ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Dada Josephine nguo iyo iyo kila siku jamani! au mi ndio sioni vizuri?:A S-confused1:
Kumbe hata Slaa anakubalika Marekani! Ile kete kwamba upinzani hawatakuwa na bao kwa sera za nje ni bure kumbe! Mbele Daima Nyuma Hapana!
Josephine ni mshamba wa kutoka ndanindani huko. Ameimprove baada ya kukutana na Slaa. Lengo lake maishani lilikuwa kuolewa na mwanasiasa anayeonekana kwenye TV. Sasa lengo lake limetimia na roho yake imefurahi.
Anajiona babkubwa kiasi kwamba anasema watanzania wanaoishi Marekani ni wakimbizi...
His Excellency.....!
Maneno yako yanautofauti gani na hotuba ya mwenyekiti wako? Maana mnashindwa kujadili hoja mnaanza kudiscuss personal issues.
Nashukuru sijafunzwa kutukana direct na wala sio hulka yangu.
Kumbe Slaa anaota ufalme! Ndio maana Josephine anajiona yuko above the law!!!
Dr. Slaa ni zinga la -----!
Hapo anaonekana kama object of touristic attraction tu!!!
Unajua ukiwa mjamzito mimi kama mume wako wala staki nikujibu maneno ya ovyo ili kumlinda mtoto kisaikolojia. Na mimi sitakujibu sivyo asante kwa taarifa mamsapu.Serikali ya Marekani wameahidi kuhakikisha Dr Wilbroad Slaa kuwa the next presdent of republican of Tanzania kama walivyohakikisha Sata kuwa rais wa Zambia,taarifa inasema ni kutokana na serikali ya ccm kuunga mkono terrorist organisation na kuendekeza udini kwa nia ya kuharibu taifa la Tanzania,mtakao lia lieni na mtakao umia umieni,Marekani wakiamua hakuna wa kubisha,is matter of time
View attachment 115397