Dr. Slaa awapongeza wananchi wa Kigoma

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Dr yupo Kg kwa siku kadhaa akiwa amekuja kutoa semina elekezi kwa madiwani wa cdm na meya. Amehutubia ktk mkutano mkubwa wa wakazi wa kigoma mjini. Jaman Dr ni kipenz cha wa tz. Kaongea mambo mengi ikiwe matamuko waliyoyatoa jana. Pia kasema aliokoa nchi baada ya matokeo ya uchaguz kutangazwa. Dr anapendwa jaman
 
naweza kusema kupendwa kwa Dr. Wa kweli sio habari tena ni kitu kiko wazi, sisiem haipo tena kwa taarifa.
 
Alihidi kuwa kama hatofanikiwa kuwa Rais wa Tanzania kupitia uchaguzi 2010 basi hakuna kulala, atazunguka nchi nzima kukijenga chama,maana majukumu ya ubunge na uenyekiti wa kamati ya bunge ya serikali za mitaa nafasi zilizokula muda wake sana hatokuwa nazo tena.Hivyo safari kijiji kwa kijiji, kata kwa kata, tarafa kwa tarafa, wilaya kwa wilaya na mkoa kwa mka kukijenga na kuimarisha CDM. Naona sasa anatekeleza kwa vitendo
 
Kigoma ni kwetu baba hapo walisha msoma nyendo zake zote, wanamuelewa ni balaa, wala asijidanganye kuwa kwa yeye hapo kgm mjini eti ana kula, muulizeni madiwani wa chadema mjini ni wangapi na yeye alipata kula ngapi?. Walipofariki wafuasu wa chadema hapo ujiji mbona hakuonekana. Unajua hiyo ndiyo ajira yake iliyobaki kwa sasa kwahiyo kuzunguuka kwake nchini hatumshangai. Sijasikia tatizo hata moja analotoa solution yeye ni mzee wa kulalamika. Kigoma siasa ya upinzani tumeijua yeye bado ni padre.achukue zake time Kg(Lwama) hatuhitaji wanafiki, na anaona aibu kwa alivyotaka kujifanyisha kwa mbunge wetu Zitto.
 
Tulisubiri sana aseme tulianzishe na tungeanza na mafisadi kabla ya polisi...bahati mbaya akakaa kimya
 
Kigoma ni kwetu baba hapo walisha msoma nyendo zake zote, wanamuelewa ni balaa, wala asijidanganye kuwa kwa yeye hapo kgm mjini eti ana kula, muulizeni madiwani wa chadema mjini ni wangapi na yeye alipata kula ngapi?. Walipofariki wafuasu wa chadema hapo ujiji mbona hakuonekana. Unajua hiyo ndiyo ajira yake iliyobaki kwa sasa kwahiyo kuzunguuka kwake nchini hatumshangai. Sijasikia tatizo hata moja analotoa solution yeye ni mzee wa kulalamika. Kigoma siasa ya upinzani tumeijua yeye bado ni padre.achukue zake time Kg(Lwama) hatuhitaji wanafiki, na anaona aibu kwa alivyotaka kujifanyisha kwa mbunge wetu Zitto.

Anabahati sana huyu padre kaenda wakati kumetulia kidogo, angekwenda wakati wachaga walipotaka kumfukuza Zitto angekiona cha mtema kuni.
 
Kaja kuwakumbusha Wana Kigoma kuwa ile Nundu ya Makamba ni kichapo cha Jiwe alichokipata hapo Kigoma, Mwandiga, siku akibaka katoto ka watu. Ka binti ka Kiha, kakamtandika na Jiwe. Ila Mjeshi Mwislaam akakadhibiti na KUKA-Dondokea.

Haya, unabusara sana, nadhani CDM inahitaji watu kama wewe..Piipooooz
 
hata zile kula chache alizozipata ile ilikuwa ni trela asubiri mkanda wenyewe atajuta kuzaliwa. na ataomba bora arudi kanisani awe padri.Kwa yeye kuanzia kanisani kisha kashindwa na kurudi ulaiani halafu ulaiani kwenyewe kafika anaendeleza kamata kamata ya watotozi kiasi kwamba hata kuoa kashindwa inamuonesha kuwa ni muovu ktk imani yake. mwambieni ajisafishe kwanza kisha aoe maana uzee huo.Yaani jamaa yenu kwenda KG(Lwama) kaenda kujicholesha bora angeuchubua.
 
