akupe utajiri. Utaota sana njozi za mchana. Una hoja tuijadili hapa?!

Wana JF Mnajua maana ya KANYAFU NKANWA??? Maana yake Ni MWENYE KINYWA KICHAFU!!! SO haina maana kubishana na mtu aliyejitambulisha kuwa na kinywa kichafu!! Kwa kuwa kitokacho kinywani mwake ni kichafu tu!!!
 
https://www.jamiiforums.com/members/kanyafu-nkanwa.html
Kanyafu Nkanwa
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
user-online.png
Senior Member Join Date Thu Jul 2010
Location Kaporogwe Falls, in Scenic Rungwe Escarpments, close to Kiwira River
Posts 239
Thanks : 53
Thanked 56 Times in 37 Posts

Karibu JF wenzio tunaendeleza mapambano kuwakoma wakoloni weusi.
 
KN achaaaaaa hizo acha kuchafuwa watu huna lolote wewe usitubabaishe na huyo msanii wako JK hamna sera na hamna jipya miaka mitano hakuna kitu cha maana tulichokiona, wiziiiiiiiii mtupuuuuuuuu...

Kama una nondo toa tuzione huna mpango, mngekuwa na mafile ya Slaa mabaya mngeisha yatoa siku nyingi mpaka waziri mkuu Lowassa kiachia ngazi siyo mchezo bwana, achana na Slaa humuwezi hata kidogo.

Huyu mtu ni mzalendo na anaipenda Tanzania siyo nyie wezi, majambazi, mafisadi, mabepari mafirauni wakubwaa, kazi na kutwaaaa kuiibia nchi, watu hawana maji safi, hakuna hospitali, shule ni majengo tuu hayo hayana hata walimu majengo yenyewe mabovuuuuu.

Angalia this time mlivyotia aibu, aibu, aibu mnaibiana kura, kadi za CCM ni feki zimetengenezwa mtu anakuja mpaka home kwako na kamera, form, na pesa juu anakupa ili tuu ujiunge na ukampigie kura wizi mtupuuuuuuuu

Aibu yenu
 
Duh! I don't know of what happended right now! But I gave all the weaknesses of slaa, Mod have have removed them!. strange as it is! I previoulsy have an idea that JF is a platform where we dare talk openly. I never knew that it is a platfom where Chadema dare talk openly! And for the same reasons, I will never be back on this platform. However, at this juncture, I have no means to convince you that Slaa he is unfit for anything except for MP position. The mass of Tanzania know it all, and we know it all. Keep on dreaming and goodluck
Mkuu, unaonaje ukiongea kiswahili tu ukaeleweka vizuri? Ukiandika kiingereza kibovu kama hiki watu wanaweza wakashindwa kuelewa kama uko serious
 
Back
Top Bottom