Dr Slaa asitisha operesheni M4C kwa siku 5

Dr Slaa asitisha operesheni M4C kwa siku 5

Mkuu umesema neno.Hivi unaweza kudhani Mukama ana cheo sawa na cha Dr Slaa? Utadhani Mukama ni mjumbe wa nyumba kumi.

Where is he by the way?yupo nchini au india kwa matibabu?
 
CHADEMA imejaa viongozi wenye hekima kama mfalme Suleiman !
 
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr Wilbroad Slaa amesitisha operesheni M4C kwa siku 5.
Dr Slaa ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CDM amesema amekubaliana na Serikali kwa maslahi ya nchi kupisha zoezi la sensa liishe ili kuepusha uvurugwaji wa zoezi hilo muhimu kwa Taifa.
Hata hivyo kiongozi huyo kipenzi cha watanzania ametoa onyo kali kwamba kamwe hatakubaliana na visingizio vyovyote vya kuzuia operesheni yao baada ya sensa.Dr Slaa ameendelea kusema tayari kikosi cha ufundi cha CDM chenye makamanda karibu 100 tayari kimewasili mkoani Iringa kusimamia operesheni M4C inayotikisa nchi kwa sasa...

Source:Habari ITV

Dr nadhani analenga kale kasababu kao ka intelligencia, kanaudhi hako.

WaTZ waelewe ni haki ya kila raia kuandamana, polisi wanatakiwa watoe ulinzi basi....
 
CHADEMA imetanguliza utaifa mbele. Maslahi ya umma ndo muhimu kuliko vyote. Ndio maana imesitisha M4C kwa muda kupisha sensa na kuepuka kuwapa vigezo ccm+polisi vya kuua watu kwa risasi kama walivyomuua ALLY ZONA.
 
Nyambafu.....Dr slaa siyo dr wakuchovya kalagabaho >>>>>>>>>>>>>>
 
Kweli wakati mwingine nakubaliana na maneno ya molemo, kweli bila Mbowe CDM ni history. Busara zake ni muhimu sana, huu upuuzi ulio tokea moro usinge tokea kama angekuwepo nchini.
Slaa,damu ya huyo kijana iko mikononi mwako.
Wewe unatumia akili au vipi??? Kwani Slaa anabunduki ya kupiga watu marisasi wasio na hatia wenye mabango na matawi ya miti???? Kweli ukipenda chongo utaona ni kengeza!!!!

Hata kuku kwa kutumia ubongo wake angetambua kuwa kuna maisha ya mtu tena asiye na hatia yamepotea kwa sababu ya kiburi cha CCM na polisi wao. Lazima uhai wa mtu uheshimiwe, mie naamini operesheni imesimamishwa kuomboleza kifo cha kijana aliyepigwa risasi na vilevile kuandaa taratibu za mazishi ya kishujaa.....kumbuka huu ni ukombozi mwingine.

Ulijibu bila kunielewa, kasome huku: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...hadema-na-kanisa-katoliki-23.html#post4526172
 
Dr nadhani analenga kale kasababu kao ka intelligencia, kanaudhi hako.

WaTZ waelewe ni haki ya kila raia kuandamana, polisi wanatakiwa watoe ulinzi basi....

Kuandama kwa kufuata sheria lakini
 
CHADEMA imetanguliza utaifa mbele. Maslahi ya umma ndo muhimu kuliko vyote. Ndio maana imesitisha M4C kwa muda kupisha sensa na kuepuka kuwapa vigezo ccm+polisi vya kuua watu kwa risasi kama walivyomuua ALLY ZONA.

Mbona kwenye msiba atukuwaona hao viongozi wa m4c
 
maskini molemo dhambi ya ukuwadi itakuuwa kwani ungesema tu Dr. Slaa; au katibu mkuu wa Chadema hungeeleweka? Yote nini hayo kwasababu kulilia posho? Mtoto wa kiume jikaze na hao mapadri shauri yako!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Bajeti ina utata, mshiko haujaingia bado, anti money laundering wanachunguza vyanzo na nia.
Nafikiri hii haitakuwa mpya, ni kama kulikuwa na tuhuma za kumhusisha na fedha chafu huko nyuma, je waliona nini? Mbona kuliendelea kimya kirefu mpaka nakusikia unaanza kuropoka upya leo?
 
maskini molemo dhambi ya ukuwadi itakuuwa kwani ungesema tu Dr. Slaa; au katibu mkuu wa Chadema hungeeleweka? Yote nini hayo kwasababu kulilia posho? Mtoto wa kiume jikaze na hao mapadri shauri yako!!

Chama
Gongo la mboto DSM

Katika majitu ya hovyo hovyo hapa JF wewe ni namba moja.Mtu wa hovyo ambaye badala ya kujadili hoja anajadili personalities.Mimi tabia yangu siku zote ni kupuuza majitu ya hovyo hovyo kama wewe...
 
CHADEMA imetanguliza utaifa mbele. Maslahi ya umma ndo muhimu kuliko vyote. Ndio maana imesitisha M4C kwa muda kupisha sensa na kuepuka kuwapa vigezo ccm+polisi vya kuua watu kwa risasi kama walivyomuua ALLY ZONA.

Nakushukuru mkuu kwa ufafanuzi...
 
maskini molemo dhambi ya ukuwadi itakuuwa kwani ungesema tu Dr. Slaa; au katibu mkuu wa Chadema hungeeleweka? Yote nini hayo kwasababu kulilia posho? Mtoto wa kiume jikaze na hao mapadri shauri yako!!

Chama
Gongo la mboto DSM

chama IQ yako mbona inaporomok kwa kasi ya ajabu sana.
Halafu inaonekana umetoka chuo cha taarabu hivi karibuni kwani uko juu sana katika tasnia ya mipasho siku hizi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom