Dr Slaa asitisha operesheni M4C kwa siku 5

Dr Slaa asitisha operesheni M4C kwa siku 5

chama IQ yako mbona inaporomok kwa kasi ya ajabu sana.
Halafu inaonekana umetoka chuo cha taarabu hivi karibuni kwani uko juu sana katika tasnia ya mipasho siku hizi!

Mkuu Mwita molemo ananipa mashaka mengi sana; mjini hapo mfundisheni namna ya kugangamaa anaonekana mlaini sana lazima tumtahadharishe na mapadri si unajua kashfa inayotingisha kanisa katoliki? Inakuwaje mtoto wa kiume kila akishika keyboard akiandika jina la Dr. Slaa mikono inatetemeka? IQ yangu ipo pale pale ila lazima tumeuleze ukweli asije akavunja ndoa ya Josephine

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Unadhani tabia yako ya kujiuza kila mtu anayo? Ulichoandika umedhihirisha wewe ni mpumbavu usiye na adabu kabisa.Lazima utakuwa mwendawazimu.Nakushauri nenda Mirembe ukapimwe...
 
Halafu wewe mbona maandishi yako yanafanana na ya zito kabwela, waberaoya,zemarcopol?
 
Unadhani tabia yako ya kujiuza kila mtu anayo? Ulichoandika umedhihirisha wewe ni mpumbavu usiye na adabu kabisa.Lazima utakuwa mwendawazimu.Nakushauri nenda Mirembe ukapimwe...

Molemo unafurahisha sana hivi wewe ulikuwa yatima umelelewa na kanisa katoliki? Jihadhari sana hawa mapadri wengi wao ni wahuni tu hii inajumuisha mpaka huyo kiongozi wako; umeshafika seminari ya Kipalapala? Nawafahamu mapadri wengi tu ni wahuni wa tabia natakutahadharisha usije ukavunja ndoa ya Josephine.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nakubali uamuzi wa busara. tutaona baada ya siku tano kama kutakuwa na sababu nyingine. litazushwa jambo tu
 
Katika majitu ya hovyo hovyo hapa JF wewe ni namba moja.Mtu wa hovyo ambaye badala ya kujadili hoja anajadili personalities.Mimi tabia yangu siku zote ni kupuuza majitu ya hovyo hovyo kama wewe...

Pole sana utaniona hovyo kwasababu naongea ukweli hata ukipuuza ujumbe umeupata na maneno yamekugusa ndio sababu umejibu; nasisitiza jihadhari na hao mapadri ni binadamu tu kama wewe sio miungu hao!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Halafu wewe mbona maandishi yako yanafanana na ya zito kabwela, waberaoya,zemarcopol?

Yanawezekana yanafanana kwasababu tunaandika ukweli; binafsi simfahamu Zitto, Waberoya wala zemarcopol

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imethibitisha kuwa ndiyo iliyotoa agizo la kusitishwa kwa maandamano na operesheni Sangara ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mpaka pale zoezi la sensa ya watu na makazi litakapokamilika.

Msaidizi wa Msajili wa Vyama vya Siasa, Piencia Etanga, alisema kuwa ofisi yake kama mlezi wa vyama ilitoa taarifa za maandishi kwa vyama vya siasa kuvitaka kusitisha mikutano na maandamano yote ili kupisha zoezi la sensa lililoanza Agosti 26, mwaka huu.

“Mikutano na maandamano yanavuta watu wengi, jambo ambalo lingevuruga zoezi la sensa, kwa hiyo ofisi ya Msajili kama mlezi wa vyama vyote, ilichukua jukumu lake kwa kuviandikia vyama kuviomba kusitisha mikutano na maandamano ili zoezi la sensa lifanyike vizuri kwa sababu lina umuhimu mkubwa, na vyama vilituelewa kwa taarifa hiyo,” alisema Etanga.

Wafuasi wa Chadema mjini Iringa juzi walilalamikia kufutiwa maandamano yao huku Jeshi la Polisi mkoani humo likidai kuwa wanatimiza agizo kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa.
 
siyo imethibitisha kutoa barua bali imethibitisha namna gani ofisi ya msajili inavyotumiwa na CCM.
 
This is Verbal Engineering. Msajili wa vyama sio mlezi wa vyama. Anaviandikisha, havilei. Na wala sio mlezi wa sensa.

Lengo la mada hii ni kusema CHADEMA inatawaliwa na Msajili wa Vyama. Sio sahihi. Hiki ni chama kipenzi cha Watanzania ambacho ni kimbunga kisichozuilika.
 
Ameona kinapendwa sasa anajifanya ni mlezi yeye si alikuwa anawachongea CDM kwa washili kule Arumeru? Ndio mlezi gani huyo mwenye mapenzi na Chama kimoja tu yani ccm?
 
This is Verbal Engineering. Msajili wa vyama sio mlezi wa vyama. Anaviandikisha, havilei. Na wala sio mlezi wa sensa.

Lengo la mada hii ni kusema CHADEMA inatawaliwa na Msajili wa Vyama. Sio sahihi. Hiki ni chama kipenzi cha Watanzania ambacho ni kimbunga kisichozuilika.

endelea kujidanganya hapo.hata mrema nae aliamini kama unavoamini wewe
 
Kweli wakati mwingine nakubaliana na maneno ya molemo, kweli bila Mbowe CDM ni history. Busara zake ni muhimu sana, huu upuuzi ulio tokea moro usinge tokea kama angekuwepo nchini.
Slaa,damu ya huyo kijana iko mikononi mwako.
a Na wewe unajiunga na story ya babu yako sita au unaipinga? we jiandae kuwasaidia mabeberu wako kina DHAIFU kukusanya virago pale magogoni.nyie vibaraka wa chama cha mabwepande sijui mta hamia wapi mkafiche sura zenu.
 
Molemo unafurahisha sana hivi wewe ulikuwa yatima umelelewa na kanisa katoliki? Jihadhari sana hawa mapadri wengi wao ni wahuni tu hii inajumuisha mpaka huyo kiongozi wako; umeshafika seminari ya Kipalapala? Nawafahamu mapadri wengi tu ni wahuni wa tabia natakutahadharisha usije ukavunja ndoa ya Josephine.

Chama
Gongo la mboto DSM
''UAMSHO'' mlitumiwa na sasa mmebwagwa na beberu lenu chama cha mabwepande,sasa mnakuja lia na sisi rudini huko huko chimwaga mkafutwe machozi na mafisadi ama subirini muda mfupi ujao mtahitajika KUTUMIWA tena kama vibaraka
USHAURI:mziki wa CDM si saizi yenu tafuteni vyama UROJO ndo mfunge ndoa nyingine,huku mtapoteza muda.
 
a Na wewe unajiunga na story ya babu yako sita au unaipinga? we jiandae kuwasaidia mabeberu wako kina DHAIFU kukusanya virago pale magogoni.nyie vibaraka wa chama cha mabwepande sijui mta hamia wapi mkafiche sura zenu.
Hizi ni ndoto kijana, magogoni hamtaingia nyie wapenda visasi. Mtabaki kukaribishwa chai tu.
 
Back
Top Bottom