Mkullya Damu
Member
- Jul 18, 2012
- 81
- 7
unajua maana ya kamati kuu wewe popompo?
hajui!" anajua kamati za kitchen part na send off
unajua maana ya kamati kuu wewe popompo?
Kwani kazi ya Mungu ni ipi na kazi ya shetani ni ipi?
Watu wenyewe JF hawafiki asilimia 15% lakini wakivamia thread kama viwavi kutetea thread za kijinga utafikiri JF ni wao tu. Hebu nendeni mkapige kura kwenye "poll" tuwaone mko wangapi kwani kwenye hii mada tayari mnaitawala kwa asilimia 75%! Bila shaka huko mmeshuhudia maamuzi ya the silent majority!
![]()
Hahahahahh,hivi Ze marcopolo toka lini kada wa CCM akaona uchafu na ujinga wao..ni nyani gani anaweza weza kuona ----- lake?? Nadhani unatafuta hoja za kufifisha harakati za chadema. Dr Slaa ni msomi he reaps his words and neva underestimate his thoughts. Jamani ebu ifike kipindi tu sema mambo ya kutakia maendeleo nchi yetu sio kushinda humu unatafuta ulaji kamanda. Mengi ulioandika ni upuuzi na uongo kwa waelewa. We ndiye mwanasiasa mlaghai. Kabla ujaandika kitu make a vivid research.
Alinda ni mlaghaika, hawezi kukuelewa...
Acha porojo. Lete ushahidi wa tuhuma ulizo leta juu yangu.
Ukiondoa msaada wa policcm,uwizi wa kura na rushwa ya yale makofia yenu kama chujio,kanga zile nyepesi kama kondom,t.shirt zile kama madekeo,pombe za kienyeji huko vijijini na nyamba+pilau,ccm uwezo wenu jilinganisheni na kile chama cha mtikila.
Watu wenyewe JF hawafiki asilimia 15% lakini wakivamia thread kama viwavi kutetea thread za kijinga utafikiri JF ni wao tu. Hebu nendeni mkapige kura kwenye "poll" tuwaone mko wangapi kwani kwenye hii mada tayari mnaitawala kwa asilimia 75%! Bila shaka huko mmeshuhudia maamuzi ya the silent majority!
![]()
Mrema aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kubebwa na kusukumwa kwenye gari.Kwanini wanaume msichanganikiwe? Mmeshangilia baada ya treason mliomfanyia Zitto na sasa Rais wenu wa taasisi yenu maalumu anasuffer na kupata humiliation na kutosha kutoka kwa wananchi. Jiulize zitto akifungua mdomo kweli atapona mtu? Lol, poleni sana. Hahahahahahahahahaha. Mzinzi kaipataaa.
Slaa ni gaidi ?
Combination za masalia,MM na maccm ndo huzaa thread kama hivi.
Mnazidi kuiimarisha CDM kwa gharama zenu kwa kifupi kama
Mlikua hamjui mnafanya nini.
#CDM_FOREVER
Huna hoja...