Dr. Slaa anakosea:Enyi wana CDM, wanavyuo, na wanaharakati sikieni

:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
Enyi wana CDM na wanaharakati wote

Baada ya kusoma maoni ya wengi nimegundua kuwa wanaJF hawataki aguswe Dr. Slaa kwa baya lolote. Namheshim Dr. Slaa ni msomi mwanaharaki mwenye ubongo uliohai ILA KWA NINI wanainchi wanamchukulia kuwa HAKOSEI?

(imefikia pahala TUMAINI University wanataka Dr. Slaa apewe saa nne za kulecture pale chuoni kila mwezi ili kufufua uzalendo kama vile hii nchi haina mzalendo mwingine)

KOSA NI KWA WENGINE ila makosa ya Dr. Slaa huitwa critical analysed ideas hence FACTS+media coverage mara gafla HUGEUKA MSIMAMO WA WANAINCHI.
Tafuta kwenye ccm kama kuna mzalendo unaye mjua kam utampata wangekuwepo wazalendo Dowans,Buzwagi,Kiwila,TRL,Loliondo,Richimond,IPTL,Tics,Rada,Magari ya jeshi,EPA,Majengo pacha!,Noti Zisizokuwa na viwango!,Kuua watu kwenye maandamano,Zanzibar+Arusha+Mbeya!,Kupanda kwa gharama za maisha!Vyote nilivyokutajia nivitu vinavyofanywa na ccm!!wakati wananchi wanakufa njaa!!Yote ni ccm!!Hivyo nje ya chadema hakuna uzalendo!!

ndio maana nikasema ukitaka udhalilishwe mguse Dr.Slaa ,umeshaanza kunidhalilisha. KWANI LISSU NA MBOWE NI FISADI ? mbona hamuwi wakali tunapowagusa hao?
Siyo udhalilishwe nikwamba watu wanaona na kama wewe ni mpinga maendeleo basi wewe lazima usakamwe!!

hapana ila nadhan kama vijan hawatafanyiwa scanning ya bongo zao kuna siku Dr. atawaamuru wachafue aman na wataiwasha moto nchi.
Nyie ccm ndiyo mtaiwasha moto nchi yameanzia Tunisia yapo Misiri ujue hata huku yatakuja!!Tumechoka lichama lakinyonyaji lakukumbatia mafisadi
 
Nadhani wewe kwanza ndo ufanyiwe scanning ya ubungo.........mbona husemi dr kakosea nini?Au kwa kuwa mmeshindwa kumnunua kama mlivofanya kwa zito? Be specific men eleza kinagaubaga sehemu aliyokosea sio unaongea jumla jumla na unatoa hoja unrelated kama makamba.
 
dr slaa siyo malaika lakini hujatuambie wapi alikosea..

Ni mpuuzi sana. Tarehe 5 Januari katika uwanja wa Unga Ltd, Arusha alipotangaza kuwa atahakikisha nchi haitawaliki unadhani ni maneno ya mtu anayeitakia mema nchi hii?? Huyu hajawahi kuwa na familia ya kwake mwenyewe ndiyo maana hajui maana ya nchi kutotawalika. CHEAP POPULARITY.
 
mkuu si anakuuliza mwananchi wewe mkuu!
Mkuu nadhan hata wewe unashaliona hili kuwa kandia wote ila sio Dr Slaa, nakiri tunamatatizo pale LUMUMBA, mbona JF hawaruhusu kabisa mabaya ya Slaa kuanikwa?

Mtu anayezeeka sio wa kumkumbatia sana, CDM cHAMA CHA VIJANA kwa hiyo hata Slaa ni kijana???watakwambia ndio!!!aibu hawana
Umeona namna walivyohalalisha ishu ya kumpora mtu mkee? hawa ndio CDM Wanavyuo Wanaharakati na magreat thinkers

vyuoni hapakaliki kisa Slaa,yaan always maneno ya slaa ni dhahabu kwao na hukaririwa.
 
Ni mpuuzi sana. Tarehe 5 Januari katika uwanja wa Unga Ltd, Arusha alipotangaza kuwa atahakikisha nchi haitawaliki unadhani ni maneno ya mtu anayeitakia mema nchi hii?? Huyu hajawahi kuwa na familia ya kwake mwenyewe ndiyo maana hajui maana ya nchi kutotawalika. CHEAP POPULARITY.

mbona kazi alishamaliza siku nyingi....kwa uelewa wako nchi hii ina utawala...?
 
