Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,042
- 7,474
Wenje alikuwa kenya akimsaidia nduguyake odinga
Wakati wenje akiwa kenya, Mr FastJet alikuwa angani akiwa anafanya yake huku nchi inakwenda arijojo.
Wenje alikuwa kenya akimsaidia nduguyake odinga
Hapo kwenye red hivi siku hizi hakuna Afisa Afya wa Jiji?Maana naona Mbunge analaumiwa hata kwa mambo ambayo hahusiki.
Mh. Dr. Slaa.
Naomba kuwasillisha hoja zangu 2 kwa sababu wewe ndo unapaswa kubeba hizi rawama moja kwa moja ukiwa ndo mtendaji mkuu.
1. Wabunge wetu wote wawili jijini Mwanza wameamia Dar es salaam pamoja na familia zao wanakula maraha, na wakiacha mwanza haina viongozi wa kuwatetea. Hisipokuwa wakipewa taarifa kuwa kuna viongozi wa juu wa chadema wanakuja mwanza ndo nao wanakuja. Ukiwa kiongozi unaweza kumtofautisha mbunge aliepita na hawa wawili? Mbunge aliyepita naye alifanya hivi hivi alipochaguliwa huyo akaamia dar, wakati wa kura akarudi na akapigwa chini, hivyo na hawa sasa wakagombanie ubunge uko dar wanapoishi na si mwanza tena.
2. Tunatatizo la soko kuu la mwanza jini ni chafu sana hakuna choo watu wanajisaidia humo hili wala Wenje hajui si anaishi daaaaaaaaaaar. Anashindwa ata kuomba gari la manispaa la maji tusafishe?
Asante nawashilisha.
Asante sana kwa hoja yako nzuri, na hapo ndipo tunatakiwa Wananchi tuanze kuuliza Maswali kuhusu hawa vyama Upinzani kwani kila siku wanazidi tu kufanana na CCM, ni kosa kubwa sana na ubadhilifu wa fedha zetu walipa kodi kwa Wabunge wetu (Vyama vyote) kuamua kuishi Dar na sio Majimboni kwao wakati wanalipwa Fedha za Jimbo na Serikali, je wanazipeleka wapi?
Kama kweli CHADEMA wanataka kuonyesha UMMA kama wao ni Wakombozi wa kweli na hawafanani na CCM, ni lazima waanzie hapo, nampongeza sana Bw.Zito Kabwe kwa kukataa kuchukua Posho za Ubunge, lakini kwa bahati mbaya sana huu ni uamuzi wake binafsi kwa maana hiyo Chama chake hakihusiki na hili kwa maana Wabunge wenzake wa CHADEMA bado wanachukua fedha ya DHULUMA posho, pesa ambazo sio HALALI na ni za Dhuluma kwa Wananchi ambao kila siku wanapiga makelele majukwaani kudai kwamba wanawatetea!
Na kitu kingine pia nawataka Vyama vya upinzani (Wabunge) wawe wa kwanza kuajiri Madereva na kuwalipa Mishahara kwa kuwa Wabunge wote wanalipwa Fedha kwa ajili ya Madereva, na hamna UZALENDO zaidi ya huo kwani pia itasaidia sana kutoa AJIRA kwa Watanzania!
Vinginevyo kama wanashindwa kufanya haya, mimi kwangu naweza kukubaliana na kauli ya Kardinali Pengo kwamba wote wanaopigia makelele UFISADI ni kwa sababu hawajapata nafasi, siku wakiipata na wao watafanya hayo hayo wanayoyafanya CCM!
CHADEMA (wabunge) KUWENI MFANO WA KUIGWA AJIRINI MADEREVA!
Mnapenda kutetea uozo
Hapi mleta mada ameleta hoja Mzuri lakini vijana wa Kinondoni watampopoa matusi kweli kwa jinsi wasivyopenda ukweli
Mwanza kama jiji kuna meya tena wa ccm kuna madiwani wa ccm na chadema ambao ambao hushiriki na kupanga bajeti ya halmashauri za mwanza sasa hawa wana kazi gani, mambo mengine yanaweza kusimamiwa na madiwani siyo kila kitu mbunge.
Mnapenda kutetea uozo
Mh. Dr. Slaa.
Naomba kuwasillisha hoja zangu 2 kwa sababu wewe ndo unapaswa kubeba hizi rawama moja kwa moja ukiwa ndo mtendaji mkuu.
1. Wabunge wetu wote wawili jijini Mwanza wameamia Dar es salaam pamoja na familia zao wanakula maraha, na wakiacha mwanza haina viongozi wa kuwatetea. Hisipokuwa wakipewa taarifa kuwa kuna viongozi wa juu wa chadema wanakuja mwanza ndo nao wanakuja. Ukiwa kiongozi unaweza kumtofautisha mbunge aliepita na hawa wawili? Mbunge aliyepita naye alifanya hivi hivi alipochaguliwa huyo akaamia dar, wakati wa kura akarudi na akapigwa chini, hivyo na hawa sasa wakagombanie ubunge uko dar wanapoishi na si mwanza tena.
2. Tunatatizo la soko kuu la mwanza jini ni chafu sana hakuna choo watu wanajisaidia humo hili wala Wenje hajui si anaishi daaaaaaaaaaar. Anashindwa ata kuomba gari la manispaa la maji tusafishe?
Asante nawashilisha.
hapo anahusika waziri wa afya na si slaa.hata kama viongozi wa chadema wakikaa marekani ni bora wananchi waheshimiwe na wapewe nguvu na si kama ccm , nguvu zinakuwa za polisi. PEOPLES POWER IS VERY POWERFUL THAN WHAT CHADEMA IS OFFERING!!
system ya ccm imeoza mkuu!nilikuwa sijui kuwa wabunge wa ccm wasipowajibika inakuwa ndio utetezi wa wabunge wa vyama vingine?
system ya ccm imeoza mkuu!
Kaa kushoto na uozo wako
Kapige X-ray yawezekana kichwa chako kina fangasi mkuu.