Dr Slaa hakusema kweli

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Aliwahi kukaririwa na vyombo vya habari hapa Tanzania(Tanzania daima) akisema kuwa Dowans inamilikiwa na JK. Leo hii akiwa Mwanza ktk mkutano wa hadhara baada ya maandamano amesikika akimtaja Al Adawi kuwa ni mmiliki wa Dowans.
Hakika, Dr Slaa si mkweli.
 
mashimo ya taka yapo mengi kweli kweli..!
 
Unakumbuka vizuri alichokisema Dr. wakati ule mkuu au unataka kupotosha umma tu!!!! Alisema namnukuu ''Kama siyo yake atoe tamko hadharani, ila kukaa kimya kwake kunaonesha kuwa ni yake''
 
Hata wewe sio mkweli, mbona hujatuambia nani mmiliki kati ya hao wawili?
 
mashimo ya taka yapo mengi kweli kweli..!

Kusema asemwe mwingine, akisemwa fulani MASHIMO YA TAKA. Lakini pia hakusema ukweli pale alipotuambia kuwa kura zake zimechakachuliwa na idara ya usalama wa taifa
 
Unakumbuka vizuri alichokisema Dr. wakati ule mkuu au unataka kupotosha umma tu!!!! Alisema namnukuu ''Kama siyo yake atoe tamko hadharani, ila kukaa kimya kwake kunaonesha kuwa ni yake''
CCM wengi wana kawaida ya kukurupuka Mkuu, wavivu wa kusoma na hata kusikiliza
 
Aliwaambia kama anawasingizia wampeleke mahakamani, wameanya hivyo?
 
Dowans inamilikiwa na Rostam Aziz... Kwakuwa JK ni jamaa yake Rostam na ni partner wake kibiashara na ni muongomuongo wote wawili Rostam na mkwere hawaaminiki.
 
Aliwahi kukaririwa na vyombo vya habari hapa Tanzania(Tanzania daima) akisema kuwa Dowans inamilikiwa na JK. Leo hii akiwa Mwanza ktk mkutano wa hadhara baada ya maandamano amesikika akimtaja Al Adawi kuwa ni mmiliki wa Dowans.
Hakika, Dr Slaa si mkweli.

Mkuu hiyo ilikuwa mbinu ya kumshinikiza jk amlete mmliki wa dowans. Unachani bila bila kumshambulia jk kuwa ni mmiliki huyo al dawal angekuja? Mkuu ukitaka kumkamata kuku mwenye vifaranga, kamata kifaranga atakufuata tu!
 
Usipotoshe watu mimi nilikuwepo uwanja wa Furahisha alichosema ni kuwa Al Adawi ni kivuli ametumwa kuzuga kuwa ni mmiliki, acha uongo wa mchana.
 
Mkuu hiyo ilikuwa mbinu ya kumshinikiza jk amlete mmliki wa dowans. Unachani bila bila kumshambulia jk kuwa ni mmiliki huyo al dawal angekuja? Mkuu ukitaka kumkamata kuku mwenye vifaranga, kamata kifaranga atakufuata tu!
Hata Ngeleja alijitokeza baada ya JK kulipuliwa, akatutajia hao kina Al Adawi.
 
aliwahi kukaririwa na vyombo vya habari hapa tanzania(tanzania daima) akisema kuwa dowans inamilikiwa na jk. Leo hii akiwa mwanza ktk mkutano wa hadhara baada ya maandamano amesikika akimtaja al adawi kuwa ni mmiliki wa dowans.
Hakika, dr slaa si mkweli.

mkuu usipotoshe, hukuwepo uwanjani. Kasema al adawi ni kivuli cha dowans kuwa hadaa watanzania-kwa nini unaacha kuwa mkweli "ndo maana waitwa maji taka"
 
CCM wengi wana kawaida ya kukurupuka Mkuu, wavivu wa kusoma na hata kusikiliza

Ni bora aliye mvivu wa kusoma na kusikiliza kuliko aliye mvivu wa kufikiri. Kwa mawazo yako unadhani kila anayempinga Slaa ni CCM! Na kila anayemsapoti JK ni CCM. Fikiri japo kidogo, Mwakyembe ni CCM lakini hamsapoti Rostam ambaye ni CCM mwenzake. Je, sera za Mbowe na Zitto ni sawa? Acheni mapenzi ya ajabu. yanapunguza uwezo wa kufikiri. Kila kitu kwenu ni siasa tuuu!
 
Aliwahi kukaririwa na vyombo vya habari hapa Tanzania(Tanzania daima) akisema kuwa Dowans inamilikiwa na JK. Leo hii akiwa Mwanza ktk mkutano wa hadhara baada ya maandamano amesikika akimtaja Al Adawi kuwa ni mmiliki wa Dowans.
Hakika, Dr Slaa si mkweli.

JK na Hadawi ni wamiliki wa Dowans
 
Jamani, huyu mtu yupo kazini, anataka kudivert mambo ya MWANZA ya leo, na jinsi ccm walivyochanganyikiwa!..Iam telling you, lazima in a day or two wataitisha vikao vya ccm pale IKULU(maana sasa hivi vikao vimehamia IKULU), kujadili maandamano ya MWANZA!

Huyu Kaumza yupo kazini na analipiwa chumba kwa kazi hii!...huh!
 
Aliwahi kukaririwa na vyombo vya habari hapa Tanzania(Tanzania daima) akisema kuwa Dowans inamilikiwa na JK. Leo hii akiwa Mwanza ktk mkutano wa hadhara baada ya maandamano amesikika akimtaja Al Adawi kuwa ni mmiliki wa Dowans.
Hakika, Dr Slaa si mkweli.
Acha uwongo tena nahisi umekurupuka kwani ulikuwa mwenyewe uwanjani? Acha kupotosha jamii.
 
you may be wrong , but you are always a clear shallow creep minded.
 
acha kusumbuka na hao jamaa waliotumwa kuja kuangalia upepo
waeleze kuwa wajiandae kuondoka watuachie nchi yetu
Unakumbuka vizuri alichokisema Dr. wakati ule mkuu au unataka kupotosha umma tu!!!! Alisema namnukuu ''Kama siyo yake atoe tamko hadharani, ila kukaa kimya kwake kunaonesha kuwa ni yake''
 
Ni bora aliye mvivu wa kusoma na kusikiliza kuliko aliye mvivu wa kufikiri. Kwa mawazo yako unadhani kila anayempinga Slaa ni CCM! Na kila anayemsapoti JK ni CCM. Fikiri japo kidogo, Mwakyembe ni CCM lakini hamsapoti Rostam ambaye ni CCM mwenzake. Je, sera za Mbowe na Zitto ni sawa? Acheni mapenzi ya ajabu. yanapunguza uwezo wa kufikiri. Kila kitu kwenu ni siasa tuuu!
sikushangai sana kwani kuna wengi tu waliotumwa kuangalia upepo
kama na wewe ni mmoja wao basi neda kawaambie kuwa jamaa kule wako salaama sana
na uwaeleze wajiandae pa kukimbilia maana wakiondoka madarakani hatutawahitaji tena lazivyo wataishia jera tu
we will confiscate all of their assets
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom