Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

Wewe unataka kiingereza chenye mabomba ndo useme ndiyo ung'enge!

Hapana, sijaandika hivyo, una assume tu. Nimeandika "wame bungle" kiingereza, tatizo langu wameharibu, sio kwamba hawajawa na ma bombastic, let's get that straight.


The entire premise of the post is fallacious and so exposed.
 
Ye shall know them by their fruits. Do men gather grapes of thorns, or figs of thistles? Mat. 7:16

In your right senses, what will Slaa teach us other than immoral. Think.

How does the speech relates kwa unachotaka kuhalalisha?Stop pre-matured politics.Mind is the greatest asset ever. What you see and hear with your eyes and ears respectively are tiny stuffs to what Great Thinkers see with their mind.
 

Huyo Slaa CCM ilimpiga chini kwenye kura za maoni tu akakimbia chama. Au hujui hilo? CCM hakuna "indigo walk"ins.
 
Kwani sasa hivi wanatufanyia wafadhili? wewe punguani au vipi? hicho kiwanda kinatengeza nini? nyavu za kuvulia samaki? hapahapa Tanzania. Kama kuna mtu anataka kwenda kufanya vyandarua akafanye. Wewe na yeye mmeshafanya vingapi?

Umesema Dr. Slaa kadanganya, nimekuuliza A-Z inamilikiwa na nani?....kwani wewe unadhaniaje?
 
Kwani sasa hivi wanatufanyia wafadhili? wewe punguani au vipi? hicho kiwanda kinatengeza nini? nyavu za kuvulia samaki? hapahapa Tanzania. Kama kuna mtu anataka kwenda kufanya vyandarua akafanye. Wewe na yeye mmeshafanya vingapi?

Kama wafadhili hawatufanyii kazi ya kutengeneza vyadarua maana yake sisi wenyewe(wataalamu wa Nchini) ndio wanaotengeneza,kama ndivyo ya nini tena kuendelea kuomba net nje wakati tuna uwezo wa ndani wa kuproduce bidhaa hiyo? Si kwamba kwa uwezo wetu tu kwa sababu tunaweza tungezalisha in excess.
 
Sentensi mbili tu lakini zimeshiba! DICTATORSHIP, CORRUPTION, EDUCATION, HEALTHCARE, ECONOMY, duh! Ni noma!
Crucifixion or cruci-fiction, teh teh teh!!!
Kiingereza ni janga la taifa, hata Slaa na speechwriters wake wame bungle lugha hapo kwenye speech.

Sema mengine tunamezea tu kwa maana tushaambiwa sana "si lugha ya taifa".

Sasa kama si lugha ya taifa kwa nini tunaitumia?
:violin:
 
Go Go Go our Dude, our king, our Presidaaaa Dr. Slaa!! Hakika nimegundua ni kwa nini Lumumba wameita kikao cha dharura kujadili umakini wa huyo msomi Dr. Slaa!! Salam zangu ziwafikie rafiki zangu GT Ritz, Chama, Rejao, ZeMarcopolo, na Faiza Fozy, na wengie wengi.
 
Kumbe na wewe ni mmoja wa mnaodanganywa danganywa? ushahidi wa nini ili hali mambo yako wazi. Google uone. Slaa atawadanganya sana na mtaishia kula hewani mnaangalia tu.

Kudadadadadadeki

Duh Kazi ipo? Siku hizi ushahidi unatafutwa Google? Nimeelewa kwa nn tumefika hapa tulipo. Si ajabu hata Nchi inaongozwa kwa kutumia Google.
 
You mean you don't know that Slaa is a Catholic Christian? you mean you don't know that "mchumba" was someone's wife?

Is having an affair (openly) with someone's wife moral to you?
FaizaFoxy, huyo ex hasband wa Jose alimwacha Jose for over two years akaenda kuoa!!! kisheria si mume tena huyo na ndoa hakuna!!! Nenda kasome sheria za ndoa!!! At the same time, niambie kama ni Dr. Slaa tu pekee Tanzania hii ameishi na mke wa namna hii!! Tumejaa humu jamvini tuna vimada tela, au vidumu na wengine wana boyfriends, na gilrlfriends kibao ila ikifika kwa Dr. Slaa mnarusha madongo!!!! Jeuka jipige jiwe mwenyewe kwa matendo yako!!! Jambo linguine kama ni kuwalinganisha mbona yule wa kwako hadi leo vimada wanajulikana!!!!!!!???? Wakubwa kwa wadogo? Tunaomba aweke wazi turuhusu masuala ya King Mswati the V in Tanzania!!! Kodi zetu zinatumika vibaya!!!
 

Gamba usimwangalie jakaya angalia matokeo darasani, je wanafunzi wanapata elimu bora au bora elimu?
 

Hii isambazwe kwa wabunge wote pamoja na jakaya
 
Hataki msaada wakati anachangisha walala hoi kwenye mikutano yake. Amesahau kina lema wanavyo zungusha ndoo za plastic mikutanoni. Na zile hundi alizo chukua kwa yule mzee wa kihindi amesha zisahau. Huu ni unafiki wa hali ya juu kabisa.
 
Hotuba hii imenisisimua,imenikumbushia mwalimu Nyerere RIP.Dr Slaa ni kiongozi anayehitajika kuongoza nchi kabla hatujamkabidhi kijana,kuirudisha kwenye msingi kwanza.
 
Ujumbe huu naomba Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ausome. Dr Slaa wa ukweli kura yangu inakusubiri.
 
what do u mean there in red..is it cow meet or a new teminology having more than one meaning

** URBAN DICTIONARY or SLANG will help on that RED yeah ni sawa na kuwa na wake wengi...

Beef - to have a grudge or start one with another person.



When people are not cool with each other. They have problems with each other.
He got beef wit me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…