Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Kwan Kadi zinarudishwa wapi? Itabd niwe napeleka rundo la kadi ambazo wana ccm wamezleta kwangu after mikutano. .. Nielekezeni pahala pa kurudsha hzo kadi za CCM ili nigeuze ofc yenu dampo.
 
kwani kadi huwa mali ya nani? je dr slaa ni active member yaani huwa anailipia..hivi kikomo cha kuwa mwana ccm kikoje..

The fact kwamba alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM inatia mashaka nia yake ya dhati ktk mabadiliko. We need green and yellow blood free people kuikomboa hii nchi.
 
Makubwa jinga hawaishi. Kweli kabisa unataka kunimbia kutokurudisha ndiyo kuwanayo kazi ipo, sio kila wakati ni presumption tu
 
Hawezi kurudisha siku yeyote atarudi CCM.
 
Presha inapanda! Presha inashuka!mimi ninayo ya uvccm, ya uanachama na bado sijarudisha!who cares bwana!
 
mleta mada ni mke mdogo wa Dr? amejuaje kama bado hajarudisha au kachoma moto?. shemeji umezaa watoto wangapi na dr.?

Mkuu haipendezi hata kidogo kuandika lugha ya matusi humu (idiot)
 
Yakwangu sikuwahi ilipia nilipewa SUA na jamaa alikuwa anagombea udiwani kule Mazimbu 2005. Nasijaiona tena sasa na me ccm.
 
Mtaropoka yote maana mmebanwa pabaya hzo kelele zenu hazituzuii kunywa maji.
 
Hii homa ni noma!Naona nyuzi joto iko juu karibia wengi wataonekana barabarani wakiwa wamechizika!!!
 

Mkuu kimbunga mimi huwa ninakuheshimu sana kwenye augement zako. Nimekuwa nikifuatilia hoja zako sana mkuu. lakini kwa hili la udaku limenishitua sana kama na wewe unaweza kuamini hivyo.
 
Mbona si tatizo? Mim mwenyewe sikurudisha ya kwangu, si ni mali yangu kwa kumbukumbu ya kuwa gamba!
 
 
Mkuu haipendezi hata kidogo kuandika lugha ya matusi humu (idiot)

hilo sio tusi ispokuwa najaribu kubashiri source ya data zako, huwezi kupost ujinga afu nikuvumilie tu. mtu asiporudisha kadi haina maana bado ni active member kwani kadi inaweza kupotea, kuteketezwa au kupelekwa chama pinzani ili kuonesha umma kwamba umekihama chama fulani mfano mzuri ni pale wanaCCM wanavyopeleka kadi zao kwenye mikutano ya M4C. ina maana haya yote ulikuwa hujayafikiria? bac huenda we ni KILAZA.
 
siku hizi kadi za ccm tunazichoma moto au kuzizika baharini kabisa ka osama. mia
 
Duh, vijana bwana, mnakumbuka Dr Slaa kaenda CDM lini? na nini kilimfanya ajiunge na CDM? mkilijua hilo hamtakuwa na maswali kama haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…