james chapacha
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 939
- 200
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania , mtakumbuka ya kwamba Dr Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa ccm kabla ya kuasi chama na kukimbilia cdm. Hata hivyo, mpaka leo hii Dr Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya ccm.
Hata mi naskia ivo na anashirikiana vizuri tu na viongozi wa ccm na serikali ila kisiri sana
kweli shule na vyuo vyetu vina kazi sana kama ndio watu wanafikiri hivi. Kama hajarudisha manake kuwa anayo? Yaani hakuna uwezekano mwingine wowote ule? Mimi pia niliwahi kuwa na kadi ya CCM na hadi leo sijairudisha na sina mpango wa kuirudisha....
CLUE: Uanachama wa CCM unakomaje?
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania , mtakumbuka ya kwamba Dr Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa ccm kabla ya kuasi chama na kukimbilia cdm. Hata hivyo, mpaka leo hii Dr Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya ccm.
Kweli magamba mnaokoteza ya kumsema Dk. Kuna hajagani ya kurudisha likadi la Ccm ofcn? Huzionagi kadi zinazokusanywa kwnye m4c? Mimi niliamua kulichoma moto nahic hata dk alifanyahvo.
kwa taarifa tu ni kwamba Dr bado analipia ada ya uanachamahilo sio tusi ispokuwa najaribu kubashiri source ya data zako, huwezi kupost ujinga afu nikuvumilie tu. mtu asiporudisha kadi haina maana bado ni active member kwani kadi inaweza kupotea, kuteketezwa au kupelekwa chama pinzani ili kuonesha umma kwamba umekihama chama fulani mfano mzuri ni pale wanaCCM wanavyopeleka kadi zao kwenye mikutano ya M4C. ina maana haya yote ulikuwa hujayafikiria? bac huenda we ni KILAZA.
Slaa rudisha kadi ya watu kama hii habari ina ukweli wowote. Huwezi kame kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja.
kwa taarifa tu ni kwamba Dr bado analipia ada ya uanachama
Slaa rudisha kadi ya watu