Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,749
Hahahaha... naona watoto
wakutosha kwenye mkutano, wengi wao ni viongozi wa wilaya na mkoa wakiwa
na familia zao. Dr Slaa kachokwa.
kwanza mimi sio mwigulu ila mahusiano kati yangu na mwigulu ni kwamba; he's my role model and inspirational leader.
Jambo lingine, hivi unajua kinacho fanywa na chadema huko mikoani au na wewe ndio wale wale walaghaika?, kubwa hapa ni posho na sio kweli kwamba chadema ina lengo la kukusanya maoni.
India???????
Nilikopelekwa na serikali na pia Uingereza nilikopelekwa na Chuo!
CHADEMA itakufa na kuondoka CCM mtetezi wa watanzania itabaki kuwepo milele!
kubana pua sio jadi yetu wanaume wa kiafrika.
Rudi kwenye mada.mkutano wa chadema leo ulidorora??? Weka picha
Kama hakuna cha kujadili ni kiherehere gani kimekuleta huku lakini sikushangai
wewe ni nyoka wa Ben uko kazini lakini watu wa Arusha hawana kiherehere kama wewe
kila azungumziaye madawa ya kulevya kwenye medani ya siasa je ataacha kuwataja Waheshimiwa.....IDD AZZAN, FREEMAN MBOWE, SOPHIA SIMBA, ANNA KILANGO, SUGU NA HIGHNESS WA MWANZA? mbona watu kama LEMA, MNYIKA, NAPE, SLAA, MREMA wasitajwe wao?kama chadema wanakusanya posho wewe kinakuuma nini hao watu wanaokwenda kwenye hiyo mikutano wamekuletea malalamiko kuwa pesa zao zinaliwa au... Umeona hao watu wamelazimishwa kwa ubwabwa na khanga au maloriii, au umeona kuna diamond au lina hapo...??? Sasa mikutano iliyofanywa na chama chenu iko wapi ya kukusanya maoni ya katiba...?? Maana kila siku wewe na chadema kila siku utafikiri mtu aliyeachwa ... Jifunze kuwa na heshima sometime.... Umeleta uzi wa uongo humu kuwa hamna watu singida picha zimewekwa hapa...
View attachment 107563View attachment 107564
na nashangaa inakuwaje mods wanakuachaa unapotosha watu... Sijui kwako watu wengi wanaanzia wangapi?? Unanipa shida hata kuelewa unauwezo gani wa kuchambua mambo
picha za leo hizo hapo juu.. Leta za kwenu wewe na chama lako la wauza madawa a kulevya... Maana kama madawa ya kulevya yanaendelea kuwepo na yanaua vijana na hadi wasanii ambao ni kioo cha jamii na nyinyi mna dola na kila kitu.. Kwanini tuasiamini mnafaidika na hayo madawa ya kulevya.... Nimekuona wewe ni mtu wa hovyo kabisa katika jukwaa hili
Anzisha uzi basi kama unajiamini nikushushie mambo.CUF haijaguswa lakini unatoa povu.Ikiguswa je??
mkuu ben kuna watu wananishangaza sana, watu wanasema mkutano haukuwa na watu singida leo.. Wadau wameleta picha zaidi ya mbili,... Sasa hao watu waliokuwa wanawataka wao waonekane katika mkutano ni wangapi?/ sijui kwao neno wengi ni kuanzia ngapi?? Na kibaya zaidi mods wanaacha hizo thread zinaendelea kuwepo...
Lakini cha kushangaza hao wanaobeza kuwa mkutano wa chadema haukuwa na watu.. Mbona hawaleti mikutano yao ya chama chao cha kuuza madawa ya kulevya,.... Ni aibu sana hili taifa, watu wanatafuta maoni ya wananchi tuandae katiba ya leo na ya kesho kutwa kwa wajuku zetu wao wanaleta ushabiki... Lakini kama mwenyekiti wa chama chao anategemea waganga wa kienyeji kumlinda.. Je hao wanaomfuata watakuwaje??
Kiomboi bila chenga
ili mkutano USIDODE inabidi uweje?
Aibu yake mzee slaa mpeni pole jamani la kuvuda halina ubani ndo basi tena.
Aibu yake mzee slaa mpeni pole jamani la kuvuda halina ubani ndo basi tena.
kweli mkuu, kama chadema ikiendelea kulea watu aina ya dr slaa basi kitakuwa sio chama cha siasa bali ni ghala la kulea wazee.
Picha hii hapa
Inabidi kuwe na waudhuriaji wenye umri zaidi ya miaka 18.
Anzisha uzi basi kama unajiamini nikushushie mambo.