Dr.Slaa: Eid izidi kutuunganisha Watanzania

Status
Not open for further replies.

Wewe ni walewale.wanafki mnamkaribisha nyoka ndani akikuuma unaanza kumlaum mungu wako
 
maneno ya busara kutoka kwakiongozi makini na imara, viva chadema.
 
Hapo umeandika point,hicho ndicho nilichomaanisha mtenda Unafiki ni mnafiki tu,haijarishi yupo upande upi.

Tena mnafiki kafiri anaunafuu kwasababu usha mjuwa.kuliko anaejidai mwislamu kumbe nimnafiki mkubwa kama hawa BAKWATA na ccm yao
 
Wewe ni walewale.wanafki mnamkaribisha nyoka ndani akikuuma unaanza kumlaum mungu wako

Bahati nzuri sana waislamu wanao ijua dini na kuujua uislamu hawawezi kuwa na fikra kama za kwako.

Jenga hoja acha kupayuka na kumshambulia mtoa hoja, lakini tambua kuwa kuficha jina ni unafiki kuliko neno lenyewe (unafiki).
 
Minal Faidhina Dr Slaa... Mshikamano ni Muhimu sana kwani Watanzania wote tunategemeana, wote tumepigika ile mbaya kutokana na Sera mbovu za CCM, Wote tunaingia Gharama kubwa kuwasomesha wanetu wakati ni Jukumu la Serikali, Wote tunakoseshwa Huduma muhimu za Kijamii kama Maji, Umeme, Barabara, huduma za afya, Wote tunahangaika kuwahudumia Wazee walioitumikia nchi hii na sasa wametelekezwa na Serikali ya CCM... Sisi Waislamu tunaumia zaidi na Dhulma ya CCM kutulazimishia BAKWATA isiyotetea Maslahi yetu! Sisi Waislam hatutaki favor ya aina yoyote bali tunataka HAKI sawa kwa wote... Minal Faidhina, karibuni tusherehekee pamoja huku tukijua kua majukumu muhimu mbele yetu ni Kuing'oa CCM na mizizi yake yote...
 
Hoja za Udini ni kwa ajili ya Wapumbavu. Rais Slaa anatuusia Eid hii ituunganishe zaidi na kudumisha amani na upendo miongoni mwetu. Kwa watoto tujifunzeni
 

Pole sana ndugu yangu mwislamu,unazani cdm nao watatusaidia sisi waislamu?ondoa fikra hizo hawa ccm na cdm wote wanafiki watupu hawa.hakuna hata mmoja anaeweza kutoa haki sawa.
 

Hoja za Udini ni kwa ajili ya Wapumbavu. Rais Slaa anatuusia Eid hii ituunganishe zaidi na kudumisha amani na upendo miongoni mwetu. Kwa watoto tujifunzeni

Hii michango nyenu imeonyesha ukomavu unao akisi mafundisho mema ya dini.

Mwenyezi Mungu awabariki nyinyi na familia zenu katika kipindi hiki cha sikukuu ya Eid.

Kila jema na lenye kheri lisiaponyoke.
 


Yericko ni kawaida yako kuandika na kujijibu mwenyewe.sasa unamsemea padri slaa.ha ha ha ha .Padri slaa na waislam wapi na wapi.mnakesha mkimtukana mtume humu.leo ugalatia umewatuma mtoe pongezi

Nakupongeza kwa kazi nzuri! Imenivutia sana utangulizi huo, miezi 149 simchezo, ni utafiti makini japo sijakiona kitabu chote!
Hongeara!!

Unaweza kuni pm unipe contact zako kiongozi


kusema kweli ur gud, mwanzo 2 unanipa hamasa yajuendelea kutamani kukisoma kitabu chako. I wish kikiwatayari 2takipata.

Nice piece of work, kama unaweza fanya mpango uki-upload kwenye site za vitabu ili tupate mlo kamili.
 


Mi nikiwa subiani,
Au jini makatani,
Slaa atakuwa nani?
Si kama pepo jamani?

Pepo silika ya Nyani,
Haoni la kalioni,
Shingwe afanya unyani,
Haoni lilo takoni.

Timu ya Ufipani,
Nyota wake nyani,
Mzee wetu Makani,
Akumbukwa si utani.

Slaa wa Kinondoni,
Ni vampya jamani,
Yu dhaifu kwa Satini,
Muasi wa kanisani

Nani wani'ta Shetani?
Wewe mlala jaani?
Kilaza wa Ufipani,
Zukule la kaskazini.

Mimi nikiwa shetani,
Slaa atakuwa nani?
Alokimbia kanisani,
Kwa kushikwa ugoni,

Kwa kushikwa ugoni,
Akakimbia kanisani,
Kazamia bungeni,
Kaibukia Ufipani,

Kaibukia Ufipani,
Huyu Bwana fanani,
Uchumba waisha lini?
Ndoa atafunga lini?

Ndoa atafunga lini?
Au ni TIMU KUZINI?
Tumpeleke Magogoni,
Huyu Padri fanani?

Huyu Padri ni fanani,
Katu si mtu makini,
Tena tusimuamini,
Afadhali ya Nyani.

Wamtaka punguani?
Mwenye matobo rasini?
Alotoka kanisani,
Kaibukia Bungeni

Kaibukia bungeni,
Huyo ndio punguani,
Hana cha mno rasini
Ana matobo kichwani.

Ana matobo kichwani,
Kaacha demuye ndani,
Kaenda zake kuzini,
Kwa kahaba Josefini,

Kwa kahaba Josefini,
Aso na haya usoni
Mwenye mke kabaini,
Kaingizwa mjini.

Hajaenda Magogoni,
Amekuwa firauni,
Akifika Magogoni,
Atakuwa ni Jununi,

Atakuwa ni Jununi
Tena kubwa Maluuni,
Kuzidi Nduli Amini,
Aso faa kanisani.

Aso faa kanisani,
Na pia msikitini,
Mahala pake jaani,
Autimize uhayawani,

Autimize uhayawani,
Atie ndimi puani,
Kama ngo'mbe bomani,
Au mbuzi wa zizini.
 

Mkuu wewe ni mtunzi mzuri sana wa mashairi, mashairi yako mazuri kwanini usitunge wimbo umuuzie Diamond au Sugu?
 

BABU Slaa ishia hapo hapo!, salamu zako peleka kanisa katoliki.
Unaongea hivyo wewe kama nani!

Waislamu hatutaki salamu za kafikir mzinz kama wewe!
 
Khaa!! Idd ipi? Ya J3 au J4?? Waislam wenyewe wanatengana kwa uwazi kabisa halafu yeye anakuja na maneno haya. Grandpa hapa kachemka
 
Eid kutuunganisha watanzania wakati waarab koko wenyewe hawataki? Dr. Slaa why kulazimisha?
 
Mimi namjua vizuri Dr.Slaa hawezi hata siku moja akawatakia heri Waislam huyu aliyeandika huu uzi ni Makene au Yericko, Dr.Slaa hana muda wa kuongea na Waislam ingekuwa Pasaka sawa.

Ndio sababu uislam unachukiwa kwa sababu ya waislam wapuuzu kama wewe!Mawazo ya kigaidi na kujitoa muhanga tu!
 
BABU Slaa ishia hapo hapo!, salamu zako peleka kanisa katoliki.
Unaongea hivyo wewe kama nani!

Waislamu hatutaki salamu za kafikir mzinz kama wewe!
ila salamu za pinda sawa? Ndugu zangu waislamu huu ni zaidi ya unafiki, pinda kuhutubia baraza la Eid sawa? Lakini dr. Slaa kutoa salam za Eid siyo! Hatuitendei haki dinh ya mwenyezi mungu wallahi.
 
BABU Slaa ishia hapo hapo!, salamu zako peleka kanisa katoliki.
Unaongea hivyo wewe kama nani!

Waislamu hatutaki salamu za kafikir mzinz kama wewe!

sidhani hizi salam zinawahusu waislam alshabab,boroharam na genge la ponda,hizi ni salaam za waislam safi,wahubiri amani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…