Mbona Misri wamewasha moto..hata hapa moto uwake tu hata leo. Wao wale na kusaza wakati sisi tunashindia kipande cha nguru? Au wewe kwako kuwa na amani maana yake ni nini?

Ungeishi enzi za Vita vya Kagera usingeandika upupu wako huu. Yaani unataka wa-TZ tuwe tu watu wa copy and paste!!! Nakushangaa.
 
Enyi wana CDM na wanaharakati wote

Baada ya kusoma maoni ya wengi nimegundua kuwa wanaJF hawataki aguswe Dr. Slaa kwa baya lolote. Namheshim Dr. Slaa ni msomi mwanaharaki mwenye ubongo uliohai ILA KWA NINI wanainchi wanamchukulia kuwa HAKOSEI?

(imefikia pahala TUMAINI University wanataka Dr. Slaa apewe saa nne za kulecture pale chuoni kila mwezi ili kufufua uzalendo kama vile hii nchi haina mzalendo mwingine)

KOSA NI KWA WENGINE ila makosa ya Dr. Slaa huitwa critical analysed ideas hence FACTS+media coverage mara gafla HUGEUKA MSIMAMO WA WANAINCHI.
BE BLESSED,,,,,,,,,, Huja analyze vizuri article yako lakini inaeleweka kwa yeyote mwenye akili timamu. akili ambazo haziongozwi na ushabiki maandazi kama walivyo wengi humu
 
Wewe unadhani Dr. Slaa ni fisadi kama hao Mafisadi Papa RA, EL na chenge mzee wavisenti??? Acha utoto!!!

Dr. Slaa ni fisadi kwani amepora mke wa mtu, huo sio ufisadi ? tafuta maana ya neno fisadi utajua kuwa nae yumo
 
Enyi wana CDM na wanaharakati wote

Baada ya kusoma maoni ya wengi nimegundua kuwa wanaJF hawataki aguswe Dr. Slaa kwa baya lolote. Namheshim Dr. Slaa ni msomi mwanaharaki mwenye ubongo uliohai ILA KWA NINI wanainchi wanamchukulia kuwa HAKOSEI?

(imefikia pahala TUMAINI University wanataka Dr. Slaa apewe saa nne za kulecture pale chuoni kila mwezi ili kufufua uzalendo kama vile hii nchi haina mzalendo mwingine)

KOSA NI KWA WENGINE ila makosa ya Dr. Slaa huitwa critical analysed ideas hence FACTS+media coverage mara gafla HUGEUKA MSIMAMO WA WANAINCHI.

Kama wewe huoni contribution ya Dr Slaa naona ni kipofu na kiziwi na inawezekana kabisa you have both. Unataka tukuonyeshe au tuanze kufafanua jinsi gani Dr Slaa na Chadema kiujumla have change Tanzania? Moja tu ni kujulishe ni kwamba "Tanzania ipo kwenye Transition na Dr Slaa he is providing a Driving force here" Maswala mengi yanayo mhusu Mtanzania Chadema imeweza kuyazungumiza na yamegusa every fabric parts of the country na kwa taarifa yako huu umuhimu wa Katiba kama hujauona machoni pake maybe utauona tena. Tanzania tutakapo andika hii Katiba the history will go back who introduce and push for your rights. It's seem that wewe bado hujatambua umuhimu wa New Constitution maishani kwako na mapambano ya wananchi na Criminals-CCM? Any way sijui kama JF itakusaidia kama hujafikia ukuaji wa namna fulani hapa...JF sio mahali pa kukesha kulumbana tu ni platform for education too, I hope you are learning something today. Wewe tafuta wanaCCM wakupe lecture jinsi gani wamekutia umaskini kama utakaa kumaliza hayo, may utaishia kutoka kwa kichefuchefu na kutapika. Good luck...
 
slaa wanamwangalia kama kiongozi wa dini zaidi kuliko wa siasa,hivyo kusema kakosea never,hata akinya barabarani watashangilia na kuwataka wengine waige uzalendo wa slaa
 
Mkuu nadhan hata wewe unashaliona hili kuwa kandia wote ila sio Dr Slaa, nakiri tunamatatizo pale LUMUMBA, mbona JF hawaruhusu kabisa mabaya ya Slaa kuanikwa?

