Je kumiliki kadi ya ccm cyo usaliti ?
Kama zitto kabwe angebambwa ha hii kadi ya ccm ingejuwaje?
Cc: Dk slaa
kama bado anayo lakini amesaidia kuijenga cdm hadi kuwa tishio kwa ccm hivyo hiyo itunzwe humohumo kabatini huenda anataka awe ana iona ili hasira iwe ina mpanda zaidi kuimaliza hiyo ccmHata mi naskia ivo na anashirikiana vizuri tu na viongozi wa ccm na serikali ila kisiri sana
Je kumiliki kadi ya ccm cyo usaliti ?
Kama zitto kabwe angebambwa ha hii kadi ya ccm ingejuwaje?
Cc: Dk slaa
hivi na wewe umekaa umefikiri ukaona hii nayo ni hoja?mbona mnaishiwa vibaya hivyo mkuu? Kifupi kadi ya CCM ni ya kuchoma moto na si vinginevyo.Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.
Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.
Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.
natamani mijadala hii ya 'watu' na 'utu' wao, ingeelekezwa katika mambo ya msingi zaidi, kama nchi tungekwamuka hapa tulipo! I hope that in the few hours to come (2014), we will keep on open mind na kuanza kujadili issues, ideas, approaches, strategies, ideologies and methodologies za kututoa tulipo na kutupeleka hatua moja mbele katika maendeleleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kitamaduni. God bless!!
Siyo kada hata kidogo. Ni njaa tu! Moyoni mwake hayupo nao! Njaa mwanamalegeza! If you want to befriend a lion, starve it for weeks or so, then feed it with flesh!Amani iwe nanyi, naomba kuuliza je Dr slaa ni kada wa ccm? Maana cjaelewa kinachoendelea au naye anamuunga mkono jpm? Naomba mwenye kujua hili anipatie elimu kabwela Mimi.
Asante.
Kwani tupo kifungoni? Kuuliza ndo uchochezi na we ni nani km sio mchochezi? Naona ww ndo mchocheziUchochezi huuu aisee we Dr slaa Nani??
Epuka kuandika habari za namna hii zilizokaa kichochezi, epuka hata kuchangia kabisa kwenye nyuzi za hivi,