Dr Slaa Avunja rekodi Afrika


mwambie huyo mipango ya sabotage za TISS sio size yake,hadi 2015,CDM kama chuma chakavu
 
Kwani kukopa huwa dhambi. Dhambi nikutolipa. Kumbukumbu Sumaye aliwahi kukopa pesa za NSSF na boss wake akachukua za serikali kujiuzia Kiwira coal mine. Wazee wa CCM.

Makosa mawili hayahalalishi moja kua sahihi, au unataka kusema Chadema kikiingia madarakani kitafanya makosa yale yale yaliyofanywa na CCM.
 
Kwa hiyo anabalansisha: Huku anasimamia vizuri kule anapiga!


Maskini wana-CCM, mmepofushwa mpaka mnashindwa hata kusoma post iliyowekwa...
Anyway, soma vizuri hapo kwenye blue uone, au vipi tafuta mtu akusaidie kusoma..
Yaani kwa ufupi, Dr. Slaa amesimamia vizuri fedha kwenye taasisi anayoiongoza, yaani Chadema.
Upo hapo..??
Haya, kajifunze kusoma na kuandika kwanza ndio uje hapa ku-post...!!!!

Nilijua tu kuwa habari hii itawaudhi sana wana-CCM.

Poleni sana wana -CCM maana propaganda zenu zimekwaa kisiki...!!
Wapi Zitto..!! na waraka wenye uongo kuhusu usimamizi wa fedha za Chadema..???
Copy:
FaizaFoxy
Simiyu Yetu
Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:

Ngoja utaona mazuzu wa Mwigulu na Vuvuzela wakipiga kelele hapa
 

Hayo maneno yatakuwa ya yuleyule hausiboi wa mchumba aliekwenda nae USA, umesahau alidanganya huko kuwa Slaa kapewa tuzo na NASA ambayo hajawahi kupewa mtu mwingine isipokuwa Rais wa USA tu. Kumbe kibeji!

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Watapigana lakini hawatashinda now internationally sio Tanzania tuu. Upanga wa Mungu haukwepeki kwa wababaishaji. Great Dr.
 
Hayo maneno yatakuwa ya yuleyule hausiboi wa mchumba aliekwenda nae USA, umesahau alidanganya huko kuwa Slaa kapewa tuzo na NASA ambayo hajawahi kupewa mtu mwingine isipokuwa Rais wa USA tu. Kumbe kibeji!

Kwi kwi kwi teh teh teh!

ushabiiki na buku saba zitawamaliza
 
Huyo ndio Dr bwana,maccm oo bado anakadi yetu mtaishia kunawa kula twala CHADEMA ccm haina hadhi inanuka rushwa
 
hakuna kiongozi mwadilifu kama Dr Slaa, kiongozi anayeheshimu misimamo na mwenye kusoma alama za nyakati, we trust you Dr!

Na kweli muadilifu kwa kujikopesha ruzuku huku anakana lakini baadae anakubali.
 
Dr Slaa anafaa kuwa rais wa Tanzania..
 
Ni wa kuiga kabisa , hasa kwa kuiba wake za watu, kuzaa uzeeni, kutelekeza mke wa ndoa, kutelekeza watoto, kupinga ufisadi wakati ukijikopesha vyama, mi nasema aigwe tu.

ameshamgegeda mkeo? au kakugegeda wewe......
 

Labda kwa kulitumikia kanisa kupitia CDM.
 
CCBRT imekuwa ni CHADEMA siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…