Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Dr. Slaa ni noma mbaya, maccm na Pandikizi Yuda wako hoi, Kigoma viva mnajua democrasia na upinzani ni nini, maccm yanazani upinzani ni ugomvi. ZZK alidhani ni club ya simba kila siku kupinduana, akapinduka yeye na masalia wake.
 

kuna umuhimu wa ccm kurudi ktk mstari kwa kuiacha asili ibaki asili, siyo siasa za kichina, 2014 itakuwa ngumu sana kwani huu muda ni muafaka kwao kujipanga kimkakati na si ki-propaganda
 

bavicha bhana!hivi dr slaa kwa nini hakwenda kabla ya matukio ya kuvuliwa uongozi?
 
Si bora yeye kuliko yule aliyejaladia hadi ulinzi wa majini kwenye kampeni za urais 2010? Nimekumbuka jinsi Kiongozi wa Brigedia ya ulinzi wa Majini alivyotishia hadi wagombea urais wengine kuwa atakayempinga JK atakufa ghafla......

Malizia vizuri ripoti yako...Akafa yeye Ghafla. Tena Dr. Slaa ameshamsahau huyooo. Leo anaendelea na kampeini ya kuikomboa \\tanzania
 
Unataka kumfananisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete na kijidokta cha kanoni kilichoshindwa kuongoza kondoo na badala yake kudandia wake za watu? Unanchekesha!
Huyo dokta Jakaya ni veterinary doctor au? Kasomea chuo gani yakhe?
 
bavicha bhana!hivi dr slaa kwa nini hakwenda kabla ya matukio ya kuvuliwa uongozi?

Ulitaka afanye safari mara kumikumi na umesikia kati ya maswali 5 yaliyoulizwa 4 yanahusu mamluki wako. Mwisho wa ubaya aibu. Viva CHADEMA
 
Kwa hiyo sasa hivi mpinzani wetu ni Zitto na sio CCM tena?

Kama ulikuwa hujui kama huyo Zitto ni CCM aliye ndani ya CDM basi una upofu wewe. Wenzio tunaondoa boriti kwenye jicho letu alafu tukatoe kibanzi huko
 
Huyo dokta Jakaya ni veterinary doctor au? Kasomea chuo gani yakhe?

"Huyo" vyuo vikuu kadhaa vya pembe mbali mbali duniani vimemtunuku Udaktari kwa mafanikio yaliotukuka katika nyanja tofauti katika utendaji wake. Ana rikodi za utendaji uliotukuka kuliko Rais yeyote wa kabla yake.

Licha ya Udaktari, "Huyo" ametunukiwa nishani za juu zilizotukuka za nchi tofauti duniani hakuna Rais wa Tanzania ambae hata harufu amezisikia.

Sasa nakuuliza wewe, Slaa ana baccalaureate na Masters ya chuo kipi na ya masomo yepi?
 
Songa Mbele Dr. Slaa, fanya kazi baba, kamwe usichoke, usihisi upweke tuko nyuma yako baba....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…