Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Huyu molemo ni muongo tena ni muongo kweli hakuna msafara wowote uliopita kigoma mjini hivi uongo huo uwongo unakisaidia nini chama kwanza hakuna barabara yoyote inayotoka wilaya yoyote ianaingilia kigoma mjini, mods futa hii thread
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana wanakigoma, endeleeni kulisikiliza hilo jembe, tunaomba redbrigade waongeze ulinzi huko kigoma, maana maccm hawana dogo pamoja na vibaraka wake! M4c daima!
 
Tuko pamoja mkuu ila vipi Makene huna kamera jamani. Tunataka picha na video ikibidi maandishi pekee nc mambo ya miaka ya 47. Tuko dijitali Tafadhari makene Picha Picha Picha Picha
 
Vipi mipango ya kumdhuru Alex Kitumo imefikia wapi?

Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Poleni sana.
 
mtu aliyeharibu mpaka kanisani kweli unathubutu kumwitta anahekima kama kweli kashindwa kufanya kazi kanisani hadi kafukuzwa hekima zake ziko wapi mkuu kwa nini usiwe mkweli tujifunze kuujua ukweli na kuukubari pia.

Wewe hujaharibu chochote kwa sababu hujafanya chochote. Huna maana yoyote kuwepo hapa duniani maana huchangii chochote. Hilo kanisa aliloharibu liko wapi? Waliomwandalia sherehe ya upadrisho wake ndio waliomwambia akagombee ubunge baada ya kutoka kwenye huduma za kipadre kwa kufuata taratibu za kanisa, wewe kinachokuwasha ni nini? Hao hao waliompa kura za ubunge muda wote mwaka 2010 walitaka awe rais. Hivi wewe umewahi kuchaguliwa hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi?
 
Huyu molemo ni muongo tena ni muongo kweli hakuna msafara wowote uliopita kigoma mjini hivi uongo huo uwongo unakisaidia nini chama kwanza hakuna barabara yoyote inayotoka wilaya yoyote ianaingilia kigoma mjini, mods futa hii thread

Unaumwa akili gamba wewe...... Tutolee bangi za mchana hapa
 
Si bora yeye kuliko yule aliyejaladia hadi ulinzi wa majini kwenye kampeni za urais 2010? Nimekumbuka jinsi Kiongozi wa Brigedia ya ulinzi wa Majini alivyotishia hadi wagombea urais wengine kuwa atakayempinga JK atakufa ghafla......
Akili zako na mawazo yako yanafanana na kile unachopeleka washroom.
Endelea kutumiwa kama yale madude yanayosambazwa na TACAIDS.
 
Yap hapa sasa wale wafuasi wa ccm ndani ya chama ni ishara tosha kuwa mishahara yao toka ccm inakoma sasa. Hata ccm wameshaanza kuelewa kuwa hapa wanapoteza
 
hizi hekaya zinazidi kuwadhalilisha. uzuri ni kwamba JF inawafikia watu wachache sana hapa tanzania na wale wengi wanaoipata JF akili zao zina uwezo wa kuchanganua mambo walau kidogo.
propaganda za kitoto haziwezi kuubadilisha ukweli na kamwe ZZK hawezi akalinganishwa na mangi yeyote wala kibaraka yeyote wa mangi ndani ya chadema.
let him shake his tail(slaa) and leave behind the shit trail. when ZZK comes, he will wipe it off and for good. mnamtuma babu mzinzi kwenda kupima kina cha bahari kwa kutummbukiza miguu yote miwili!!! he is sinking and he will never make it...
after all, you chagaz are using him(slaa) and when the test of his flesh is no longer, you will dump him.

'''' mtumwa mzuri ni yule asiyefahamu kuwa yeye ni mtumwa""
 
Huyu molemo ni muongo tena ni muongo kweli hakuna msafara wowote uliopita kigoma mjini hivi uongo huo uwongo unakisaidia nini chama kwanza hakuna barabara yoyote inayotoka wilaya yoyote ianaingilia kigoma mjini, mods futa hii thread
mkuu kwani wewe uko wapi? Unataka kusema kuwa dr. Slaa hayupo mjini kigoma?
 
Haya maneno yamejaa hekima, busara na upako.
Hongera Mwandishi umefunuliwa ufunuo wa kuona Tanzania tunayoitaka na itakuwa hivyo 2015!
 
Si bora yeye kuliko yule aliyejaladia hadi ulinzi wa majini kwenye kampeni za urais 2010? Nimekumbuka jinsi Kiongozi wa Brigedia ya ulinzi wa Majini alivyotishia hadi wagombea urais wengine kuwa atakayempinga JK atakufa ghafla......

Unataka kumfananisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete na kijidokta cha kanoni kilichoshindwa kuongoza kondoo na badala yake kudandia wake za watu? Unanchekesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…