Kwanini ndgu mnaoSupport CCM hampendi kubadilika! Kwanini mnapenda kujadilia wa2 Badala ya HOJA? nadhani ndomana humu mnadharaulika hadi mnaambiwa mnaishi kwa Elf 7! Binafs ningefurahi km wa2 mngekuwa mnaichana hiyo Speech! kwa HOJA lkn nmna hii haikusaidii ww wala hao unaowawakilisha acheni woga NCH hii niyetu SOTE hakuna mwenye hatimiliki!
what a speech!!!!!!!sijawahi hata cku moja kusikia,kuona au kushuhudia baba ritz akitoa speech yenye akili kama hii.yaani hata siamini wanalumumba hakuna hata mmoja ambaye ameweza kuikosoa hii speech.wanabaki kutupia viembe tu badala ya kujenga hoja.what a speech,what a katibu mkuu
yani kunawatu hawana tofauti na wabunge wao.. Hoja iliyoko hapa haimjadili slaa lakini watu wanatoka povu kujadili maisha yake binafsi.
Bavicha in the modern Age.Teh teh teh! The most stupid speech, Satan's art of deception...
Watanzania wepi waliomtuma huko alikoenda na mchumba? mbona babu anavunga wanafunzi huko?
Una ushahidi wa huu ujinga ulioandika hapa au tu ni kwa kuwa umepata INTERNET ya bure na keyboard ya kugonga gonga bila kulipia?
Bado nashangaa wenye AKILI Hawaongozi nchi hapa Tanzania???shame on;;;;;;;;;;;
Seriously mkuu, nazungumza nikimaanisha kwamba hii hotuba ni ya kawaida kabisa, ukitafuta first year yoyote wa sheria anaweza andika vizuri kuliko jinsi hii hotuba ilivyoandikwa...kama mwenye phd anaandika vibaya hivi, sina haja ya kutafuta hiyo phd...
Faiza! Thinking reasonably is the beginning of change. If we really want to be successful let's be more pragmatic and forget about party politics because it tends to cover our minds with a black veil, the veil of ignorance.Lets focus on issues and how to manage our institutions, how to govern our politics...we have problems, serious ones.Aren't we enlightened enough to think big for our country?
What i can see here is Responce to Change against Reaction to change. It is obvious that you are not ready for change and your reacting to change.Humans suffer because they don't want to be real which is called idealism. Idealists find artificial solutions than pragmatic one.
Let's us open the new door, time has come to accept our failure and start moving. This is called Realism. We need Realists and i sure we have such leaders in the country.
Ritz,ZeMarcopolo,Hammy-D na wengine let's think big for our country.

Ahsante Rais wangu....Ahsante kwa kurudisha hadhi ya TAifa la tanzania katika hali yake ya zamani...Dhaifu ameharibu kabisa taswira ya nchi yetu Kimataifa...Ahsante Dr. kwakusafisha Image ya nchi nyetu..
Unwazungumzia first year wa vyuo vy nchi gani mkuu wakati graduates wetu tu kiingereza ni shughuli
Kumbe na wewe ni mmoja wa mnaodanganywa danganywa? ushahidi wa nini ili hali mambo yako wazi. Google uone. Slaa atawadanganya sana na mtaishia kula hewani mnaangalia tu.
Kudadadadadadeki