itajulikana
Member
- Feb 25, 2012
- 8
- 0
Mh. Dr. Slaa.
Naomba kuwasillisha hoja zangu 2 kwa sababu wewe ndo unapaswa kubeba hizi rawama moja kwa moja ukiwa ndo mtendaji mkuu.
1. Wabunge wetu wote wawili jijini Mwanza wameamia Dar es salaam pamoja na familia zao wanakula maraha, na wakiacha mwanza haina viongozi wa kuwatetea. Hisipokuwa wakipewa taarifa kuwa kuna viongozi wa juu wa chadema wanakuja mwanza ndo nao wanakuja. Ukiwa kiongozi unaweza kumtofautisha mbunge aliepita na hawa wawili? Mbunge aliyepita naye alifanya hivi hivi alipochaguliwa huyo akaamia dar, wakati wa kura akarudi na akapigwa chini, hivyo na hawa sasa wakagombanie ubunge uko dar wanapoishi na si mwanza tena.
2. Tunatatizo la soko kuu la mwanza jini ni chafu sana hakuna choo watu wanajisaidia humo hili wala Wenje hajui si anaishi daaaaaaaaaaar. Anashindwa ata kuomba gari la manispaa la maji tusafishe?
Asante nawashilisha.