Dr Slaa hakusema kweli

mkuu usipotoshe, hukuwepo uwanjani. Kasema al adawi ni kivuli cha dowans kuwa hadaa watanzania-kwa nini unaacha kuwa mkweli "ndo maana waitwa maji taka"
acha kusumbuka na hao jamaa waliotumwa kuja kuangalia upepo
waeleze kuwa wajiandae kuondoka watuachie nchi yetu
 
Dowans inamilikiwa na Rostam Aziz... Kwakuwa JK ni jamaa yake Rostam na ni partner wake kibiashara na ni muongomuongo wote wawili Rostam na mkwere hawaaminiki.

Kwani kuna tatizo Rostam akiwa mmiliki wa dowans kama utakavyo wewe?

Mbona Rostam ana makampuni mengi tu, ndani na nje ya Tanzania. Na kuwa na kampuni kama dowans ya mtaji mdogo tu, kwake si kazi. Kwako je?
 
Kusema asemwe mwingine, akisemwa fulani MASHIMO YA TAKA. Lakini pia hakusema ukweli pale alipotuambia kuwa kura zake zimechakachuliwa na idara ya usalama wa taifa

Suala la kuchakachuliwa kura liko wazi, hata makada wa sisiem walikiri hadharani "Kongamano la vijana lililofanyika MABIBO shule ya msingi, kada mmoja alikiri kwamba ana uthibitisho kuwa ccm imechakachua na hata DR. aliweka bayana kuwa uthibitisho upo.
 
Kwani kuna tatizo Rostam akiwa mmiliki wa dowans kama utakavyo wewe?

Mbona Rostam ana makampuni mengi tu, ndani na nje ya Tanzania. Na kuwa na kampuni kama dowans ya mtaji mdogo tu, kwake si kazi. Kwako je?

Kwenye red hapo, hilo ndilo swali ambalo watu tunajiuliza kwa nini Rostam hataki kuukubali ukweli huo kwani anahofia nini?
 
kila ninaposoma post zenu ninaumia sana ndani ya nafsi yangu pale ninapoona watanzania wengi mawazo yetu hayako huru eti tunagombea fulani kasema hv au fulani kasema vile, tayari tumekubali kuwa watumwa wa watu fulani kwamba kila wanachosema na kukifanya bila kukichuja tunakichukua na kukihubiri, kumbukeni hao wanasiasa sio miungu so na wala wanachozungumza sio msahafu sasa huenda wakawa mida fulani wanakosea sasa ni bora kama tutakuwa tunachuja kwanza kabla hatujaanza kuhubiri.
*mawazo huru*
 
Kaumiza, Kaumiza, mbona kama umeumizwa weye! Kweli wayaamini uyasemayo au unsema usiyo amini, Pole yako Huyo Hadaiwi juzi kanywa chai Ikulun wewe unasemaje juu ya hilo, huoni kunauhusiano hapo ingawa mkwere hakuwepo. Hiyo yote janja ya nyani, AMKA
 
Kwani kuna tatizo Rostam akiwa mmiliki wa dowans kama utakavyo wewe?

Mbona Rostam ana makampuni mengi tu, ndani na nje ya Tanzania. Na kuwa na kampuni kama dowans ya mtaji mdogo tu, kwake si kazi. Kwako je?

hivi ulichoandika umekifikiria kweli hau ndo walewale.
 
Kama kampuni ipo in a corporate form, then inaweza kuwa na wamiliki wengi tu.
 
Ni bora aliye mvivu wa kusoma na kusikiliza kuliko aliye mvivu wa kufikiri. Kwa mawazo yako unadhani kila anayempinga Slaa ni CCM! Na kila anayemsapoti JK ni CCM. Fikiri japo kidogo, Mwakyembe ni CCM lakini hamsapoti Rostam ambaye ni CCM mwenzake. Je, sera za Mbowe na Zitto ni sawa? Acheni mapenzi ya ajabu. yanapunguza uwezo wa kufikiri. Kila kitu kwenu ni siasa tuuu!

nyau kweli wewe! Nilikuwepo Mwanza furahisha Phd Slaa kasema Jk hawezi kujitenga na Dowanz full stop
 
Watu wamerekodi soon wataturushia bana wasituchanganye hawa vibaraka wa ccm
 
Back
Top Bottom