harson njau
Member
- Jul 31, 2015
- 64
- 4
Mi nilchojua slaa hakufurahishwa na ujio Wa lowasa yeye alkuwa anataka agombee urais yeye na ukawa hawakufanya kosa kumchagua lowasa kwa sbbu anauzika na anaushawishi Wa watu ningemshauri slaa arudi tuendelee kujenga chama
Dr s. Anamaadili na anajitambua..... Kama 2010 mbowe na wabunge wa chadema walitoka bungeni wakidai dr silaa alishinda uchaguzi ila akaibiwa kuraa kwanini safariii hiii asiweze kushindaaa amaa walitudanganyaaa au deal la billion 10 ni la ukweli kwa kamanda wa angaa. Mzee wa mabisinessss
Nasikia CCM wameshampitisha kugombea ubunge karatu ... Huyu Mzee amejidhalilisha sana ... anatumiwa na waaidika wa mfumo ... Hivi pengo ni nani hadi Slaa ajiharibie kiasi hiki?
Dr. Slaa, asicheze na nguvu ya UMMA...!!
Akienda against UKAWA, atakuwa ktk hali mbaya sana...i hope kashaisoma namba...!!
He is NOT SPECIAL...period..!!!
Slaa sio MAARUFU kuliko Lowassa....!!!
Slaa hata angegombea UKAWA, asingeshinda...hili nina uhakika 100%...!!!
Mbowe is very GENIUS POLITICIAN... he knows exactly upepo unavuma wapi... na historia ya nchi hii itamkumbuka MBOWE milele... anajua siasa, Dr. Slaa kama alidhania siasa ni DINI arudi kanisani...kapotea...!!! Alishagombea urais akashindwa vibaya...aache uchu wa madaraka...anakera sana sasa, anajiona mtakatifu...? kwa lipi..?
Mtu anasusa kama demu...tupa kuleeeeeeee, hafai kwa ukombozi...tupa kuleeeeeeee...arudi upadre...!!
Nasikia CCM wameshampitisha kugombea ubunge karatu ... Huyu Mzee amejidhalilisha sana ... anatumiwa na waaidika wa mfumo ... Hivi pengo ni nani hadi Slaa ajiharibie kiasi hiki?
CHANZO: NIPASHE
Mytake: Kauli hizi za Dr. Slaa zinazidi kuonesha namna gani baadhi ya viongozi na wasemaji wa CHADEMA wanavyojribu kuwahadaa Watanzania kuhusu Sakata la Mwanasiasa huyu tegemeo kabisa katika CHADEMA. Sote tunaothamini mchango wa Dr. Katika kukijenga chama hatuna budi sasa tuachane na habari za hawa watu na tusubiri kauli ya Dr. Slaa mwenyewe.
Kauli ya Dr. Slaa imekuja wakati tayari zilishatolewa taarifa mbalimbali na viongozi na wasemaji wa Chadema kuhusiana na sakata hili, taarifa ambazo kwa kauli hii ya Slaa ni wazi zilikuwa ni za kuwahadaa watanzania. Kauli hizo ni pamoja na:
1. Dr. Slaa ameamua kupmzika, akiwa tayari atajiunga nasi-FREEMAN MBOWE
2. Dr. Slaa kukutana na Secretarieti ili kupanga mikakati ya ushindi ya UKAWA-YERIKO NYERERE
3. DR. SLAA atazindua Kampeni za UKAWA-JOHN MNYIKA n.k
unanishtaki,kwani hujui tofauti kati ya tofali la block na la udongo?
Wepi ni imara zaidi (cement blocks), kati ya (a)wana chadema halisi
(b)wahamiaji haramu(ccm)
jibu linaweza kuwa(b)?
Miye sikubali kuwa
C+O2=C badala ya CO2
au 2+3=2
NB KWA SASA HATUNA CHADEMA BALI tuna LOTION
unanishtaki,kwani hujui tofauti kati ya tofali la block na la udongo?
Wepi ni imara zaidi (cement blocks), kati ya (a)wana chadema halisi
(b)wahamiaji haramu(ccm)
jibu linaweza kuwa(b)?
Miye sikubali kuwa
C+O2=C badala ya CO2
au 2+3=2
NB KWA SASA HATUNA CHADEMA BALI tuna LOTION
Chadema ni sawa na msukule unaonyonya watu damu yafaa kuogopwa zaidi ya Kansa ndio maana sie wenye akili zetu timamu tulishasepa mdaaaaaa
hahahhahhaaa mnazidi kuipaisha Chadema hahahhaaaa