Sikuwahi kujua kama sukari robo ni shilingi 900

bolivia

JF-Expert Member
Mar 3, 2021
2,855
4,551
Habari waungwana? Heri yenu na yangu pia kwa kuuona mwaka mpya 2024,

Cha ajabu zaidi nina miezi zaidi ya 4 sijanunua vitu dukani lkn leo hii nikaona sio mbaya nitimbe mimi mwenye dukani kwa mpemba hapa jirani

Nikazama Mfukoni nikatoa 700, nasubiri nipimiwe sukari nirudi getto

Nashangaa mpemba anawauzia wateja walionikuta na mimi nimewekwa pending..!!

Baada ya dakika 10 ikabdi ni paniki

Mimi:- Oya Mpemba vp nimekupa ela kitambo nahitaji sukari robo

Mpemba: - kwanza kacheka sana alafu akaniambia robo ya sukari kwa sasa ni 900 sio 700 tena

Aiseee nilichoka sana kumbe hii bei ipo toka mwka jana

Nikarudi getto, nikawaza sana yani, nikiamza kwenda job pia next week nauli ni 700 basi nimechoka kabsaa

Leo sitaki tena chai navuta muda kidogo
Nitoe kitu cha ugali direct ili nipige 2 in 1.

Sent from Hisense Smart Tv
 
Kuna baadhi ya sehemu kwa sasa kilo moja ya sukari ni zaidi ya 4000, pengine pamba wako anauza sukari kwa bei rahisi.
Maisha sio mepesi kwa kweli.
 
Habari waungwana? Heri yenu na yangu pia kwa kuuona mwaka mpya 2024,

Cha ajabu zaidi nina miezi zaidi ya 4 sijanunua vitu dukani lkn leo hii nikaona sio mbaya nitimbe mimi mwenye dukani kwa mpemba hapa jirani

Nikazama Mfukoni nikatoa 700, nasubiri nipimiwe sukari nirudi getto

Nashangaa mpemba anawauzia wateja walionikuta na mimi nimewekwa pending..!!

Baada ya dakika 10 ikabdi ni paniki

Mimi:- Oya Mpemba vp nimekupa ela kitambo nahitaji sukari robo

Mpemba: - kwanza kacheka sana alafu akaniambia robo ya sukari kwa sasa ni 900 sio 700 tena

Aiseee nilichoka sana kumbe hii bei ipo toka mwka jana

Nikarudi getto, nikawaza sana yani, nikiamza kwenda job pia next week nauli ni 700 basi nimechoka kabsaa

Leo sitaki tena chai navuta muda kidogo
Nitoe kitu cha ugali direct ili nipige 2 in 1.

Sent from Hisense Smart Tv
Unamchokea nani, kwanza acha kuendekeza umaskini. Pili ujue serikali haina mashamba ya miwa wala kiwanda cha sukari. Sijui unataka umlaumu nani
 
Mimi sabuni ya kipande nilikuwa sijatumia sikunying nikakuta inauzwa mia 7 kipande kimoja 😀
 
Mmm tunaanza mwaka na uongo.hiyo bei ya 700 uliijui lini?
- mbili tabia ya kununua vitu vidogo hata sukari robo uache.kwa kwanini usinunue kilo.Pumbavu weee
 
Habari waungwana? Heri yenu na yangu pia kwa kuuona mwaka mpya 2024,

Cha ajabu zaidi nina miezi zaidi ya 4 sijanunua vitu dukani lkn leo hii nikaona sio mbaya nitimbe mimi mwenye dukani kwa mpemba hapa jirani

Nikazama Mfukoni nikatoa 700, nasubiri nipimiwe sukari nirudi getto

Nashangaa mpemba anawauzia wateja walionikuta na mimi nimewekwa pending..!!

Baada ya dakika 10 ikabdi ni paniki

Mimi:- Oya Mpemba vp nimekupa ela kitambo nahitaji sukari robo

Mpemba: - kwanza kacheka sana alafu akaniambia robo ya sukari kwa sasa ni 900 sio 700 tena

Aiseee nilichoka sana kumbe hii bei ipo toka mwka jana

Nikarudi getto, nikawaza sana yani, nikiamza kwenda job pia next week nauli ni 700 basi nimechoka kabsaa

Leo sitaki tena chai navuta muda kidogo
Nitoe kitu cha ugali direct ili nipige 2 in 1.

Sent from Hisense Smart Tv
Mama kasema wameendelea kudhibiti mfumuko wa Bei. Waliomuelewa kina Chizi Maarifa na Lucas mwashambwa tunaomba mwongozo.
 
Wahuni wamefanya sukari kuwa kama madawa ya kulevya kila Jan inaadimika harafu wanatengeza kuwapa vibali wachache ili wapige pesa wagawane...
 
Mmm tunaanza mwaka na uongo.hiyo bei ya 700 uliijui lini?
- mbili tabia ya kununua vitu vidogo hata sukari robo uache.kwa kwanini usinunue kilo.Pumbavu weee
kilo bado maumivu atayapata anunue jumla angalau kilo 20 kwa 60,000
 
Back
Top Bottom