Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Maneno tumeyazoea,picha Ndo habari ya mjini,otherwise this thesis is fictious
 
Shukrani kwa taarifa.Naona wananchi wameanza kuelewa na natumai mabadiliko yapo karibu.

Vuguvugu la mabadiliko si rahisi kulizuia hasa kwa nguvu ya dola kwani ni jambo ambalo halina budi lazima litokee.
 
Wapi sixgates na Kimbunga...??
Hawa jamaa 'walitabiri' kuwa ziara ya Dr. Slaa isingefanikiwa, na ingeahirishwa..!!
Wapi 'utabiri' huo ...??
Sijamuona dada Simiyu Yetu...!!
 
Last edited by a moderator:
vipi, ni mambo ya mzee wa panya au ni msimu wake!?

 
mvua ni baraka za ujio wa kiongozi mwenye upako nakutakia kila la heri katika mikutano yako
 
Jamani hapo ni Mwandiga, mbona hamjiamini kusema nini kimetokea?
 
Nimepata taarifa kutoka kigoma Dr Slaa ana hutubia watu wasio zidi 100! Hii ni kutokana na mvua au hakukufanyika matangazo ya kutosha ya mkutano??????

Mwendelezo wa "NIMEAMBIWA" bila mwenyewe kufikiri na kujua ukweli
 

Mbwa kachoka sasa ni mdebwedo
 
Kule kwenye maziko ya Mandela wamealikwa 'heads of Governments and Heads of States.
Wapi sixgates...??
Uko Kigoma au 'umetoka nduki'...!!!
Tupe updates kutoka huko Kigoma...!!!

Raila Odinga ni head of state ipi?

Au Ikulu wamewabania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…