William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.
- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?
LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA.

Jana nilimsikia Prof.Lipumba naye anasema anakadi ya CCM,na anasema aitupi kwasababu na mali yake,sasa sijui muwasha washa unatoka wapi,akija akikiri kwamba kadi anayo wewe utafaidika nini?Wanaume wengine banaaa.
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.
- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?
LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA.
mkuu anza na ccm na kikwete to clean
1. Epa pending
2.kagoda pending
3.meremeta pending
4.kiwila pending
5.
6.
7.
8.
9.
10.
Wewe ni mtu wa ajabu sana na uwezo wako wa akili ni mfinyu sana
huwezi kukemea watoto wa jirani wakati wewe watoto wako wameoza
shame you, mzee you are still younger in this game.........
Unajua ukiwa CCM akili zinawaruka kabisa! Hivi Dr Slaa awe mamluki wa CCM alafu Nape atangaze? Hivi jeshi linaweza kupandikiza mtu mahali alafu litangaze? Huu ni utoto na unachosha sasa na hasa tunajua kwa muda mrefu kulikuwa na mkakati maalum wa kuigeuza JF kijiwe na stori za kijinga na zisizoaminika.
Dr Slaa kadi ya CCM aliilipia miaka 20 kama ilivyo kwa Chadema na amekwisha sema hilo tatizo liko wapi?
William,nafahamu uwezo wako wa kuibua mijadala muhimu na wewe ni moja ya maguru wa JF toka enzi hizo lakini umeamua kujitoa akili makusudi kiasi cha kushangaza malengo yako!
Tujenge taifa kwa kujadili mambo ya maana na isaidie serikali ya chama chako kwa kuikosoa mapema kabla hamjasambaratika kama KANU.
Otherwise Mods mijadala inayojirudia kama hii unganisha tu itaishia kujaza server kwa porojo na kejeli za willy.......