Dr. Slaa anakosea:Enyi wana CDM, wanavyuo, na wanaharakati sikieni

Kitu ambacho mheshimiwa hakukiahidi ila kinatekelezwa kikamilifu ni kwenda kijijini Ms(z)oga kila wiki na msusuru wa ma-nissan! Damn
Hivi huwaanaenda kusalimia tuuu!!! mhhh au kunajingine!
 
Enyi wana CDM na wanaharakati wote

Baada ya kusoma maoni ya wengi nimegundua kuwa wanaJF hawataki aguswe Dr. Slaa kwa baya lolote. Namheshim Dr. Slaa ni msomi mwanaharaki mwenye ubongo uliohai ILA KWA NINI wanainchi wanamchukulia kuwa HAKOSEI?

(imefikia pahala TUMAINI University wanataka Dr. Slaa apewe saa nne za kulecture pale chuoni kila mwezi ili kufufua uzalendo kama vile hii nchi haina mzalendo mwingine)

KOSA NI KWA WENGINE ila makosa ya Dr. Slaa huitwa critical analysed ideas hence FACTS+media coverage mara gafla HUGEUKA MSIMAMO WA WANAINCHI.

Hayo mawazo taka kaa nayo mwenyewe kama unadhani yanasaidia.

Ushauri.
If yu kanti raiti gudi inglishi laiki mi whai donti yu raiti kiswahili?? Iti wonti givu yu ene hamu.
 
Hivi huwaanaenda kusalimia tuuu!!! mhhh au kunajingine!

CDM hicho ndicho mnachoweza!kukandia hata safari za rais kwenda nyumban.
Nimetokea Moroko (mandela and Ali Hasan mwinyi makutano) kuna FFU kibao walikuwa wanaelekea UDSM mpaka barabara ilifungwa kwa mda.

Nawaonea huruma wana UDSM kwa kuendelea kutekeleza mpango wa Dr Slaa kuwa nchi haitakalika.
 
jk aliingia kwa mbwembwe wengi wakaamini yeye ndiye, kumbe usiliolijua kama usiku wa giza.

ebu chek hii,
the next president for 2015 will come from Zenj as the mainland has ruled for 20 years since makapa (sisiem wish list new katiba).
m2 yeyeti mwenye umri wa kuzidi miaka 65 hatagombea tena uraisi wa muungano (kama utakuwepo). (sisiem wish list new katiba).

system kama mbovu hata m2 awe na uzalendo vipi atashindwa au watamshinda wajanja, KAZI IPO.
mdomo alimponza kichwa akakatwa shingo.
 
Kama wanafunzi wa Tumaini wanataka lecture kutoka kwa dr.SLAH hilo ni swala la imani waliyonayo juu ya uzalendo wa SLAH.Hapa naona unataka kuhoji kwanini wamuamini bila kuonesha kwanini wasimuamini.
Watu hawamsapoti kwa sababu hakosei bali wanasapoti uzalendo wake.SLAH IS FALLIBLE LIKE ANY OTHER HUMANBEING.
 
Wewe umesha wahi kujiuliza ni kwanini watu wanampenda hivyo?

Labda nikukumbushe, Ni kiongozi shupavu asiyeogopa kuzungumza ukweli. Ni mzalendo wa kweli, mwenye kutupa matumaini kuwa bado kuna wazalendo ambao hawaogopi mafisadi na pesa zao.
Sote tunajua kuwa yeye naye ni binadamu, anaweza kosea, hata yeye anafahamu hivyo, ndiyo maana tunashirikiana naye katika mambo mbalimbali ikiwamo ushauri, kumbuka Dr Slaa ni member wa jf, yupo hapa kwa lengo la kupokea ushauri na kubadilishana mawazo.

Ila kama ikitokea mtu akamtuhumu bila sababu ya msingi basi lazima tuwe wakali, hii ni automatically tu maana tunampenda.
 
najaribu kuonesha namna wanaojiita wanavyuo,Cdm, Wanaharakati wanavyomtii Slaa hata kwa mambo ya ajabu.

tahadhari: uzee huo umakambaa huo Dr is no longer wa ukweli.

Are you inspired by Dr.?

If yes why are you so negative on him?

Unapoongelea umakamba inaonesha kuwa hufurahii tabia ya Makamba, na kwa upande mwingine unaona Dr yuko juu na kitakacho muangusha ni uzee, kama ni hivyo kwanini usijitahidi kujifunza kutoka kwake wakati akili zake zikiwa bado fresh, Tumaini Unv.wameona Tunu aliyo nayo kwa taifa hivyo wao kama vijana wanahitaji wahamishie tunu hiyo kwao kutoka kwa mzee, wewe je??
 
Wewe umesha wahi kujiuliza ni kwanini watu wanampenda hivyo?

Labda nikukumbushe, Ni kiongozi shupavu asiyeogopa kuzungumza ukweli. Ni mzalendo wa kweli, mwenye kutupa matumaini kuwa bado kuna wazalendo ambao hawaogopi mafisadi na pesa zao.
Sote tunajua kuwa yeye naye ni binadamu, anaweza kosea, hata yeye anafahamu hivyo, ndiyo maana tunashirikiana naye katika mambo mbalimbali ikiwamo ushauri, kumbuka Dr Slaa ni member wa jf, yupo hapa kwa lengo la kupokea ushauri na kubadilishana mawazo.

Ila kama ikitokea mtu akamtuhumu bila sababu ya msingi basi lazima tuwe wakali, hii ni automatically tu maana tunampenda.
kwa hiyo MBOWE, LISSU,MNYIKA,MDEE na BAREGU hamuwapendi,mbona wenyewe tunawapa mabango kama kawaida hamuwatetei?
 
Hoja ya mkerewe inapofushwa kwa makusudi kabisa, japo naye ameshindwa kutoa hoja kwa ufanisi.
Cha msingi ni kwamba, Mkerewe ana maanisha kwamba Dr Silaa ni Binadamu kama wengine naye anaweza kukosea, na huwa anakosea, kama alivyofanya kwa Josephine.

Cha msingi zaidi ni kwamba makosa yake (kama hilo) hayana madhara kwa wananchi, na si ya kimkakati, wala
ya kifisadi by the way na yeye ana haki ya kujiburudisha.
 
Mnasubiri nini kumpa hayo masaa manne, manne tu katika masaa 24?!! kidogo sana mpeni haraka sana watanzania wataka Ushindi wao wamechoka kuonewa.
 
Watu wanasympathize na mtu aliyedhulumiwa au kuonewa. CCM ndio wamempa umaarufu zaidi Dr. Slaa walipompora ushindi wake. Wangemuacha atawale, ashindwe na achukiwe. Lakini kwa ujinga wao wakampora ushindi na hivyo kuzidisha chuki za watu kwa CCM na upendo zaidi kwa Dr.Slaa na CHADEMA.
 
Nakubali CCM imeiumiza nchi kwa namna gharama za maisha zinavyopaa,ila mbona mko tayari kumkandia yeyote kasoro Dr. Slaa?Kumbuken uzee unaanza kumjia Slaa ataanza kauMAKAMBA kidogokidogo lakin bado mtamkubali.

Acheni matusi. Dr. hata akizeeka hawezi kufikia kuwa mjinga kama SISAL. Linganishe uzee wa Dr. na Mzee NELSON MANDELA.
 
Acheni matusi. Dr. hata akizeeka hawezi kufikia kuwa mjinga kama SISAL. Linganishe uzee wa Dr. na Mzee NELSON MANDELA.

ujakosea wangu
 
Kaka hapa umenena

Back
Top Bottom