Aliwahi kukaririwa na vyombo vya habari hapa Tanzania(Tanzania daima) akisema kuwa Dowans inamilikiwa na JK. Leo hii akiwa Mwanza ktk mkutano wa hadhara baada ya maandamano amesikika akimtaja Al Adawi kuwa ni mmiliki wa Dowans.
Hakika, Dr Slaa si mkweli.

mashimo ya taka yapo mengi kweli kweli..!
CCM wengi wana kawaida ya kukurupuka Mkuu, wavivu wa kusoma na hata kusikilizaUnakumbuka vizuri alichokisema Dr. wakati ule mkuu au unataka kupotosha umma tu!!!! Alisema namnukuu ''Kama siyo yake atoe tamko hadharani, ila kukaa kimya kwake kunaonesha kuwa ni yake''
Aliwaambia kama anawasingizia wampeleke mahakamani, wameanya hivyo?Kusema asemwe mwingine, akisemwa fulani MASHIMO YA TAKA. Lakini pia hakusema ukweli pale alipotuambia kuwa kura zake zimechakachuliwa na idara ya usalama wa taifa
Aliwahi kukaririwa na vyombo vya habari hapa Tanzania(Tanzania daima) akisema kuwa Dowans inamilikiwa na JK. Leo hii akiwa Mwanza ktk mkutano wa hadhara baada ya maandamano amesikika akimtaja Al Adawi kuwa ni mmiliki wa Dowans.
Hakika, Dr Slaa si mkweli.
Usipotoshe watu mimi nilikuwepo uwanja wa Furahisha alichosema ni kuwa Al Adawi ni kivuli ametumwa kuzuga kuwa ni mmiliki, acha uongo wa mchana.Aliwahi kukaririwa na vyombo vya habari hapa Tanzania(Tanzania daima) akisema kuwa Dowans inamilikiwa na JK. Leo hii akiwa Mwanza ktk mkutano wa hadhara baada ya maandamano amesikika akimtaja Al Adawi kuwa ni mmiliki wa Dowans.
Hakika, Dr Slaa si mkweli.
Hata Ngeleja alijitokeza baada ya JK kulipuliwa, akatutajia hao kina Al Adawi.Mkuu hiyo ilikuwa mbinu ya kumshinikiza jk amlete mmliki wa dowans. Unachani bila bila kumshambulia jk kuwa ni mmiliki huyo al dawal angekuja? Mkuu ukitaka kumkamata kuku mwenye vifaranga, kamata kifaranga atakufuata tu!
aliwahi kukaririwa na vyombo vya habari hapa tanzania(tanzania daima) akisema kuwa dowans inamilikiwa na jk. Leo hii akiwa mwanza ktk mkutano wa hadhara baada ya maandamano amesikika akimtaja al adawi kuwa ni mmiliki wa dowans.
Hakika, dr slaa si mkweli.
CCM wengi wana kawaida ya kukurupuka Mkuu, wavivu wa kusoma na hata kusikiliza
Aliwahi kukaririwa na vyombo vya habari hapa Tanzania(Tanzania daima) akisema kuwa Dowans inamilikiwa na JK. Leo hii akiwa Mwanza ktk mkutano wa hadhara baada ya maandamano amesikika akimtaja Al Adawi kuwa ni mmiliki wa Dowans.
Hakika, Dr Slaa si mkweli.
Acha uwongo tena nahisi umekurupuka kwani ulikuwa mwenyewe uwanjani? Acha kupotosha jamii.Aliwahi kukaririwa na vyombo vya habari hapa Tanzania(Tanzania daima) akisema kuwa Dowans inamilikiwa na JK. Leo hii akiwa Mwanza ktk mkutano wa hadhara baada ya maandamano amesikika akimtaja Al Adawi kuwa ni mmiliki wa Dowans.
Hakika, Dr Slaa si mkweli.
Unakumbuka vizuri alichokisema Dr. wakati ule mkuu au unataka kupotosha umma tu!!!! Alisema namnukuu ''Kama siyo yake atoe tamko hadharani, ila kukaa kimya kwake kunaonesha kuwa ni yake''
JK na Hadawi ni wamiliki wa Dowans
sikushangai sana kwani kuna wengi tu waliotumwa kuangalia upepoNi bora aliye mvivu wa kusoma na kusikiliza kuliko aliye mvivu wa kufikiri. Kwa mawazo yako unadhani kila anayempinga Slaa ni CCM! Na kila anayemsapoti JK ni CCM. Fikiri japo kidogo, Mwakyembe ni CCM lakini hamsapoti Rostam ambaye ni CCM mwenzake. Je, sera za Mbowe na Zitto ni sawa? Acheni mapenzi ya ajabu. yanapunguza uwezo wa kufikiri. Kila kitu kwenu ni siasa tuuu!