Walitegemea watafanya "manjonjo" yapi, na yeye/wao walifanya manjonjo yapi?
hivi wew unajua kuwa SHINYANGA YOTE ipo mikononi mwa CDM? subiri uone matokeo ya uchaguzi.Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa Katibu mkuu wa Chadema na wapambe wake wameshindwa kuonyesha manjonjo yao kwenye kampeni yao ya kumnadi mgombea wao wa udiwani kama walivyo kuwa wanatarajia. Hata kama mnafuatilia waliokuwa wanatujuza waliishia kutuletea picha za kiongozi huyo maarufu wa kisiasa akiwa sokoni tu.
Walitegemea watafanya "manjonjo" yapi, na yeye/wao walifanya manjonjo yapi?
Katika hali isiyokuwa ya kutarajiwa Katibu mkuu wa Chadema na wapambe wake wameshindwa kuonyesha manjonjo yao kwenye kampeni yao ya kumnadi mgombea wao wa udiwani kama walivyo kuwa wanatarajia. Hata kama mnafuatilia waliokuwa wanatujuza waliishia kutuletea picha za kiongozi huyo maarufu wa kisiasa akiwa sokoni tu.