- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!
- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?
Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!
le mutuz
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.
- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?
LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com

wewe uko social media zipi ambazo hujui alichokiongea Dr.Slaa?
Kwa ufupi wakati anahojiwa na vyombo vya habari (EATV LIVE INTERVIEW DECEMBER 2012) naomba nimnukuu "wakati nipo CCM mwaka 1995 kadi yangu ya chama cha mapinduzi ilikuwa imelipiwa ada ya miaka 20, yaani mpaka mwaka 2015". mwisho wa kunukuu
sasa tuone katiba ya CCM inasemaje mwanachama akihamia chama kingine cha siasa.
13. (1) Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:-
(a) Kujiuzulu mwenyewe;
(b) Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(c) Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(d) Kutotimiza masharti ya uanachama.
(e) Kujiunga na Chama kingine chochote cha
siasa.
(2) Mwanachama ambaye uanachama wake
unakwisha kwa sababu yoyote ile
hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada
aliyotoa wala michango yoyote aliyoitoa.
(3) Mwanachama aliyeachishwa au kufukuzwa
Uanachama akitaka kuingia tena katika
CCM, itabidi aombe upya, na atapeleka
maombi yake hayo ama katika Halmashauri
Kuu ya Wilaya ama kikao kilichomwachisha
au kumfukuza Uanachama.
(4) Mwanachama aliyejiuzulu akitaka kuingia
tena katika CCM ataomba upya kwa kufuata
utaratibu wa kuomba Uanachama kwa
mujibu wa Katiba ya CCM.
Yaaani wewe hamnazo kabisa hata katiba ya chama chako huifahamu vizuri. soma kwenye red hapo ukimaliza waambie mods waufute uzi wako.
LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com
- Haya ni mawazo yako kwa vile sina mawazo kama yako ya kukumbatia mediocre, umesema maneno mengi lakini hujagusa the ishu yaani Slaa kwa nini analipia kadi yake ya CCM na hafukuzwi?
le mutuz
- CUF na CCM wanatawala pamoja kule Zanzibar, kwa hiyo ni sawa sana kwa Lipumba kuw ana kadi ya CCM, lakini Slaa kuwa na kadi ya CCM na anailipia kila mwezi, na huku majuzi mmewafukuza dagaa kwamba ni Mamluki, inatia shaka sana na uwezo wenu wa kuheshimu na kuzingatia Sheria au katiba!!
- Kama hamuwezi kuzingatia Katiba ya Chama chenu itakuwa Katiba ya Jamhuri, mtatupeleka pabaya sana jamani!!
Le Mutuz
Baba,
Shikamoo. Majuzi nilichangia uzi wako; na leo nachangia tena. Wadogo zangu najua watashangaa najibizana na baba, lakini nia na madhumuni ni kuwekana sawa. Kwa ajili ya mustakabali wa nchi yetu.
Baba, naomba unipe ufafanuzi wa concerns zangu hapa chini;
1. Katiba ya CCM Ibara 13 (1) (e) inatamka bayana kwamba, uanachama wa mwanachama, utakoma iwapo atajiunga na Chama kingine.
2. Mwaka 1995 katika mchakato wa kura za maoni kupitia CCM, wajumbe walimpitisha Dkt Wilbroad Slaa kuwa mgombea wa Ubunge wa jimbo la Karatu dhidi ya aliyekuwa mbunge wa CCM - Patrick Qorro.
3. Kutokana na sababu inazozijua yenyewe, CCM ilikata jina la Dkt Slaa na kurudisha jina la Qorro. Wananchi wa Karatu walimwomba Dkt Slaa kuondoka CCM na ajiunge na chama chochote makini, cha upinzani ili wao waweze kumchagua kuwa Mbunge wao. Kwa kuwa walimpenda. Walimwamini. Walimthamini. Narudia tena, wananchi wa Karatu.
4. Dkt Slaa akajiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kulingana na ibara tajwa hapo juu - automatically - akawa amejifuta/ameacha/amekoma kuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi na kuwa mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
5. Kitendo cha kutokufuata falsafa, itikadi, ilani nk. ya CCM na kuipinga na kuikosoa kwa uwazi, by itself, ilitosha kumwondoa Dkt Slaa kuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi.
6. Kutoka mwaka 1995 hadi 2012 Nape (na masalia walioko kaburini kwa sasa kutokana na kurushiwa kitu kizito) alipozungumzia suala la kadi mbili; yapata miaka kumi na saba(17). Umri wa mtoto kuweza kuwa na mtoto!. Yaani umri wa Ritz, Rejao, Zomba na Chama!
7. Nape (na wewe umekumbushia tena) alisikika akisema Dkt Slaa ameendelea kulipia kadi yake kila mwezi kwa miaka yote 17 ( 17 x 12 = miezi 204).
8. Kutokana na maelezo yangu hapo juu (1 - 7) napenda baba nikuulize maswali yafuatayo:
(i) Kwa nini mmeendelea kumruhusu Dkt Slaa kulipia kadi yake, ilhali katiba yenu hairuhusu? Je, hamuoni kuwa mlikuwa mnamuibia?
(ii) Unaweza ukatuonyesha ledger (leja) na nakala ya stakabadhi (receipt) ambazo Dkt Slaa alikuwa analipia?
(iii) Alikuwa analipia tawi gani la Chama? Victoria (akiwa anaishi hapo), Bahari Beach, Karatu Mjini, Manyara Kibaoni, Rhotoa (kwa mzee Anderson), Mbulu mbulu, Mang'ola, Oldeani, Endamarariek?
(iv) Kwa nini mmekuwa na 'double standards'? Wanachama wenu wengine walioondoka kwa uwazi the same year (namzungumzia Mh. Agustino Mrema) hamkuwaruhusu kuendelea kulipia kadi zao, na mmewaacha waendelee kuwa nazo, lakini Dkt Slaa mkamuacha alipe?
(v) Hamuoni Katiba yenu kuwa 'bad law (Mayalla, 2013) kwa kuwa inazungumza hili na watendaji - tena Naibu Katibu Mkuu Bara na Katibu wa Itikadi na Uenezi - wanafanya vingine?
Baba, najua nimekuchosha na andiko langu refu. Uniwie radhi. Najua kwa umri wako huo saa hizi ulistahili kuota moto. Hivi bado unakaa kwa babu na bibi pale jirani na hospitali ya Mtukufu Agha Khan? Hivi baba, baada ya kurudi kutoka ng'ambo, unajishughulisha na kazi gani ya kukupatia kipato?
Cc Molemo, Pascal Mayalla, Mwita Maranya
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.
- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?
LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com
Dr.Slaa 1995 alilipia kadi hiyo miaka 20 hadi leo imelipiwa. NAPE aoneshe risit iliyolipiwa mwez uliopita kama anayo!
This very low Le Mutuz, akili imechoka kiasi hike???? U're proclaiming that you're the King of social media.....how many followers do you have? How is the queen of all bongo social network media ? ficha ujinga wako mzee....... ur cant argue intelligently...
- Anayetakiwa kujibu ni Slaa menyewe au Chadema, sio wewe na kwa nini mmewafukuza wale watoto wadogo au kwa sababu ni watoto wadogo na hasa Msichana mdogo kwa sababu hawezi kujitetea mbele yenu wababe wa matusi, I mean think about it mamluki ni mamluki tu huwezi kuwa na kadi ya CCM na Chadema ukakosa kuwa mamluki, au?
le mutuz
kuna watu tushukuru tu kuwa wazazi wetu walipata kanafasi katika serikali, la sivyo tungepata shida sana, sidhani hata kama utayaelewa haya ninayotaka kuyasema hapa
- Mamluki sio wenye kadi za CCM halafu wako CHADEMA bali wenye mioyo na tabia za kifisadi popote walipo, Je wewe ni msafi?
- Wapo watu wenye kadi ya Chadema tu, lakini ni Mamluki, CCM mnawajuwa na mnawatetea, Je wewe huwajuwi?
- Wapo watu hata kadi ya Chadema hawana, lakini kwa harakati zao za kutetea wananchi, watu wanaamini ni wanachadema, Je una akiri ya kufahamu ni kwa nini?
- Wapo wanaoamini FILIKUNJOMBE angefaa kuwa mwanachadema lakini sio wewe wala babako, do you've some explanation for this?
- Kujenga shule duni kwa ajili ya sisi masikini halafu wasimamia sera wanapeleka watoto wao kwenye shule bora za binafsi au nje ya nchi ni Ushetani na wala siyo kumiliki kadi ya CCM, Je wewe siyo Shetani?
Sina uhakika kama umeelewa, tafuta watu wakusaidie, halafu ujiulize ni kwanini watoto wengi wa viongozi wa nchi hii waliopelekwa kusoma nje kwa migongo ya wazazi wao waliotumia fedha za watanzania kifisadi, wana upeo mdogo sana wa kujuwa kuua ni dhambi lakini kumuua adui anayekuvamia siyo dhambi,Je kipi ni kibaya kumiliki kadi ya CCM ukiwa CHADEMA au kuwa FISADI mwenye kadi moja tu ya chama?