kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,405
Yaani kumbe hukumuelewa alieposti hio posti? funguka akili!Uchochezi huuu aisee we Dr slaa Nani??
Epuka kuandika habari za namna hii zilizokaa kichochezi, epuka hata kuchangia kabisa kwenye nyuzi za hivi,
Padre Slaa ni kada wa ccm kabla hajaamia Chadema na hajawahi kurudisha kadi ya ccm.Siyo kada hata kidogo. Ni njaa tu! Moyoni mwake hayupo nao! Njaa mwanamalegeza! If you want to befriend a lion, starve it for weeks or so, then feed it with flesh!
No, please by those days kulikuwa na chama kimoja TANU/CCM there was no alternative. Vilipokuja vyama vingi watu wakawa revolutionized.Padre Slaa ni kada wa ccm kabla hajaamia Chadema na hajawahi kurudisha kadi ya ccm.
Mi mbaraka mwinshehe bana,yule kiboko ya muziki.Mi namuunga mkono Marijani Rajabu Jabali la Muziki
Rais alisema kule Zanzibar kuwa kamwe wapinzani hawatatia pua kwenye serikali yake. Hivyo jibu ni kuwa Dr. ni kada mzuri tu wa CCM.Muuliza swali kama alihitaji kujua, aelimishwe siyo kumpotosha na Siasa za uchochoroni. Kama hoja ya swali ilikuwa ni kwa kuteuliwa kwake, Rais ana mamlaka ya kumteua "mtanzania" yeyote yule kushika nyadhifa yoyote ile, ambayo anadhani angeikidhi. Watanzania wote kwa ujumla wetu, tunawajibika kwa yote ktk nchi yetu.
Kama msingi wa hoja ni kwa kuipongeza serikali kiutendaji, Siasa za upinzani si kupinga kila kitu hata kama kinaendana na unayoyaamini. Member wa republic anaweza akajiunga na wale wa Democratic ktk voting, kwa US.
Kwahiyo inawezekana si kada wa Ccm ila ameyakubali yanayotendeka na Ccm, kama alivyosema mwenyewe, sio kosa. Kukubali uteuzi, ni uzalendo wake kwa nchi yake. Vikitokea vita vya kijeshi watz bila kujali itikadi ya kivyama tutaungana, tuko kwenye vita vya kiuchumi na kuliletea maendeleo taifa, itikadi tuviweke kando.
Kama msingi
Amani iwe nanyi, naomba kuuliza je Dr. Slaa ni kada wa CCM? Maana sijaelewa kinachoendelea au naye anamuunga mkono Rais Magufuli?
Naomba mwenye kujua hili anipatie elimu kabwela mimi.
Ahsante.
Kwa mujibu wa Biblia Takatifu Laana ya usaliti inatafuna hadi kizazi cha nneAmani iwe nanyi, naomba kuuliza je Dr. Slaa ni kada wa CCM? Maana sijaelewa kinachoendelea au naye anamuunga mkono Rais Magufuli?
Naomba mwenye kujua hili anipatie elimu kabwela mimi.
Ahsante.
Kwani kaitwa makao makuu ya CCM? Inawezekana ulimiss taarifa; Dkt. Slaa ameteuliwa kuwa Balozi alipokuwa Canada. Amerudi nchini na kukutana na aliyemteua. Inawezekana katika kujadiliana post atakayopangiwa. Sasa kinachokufanya umhusishe na CCM ni nini. Ukimuona anashiriki kampeni ya kumuuza mgombea wa CCM akiwa na magwanda na akiisifia CCM utakuwa na swali zuri. Tupo wengi tunaomuunga mkono Magufuli lakini hatujashawishiwa si mashabiki wa CCM na misimamo yetu inaendana Zaidi na tulipokuwa awali kuliko ile ya CCM.Amani iwe nanyi, naomba kuuliza je Dr. Slaa ni kada wa CCM? Maana sijaelewa kinachoendelea au naye anamuunga mkono Rais Magufuli?
Naomba mwenye kujua hili anipatie elimu kabwela mimi.
Ahsante.
Rais alisema kule Zanzibar kuwa kamwe wapinzani hawatatia pua kwenye serikali yake. Hivyo jibu ni kuwa Dr. ni kada mzuri tu wa CCM.
Hapo hakuna cha elimu, MKUU alisema hawezi teua wapinzani, ndiyo maana hata wale waloteuliwa wakijiita wapinzani waliishaungana naye. Wahenga walisema kila shetani ana mbuyu wake, ni hayo tu.Amani iwe nanyi, naomba kuuliza je Dr. Slaa ni kada wa CCM? Maana sijaelewa kinachoendelea au naye anamuunga mkono Rais Magufuli?
Naomba mwenye kujua hili anipatie elimu kabwela mimi.
Ahsante.