.Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Mkuu kwani yule mwanampotevu tunaemsoma kwenye biblia hakupewa mali na pesa ya kutosha..?? Ilikuwaje akarudi kwa baba akiwa hana kitu..!!!??Kuna nyuzi hapa zilidai Dr. kapewa pesa nzito nafikiri sio chini ya dola au paundi milioni moja. Sasa hiyo nyumba ina thamani gani hadi ashindwe kuilipia? Kuna ukweli gani kwenye habari hizi? Au ndio kumsanifu?
Haha hakuna wa kuja hapa...hata nikija leo wewe wa 90 tuna haki sawa...Enyi wafuasi wa Lowasa, acheni kumdhalilisha Dr Slaa.....mchango wake wa kuifikisha CDM hapo ilipo si wa kudhihakiwa, nyie wakuja tu hamkawii kurudi mlikotoka.
Yawezekana ndio kinamtisha kurudi tz, kukolimbwa na ku balali liwaana bahati hawajam-balali
acha tuu mkuu watu wanaongea kadri Mungu alivyoawajalia mdomo...Kuna nyuzi hapa zilidai Dr. kapewa pesa nzito nafikiri sio chini ya dola au paundi milioni moja. Sasa hiyo nyumba ina thamani gani hadi ashindwe kuilipia? Kuna ukweli gani kwenye habari hizi? Au ndio kumsanifu?
Naye hatakuwa na kikao katika nchi ya uzao wakeHabari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!
Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Password iliibwa na mchumba na akaibadili sasa Dr akitaka kuingia kwenye akaunti yake mambo yanagoma. Chezea ushomire wewe!Dr Slaa ni member humu JFs.. Hulka yake ni kupenda kujibu kila hoja inayomhusu.
Plse Dr jitoleze ujibu hizo tuhuma za magazeti yetu....
Dr tunakusubiri kw shauku kusikia kauli yako...
Nimeisikia hiyo habariHii habari imeandikwa na gazeti la Mtanzania la leo.