Dr. Slaa is officially jobless

CCM nashangaa leo ndo mnamthamini Dr slaa, mnamtungia thread lukuki, wakati mlikuwa mnamkashifu eti kale kababu. Mwacheni mzee wa watu
 

nakuunga mkono watafutwe watu wenye majina na waaminifu wachangishe fedha hizo na kupitia media watutangazie namna ya kuchangia fedha hizo
i wish you all the best Dr Slaa
 
Kama ni kweli huu utakuwa ni ukatili
lakini sitaki kuamini hapokei hata nusu ya mshahara toka cdm
 
Mkuu, kama unajali alichopigania Dr. Slaa stand up and do something about it...

Unajitahidi sana kupotosha ,kilichotokea kila mtu anajua na alishuhudia katika vyombo vya habari na wengine walikuwa eneo la tukio.Alichokiacha Mbowe ni kipi hakukisema ambacho wewe unakijua?
 
Have you seen his jobless?or your talking without thinking.
 


Samahani labda hukumuelewa vizuri aliposema hakuna alie msafi,mkuu kwani unataka kusema hukuwahi kufanya makosa kabisa kama kudhulumu kwa namna yeyote ile kwa level yako?.

Ukisema wewe ni msafi kisiasa unamaanisha kitu gani ?.
 
Mda sio mrefu nyinyiemu mtaduwazwa kwa umbea wenu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chadema Dr Slaa,

Poleni sana, ipiganieni sana ccm kuliko kulala mlango wazi!
hivi wewe hujakoma tu? Mzee wa watu alitoka shimoni kuja kukusuta.
 
nakuunga mkono watafutwe watu wenye majina na waaminifu wachangishe fedha hizo na kupitia media watutangazie namna ya kuchangia fedha hizo
i wish you all the best Dr Slaa

Wazo zuri.

Naamini Mohammedi Mtoi angeifanya hii kazi kwa ufanisi ila yuko busy na ubunge.

Mkuu Mwita Maranya jaribu kuangalia hili...
 
Last edited by a moderator:
Samahani labda hukumuelewa vizuri aliposema hakuna alie msafi,mkuu kwani unataka kusema hukuwahi kufanya makosa kabisa kama kudhulumu kwa namna yeyote ile kwa level yako?.

Ukisema wewe ni msafi kisiasa unamaanisha kitu gani ?.

Mkuu, usitoke nje ya mada. Kuna haja ya kuangalia hali ya Dr. Slaa..
 
naipenda jamii forum sana wazo la kuchangiwa pia ni muhimu ndugu yangu chama now hakina katibu mkuu kwa sasa na mbowe kasimamisha mishahara yote:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:


Kwa hiyo !!!!.
 
Si tunasikia CCM mmempatia Tsh.billion 3 ili alete msukosuko ndani ya UKAWA lakini fedha yenu imeliwa na hakuna msukosuko kwani kapigwa stop, ninachosikia mnamtafuta mumdhuru kwa kula fedha zenu.
 
Khaa!! Na mimi pia officially kura YANGU niliyomuwekea Dr Slaa sasa ataipata Dr Magufuli
 
Hiyo huruma inatakiwa mahospitalini ambapo kina mama wana lala chini wakisubiri kujifungua.
 
Mkuu ZeMarcopolo, mbona unataka kuniangusha kwenye hii thread? Unafahamu kabisa kwa nini Dr. Slaa kapumzika. Dr. kakataa kuuzwa kwa EL na hii biashara aliianza mbowe 2011. Unataka kutuaminisha kuwa Dr hana akiba? Yaani toka ubunge hadi ukatibu mkuu wa cdm alikuwa anapata mshahara kama mwalimu wa primary ambao haumalizi mwezi? Au una maana gani mkuu labda sijakuelewa.
 
So mnakiri kuwa mnajua si msafi mnachohitaji ni evidence tu?
So niulize ili uinge ktk rekodi ya JF: ushahidi ukipatikana utaacha kumsapoti?
Kwasasa lengo ni kumng'oa mkoloni, hata Chenge akija tutampokea, hayo mengine baadae.
 

Mkuu, hili jambo limetokea ghafla mno. Slaa hajajiandaa..
 

Accept defeat but make sure you don't quit...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…