Alihidi kuwa kama hatofanikiwa kuwa Rais wa Tanzania kupitia uchaguzi 2010 basi hakuna kulala, atazunguka nchi nzima kukijenga chama,maana majukumu ya ubunge na uenyekiti wa kamati ya bunge ya serikali za mitaa nafasi zilizokula muda wake sana hatokuwa nazo tena.Hivyo safari kijiji kwa kijiji, kata kwa kata, tarafa kwa tarafa, wilaya kwa wilaya na mkoa kwa mka kukijenga na kuimarisha CDM. Naona sasa anatekeleza kwa vitendo
huyu kasisi(slaa) kwasasa hiyo ndio ajira yake kwani hana kazi nyingine yoyote yakumwingizia kipato,sasa atakula nini akikaa tuu? lazima azitumikie milioni 13 anazopewa kila mwezi,sasa mkuu unafikiri wachaga wale watatoa hela bila kuifanyia kazi? piga kazi mzee slaa siku ziende,ukimaliza huko nenda pemba ukajenge chama pia
 
Mwenye Busara ni wewe Mazee. Maana kwa busara zako, unaogopwa kama Fukuyama.

Niambie nasikia role mpya ya Slaa ni kuwa muwezeshaji wa semina za madiwani wa CDM nchi nzima, hii ni kumchosha. kumdharau au kuhakikisha naye anaitumikia ile 12M.
 
Dr yupo Kg kwa siku kadhaa akiwa amekuja kutoa semina elekezi kwa madiwani wa cdm na meya. Amehutubia ktk mkutano mkubwa wa wakazi wa kigoma mjini. Jaman Dr ni kipenz cha wa tz. Kaongea mambo mengi ikiwe matamuko waliyoyatoa jana. Pia kasema aliokoa nchi baada ya matokeo ya uchaguz kutangazwa. Dr anapendwa jaman

4rever Slaa!!!
 
hata zile kula chache alizozipata ile ilikuwa ni trela asubiri mkanda wenyewe atajuta kuzaliwa. na ataomba bora arudi kanisani awe padri.Kwa yeye kuanzia kanisani kisha kashindwa na kurudi ulaiani halafu ulaiani kwenyewe kafika anaendeleza kamata kamata ya watotozi kiasi kwamba hata kuoa kashindwa inamuonesha kuwa ni muovu ktk imani yake. mwambieni ajisafishe kwanza kisha aoe maana uzee huo.Yaani jamaa yenu kwenda KG(Lwama) kaenda kujicholesha bora angeuchubua.
Unamtaka akuoe? Tuma cv
 
Chama kinajengwa kuanzia kwenye Mashina. huko ndiyo MSINGI.

Heri kwenda kufanya kazi huko chini ili kuwafahamisha hao madiwani, nini Chadema inataka.

Ila sikutegemea Rais wa nchi, apite mitaani akiwa ndani ya Shangingi, na tena kiti cha mbele, huku AKIGAWA PIPI.

165681_10150357294655405_474836185404_16246385_5374759_n.jpg

Niambie nasikia role mpya ya Slaa ni kuwa muwezeshaji wa semina za madiwani wa CDM nchi nzima, hii ni kumchosha. kumdharau au kuhakikisha naye anaitumikia ile 12M.
 
Kaja kuwakumbusha Wana Kigoma kuwa ile Nundu ya Makamba ni kichapo cha Jiwe alichokipata hapo Kigoma, Mwandiga, siku akibaka katoto ka watu. Ka binti ka Kiha, kakamtandika na Jiwe.

Hivi ni kweli na hii isśue Mzee Makamba alipalai kumtolai mwana kule Kigoma?
 
wewe huji? Dr msema ukweli Slaa alisema na akatoa ushahidi, na tuna muamini dr hasemagi uwongo alitoa ushahidi wa gari la kontena la wizi, pia juzi juzi alitangaza kifo cha RC mmoja akazithibitisha yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom