Dr. Slaa anakosea:Enyi wana CDM, wanavyuo, na wanaharakati sikieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa anakosea:Enyi wana CDM, wanavyuo, na wanaharakati sikieni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by the mkerewe, Feb 4, 2011.

 1. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Enyi wana CDM na wanaharakati wote

  Baada ya kusoma maoni ya wengi nimegundua kuwa wanaJF hawataki aguswe Dr. Slaa kwa baya lolote. Namheshim Dr. Slaa ni msomi mwanaharaki mwenye ubongo uliohai ILA KWA NINI wanainchi wanamchukulia kuwa HAKOSEI?

  (imefikia pahala TUMAINI University wanataka Dr. Slaa apewe saa nne za kulecture pale chuoni kila mwezi ili kufufua uzalendo kama vile hii nchi haina mzalendo mwingine)

  KOSA NI KWA WENGINE ila makosa ya Dr. Slaa huitwa critical analysed ideas hence FACTS+media coverage mara gafla HUGEUKA MSIMAMO WA WANAINCHI.
   
 2. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Wewe unadhani Dr. Slaa ni fisadi kama hao Mafisadi Papa RA, EL na chenge mzee wavisenti??? Acha utoto!!!
   
 3. f

  furahi JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  :sick::A S thumbs_down::drama:
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  Umetumwa.
   
 5. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio maana nikasema ukitaka udhalilishwe mguse Dr.Slaa ,umeshaanza kunidhalilisha. KWANI LISSU NA MBOWE NI FISADI ? mbona hamuwi wakali tunapowagusa hao?
   
 6. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana ila nadhan kama vijan hawatafanyiwa scanning ya bongo zao kuna siku Dr. atawaamuru wachafue aman na wataiwasha moto nchi.
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  dr slaa siyo malaika lakini hujatuambie wapi alikosea..
   
 8. amanindoyella

  amanindoyella Senior Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Labda hujaelewa vizuri siyo kwamba Dr wa ukweli hasei ila ndiye mtu pekee mwenye mapenzi mema ya nchi! hebu fikiria sukari kg 50 inauzwa 80,000/= yaani kwa bei ya jumla ya kilo moja ya sukari ni Tshs 1600 hapo bado hujaisafirisha mpaka unapouzia. Wakuu wa nchi wanaona ni sawa! Sembe kg 50 ni Tshs 30,000/= mafuta ya kupikia ndoo kubwa 50,500/=. Je nchi inakwenda wapi? Inamaanisha mwenye kipato cha chini hataweza kunywa hata chai.................
   
 9. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubali CCM imeiumiza nchi kwa namna gharama za maisha zinavyopaa,ila mbona mko tayari kumkandia yeyote kasoro Dr. Slaa?Kumbuken uzee unaanza kumjia Slaa ataanza kauMAKAMBA kidogokidogo lakin bado mtamkubali.
   
 10. D

  Derimto JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Una wenge lako na umeamka unajisikia kurusha upupu wako hewani.

  Hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake ila ya wengine yamezidi tofauti Dr. Slaa ambaye kwa sehemu kubwa amefanya kazi kubwa na wananchi wana imani naye kutokana na hoja zake baada ya JK. Kupeteza lengo aliloingia nalo Ikulu 2005.

  Tena mimi namheshimu sana huyu mtu maana kama atesema chochote cha kipumbavu nchi hii itawaka moto ambao hautaweza kuzimwa na jeshi la aina yoyote la nchi hii maana anapendwa mpaka huko kwenye majeshi ana busara na uvumilivu ambao Cuf wa ccm hawana zaidi ya ubabe na propaganda chafu za kutugawanya kidini zaidi.

  Kwani wewe ulikuwa unatakaje?
   
 11. amanindoyella

  amanindoyella Senior Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu naomba nikukumbushe kuwa AMANI hailetwi na watawala kama hawa! Amani huweza kuwapo iwapo watu wanapata haki zao za msingi na kama watu hawapati haki zao inamaanisha hakuna amani. Hebu fikiria mtu mzima anaamuka asubuhi halafu hajui atakula nini asubuhi, mchana na jioni. Yaani maisha tunayoishi sasa ni kama nchi ipo vitani! shame upon you!!!
   
 12. amanindoyella

  amanindoyella Senior Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mara mia Heri uzee wa Dr kuliko ujana wa mafisadi!!!
   
 13. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Natamani kufanya scanning ya ubongo a.k.a akili yako pale Mirembe
   
 14. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama hamna kaujinga flani ni lipi hasa TATIZO LA LIPUMBA kiasi cha kumtoa kwenye siasa?(CUF is safocating and gona die 2015)
  Kwa hiyo Slaa tu ndiye safi huko CDM, bcs HAMUWI WAKALI PINDI Vigogo wengine wa CDM wanapoguswa?
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  the mkerewe ... unaweza kupata neno ....the mkweree
   
 16. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hata hueleweki!
  Kichwa cha habari unasema Dr. Slaa anakosea; mbona kwenye habari yako hujaeelezea anakosea nini?

  Kwenye hiyo Red; Alitakiwa mtu mmoja na katika kuangalia kwao Tumaini University wameona huyo ndio anafaa kwa hilo somo na si huyo unayemfikiria wewe.

  Halafu umezungumzia Dr. Slaa anakosea; kualikwa kufundisha uzalendo ndio kukosea?
  Subiri na wewe utakapokuwa na chuo chako ndio utamwalika huyo unayemtaka tofauti na Dr. Slaa.
   
 17. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa hilo tu tayari unajionyesha jinsi mapenzi yalivyokupofusha akili.
   
 18. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Sisi UDOM tunaomba Dr,Dr,Dr,Dr,Dr aje afundishe uzalendo!!:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
   
 19. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sasa si Ungewauliza Wananchi bana
   
 20. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mbona Misri wamewasha moto..hata hapa moto uwake tu hata leo. Wao wale na kusaza wakati sisi tunashindia kipande cha nguru? Au wewe kwako kuwa na amani maana yake ni nini?
   
Loading...