Mtu anayezeeka sio wa kumkumbatia sana, CDM cHAMA CHA VIJANA kwa hiyo hata Slaa ni kijana???watakwambia ndio!!!aibu hawana
Umeona namna walivyohalalisha ishu ya kumpora mtu mkee? hawa ndio CDM Wanavyuo Wanaharakati na magreat thinkers

vyuoni hapakaliki kisa Slaa,yaan always maneno ya slaa ni dhahabu kwao na hukaririwa.
absolutely yes!!!! maneno ya Dr.(Phd) ni Gold kabisaaaaa kwangu!!!!! we ulitaka maneno ya JK yale ya kishankupe na ya kimbayuwayu yasiyotekelezeka ndo yawe dhahabu?????? never!!!!!!!!! :peace:
 
KAKA KIIZA!!! Hapa swala si kwamba CCM tunawabaya wangapi? ni ile hali ya nyie kutaman kuisikia sauti ya Dr. Slaa hata kama anakohoa.
Wahariri na waandishi nao wamepotoka kwa huyu jamaa kuna siku magazeti yatatoka na headline Dr. Slaa atakula wali samaki leo na ninyi siku hiyo lazima mule wali samaki hata kama kuna walio na allergy ya samaki.
 
Enyi wana CDM na wanaharakati wote

Baada ya kusoma maoni ya wengi nimegundua kuwa wanaJF hawataki aguswe Dr. Slaa kwa baya lolote. Namheshim Dr. Slaa ni msomi mwanaharaki mwenye ubongo uliohai ILA KWA NINI wanainchi wanamchukulia kuwa HAKOSEI?

(imefikia pahala TUMAINI University wanataka Dr. Slaa apewe saa nne za kulecture pale chuoni kila mwezi ili kufufua uzalendo kama vile hii nchi haina mzalendo mwingine)

KOSA NI KWA WENGINE ila makosa ya Dr. Slaa huitwa critical analysed ideas hence FACTS+media coverage mara gafla HUGEUKA MSIMAMO WA WANAINCHI.

Hapo umenena. Unajua wengi wanafikiri MATOKEO ya madai ya katiba mpya ni SLAA kuingia madarakani, na tuwaulize shwali hili dogo endapo katiba mpya itaandikwa na SLAA asiingie ikulu watadai nyingine? watu tuwe n amawazo ya kufikri badala ya mawazo kugundisha kwa super glue. Kama huoni udhaifu hata mmoja wa SLAA wewe hufai, kwani wao kwa wao SLAA, MBOYE, ZITTO, LISU,MNYIKA, MDEE na wengine wengi kila mmoja anajua udhaifu wa mwingine
 
Enyi wana CDM na wanaharakati wote

Baada ya kusoma maoni ya wengi nimegundua kuwa wanaJF hawataki aguswe Dr. Slaa kwa baya lolote. Namheshim Dr. Slaa ni msomi mwanaharaki mwenye ubongo uliohai ILA KWA NINI wanainchi wanamchukulia kuwa HAKOSEI?

(imefikia pahala TUMAINI University wanataka Dr. Slaa apewe saa nne za kulecture pale chuoni kila mwezi ili kufufua uzalendo kama vile hii nchi haina mzalendo mwingine)

KOSA NI KWA WENGINE ila makosa ya Dr. Slaa huitwa critical analysed ideas hence FACTS+media coverage mara gafla HUGEUKA MSIMAMO WA WANAINCHI.

Sidhani kama kuna mtu aliyewahi kujitokeza hadharani akaseam kuwa Slaa hakosei. Ila kwa sasa hebu tuambie kakosea nini?
 
Ni mpuuzi sana. Tarehe 5 Januari katika uwanja wa Unga Ltd, Arusha alipotangaza kuwa atahakikisha nchi haitawaliki unadhani ni maneno ya mtu anayeitakia mema nchi hii?? Huyu hajawahi kuwa na familia ya kwake mwenyewe ndiyo maana hajui maana ya nchi kutotawalika. CHEAP POPULARITY.
wewe ulimwelewaje kwa kauli yake hiyo?, unauhakika Dr hajawahi kuwa na familia?, ningekueleza zaidi kuhusu familia yake ila naona ni jambo la dr binafsi zaidi na halitusaidi kitaifa....
 
slaa wanamwangalia kama kiongozi wa dini zaidi kuliko wa siasa,hivyo kusema kakosea never,hata akinya barabarani watashangilia na kuwataka wengine waige uzalendo wa slaa
 
BE BLESSED,,,,,,,,,, Huja analyze vizuri article yako lakini inaeleweka kwa yeyote mwenye akili timamu. akili ambazo haziongozwi na ushabiki maandazi kama walivyo wengi humu
sijapewaga thanks tokea nijiunge JF kwa sababu yakuhoji mambo muhimu.ukitaka sredi yako iwe na wachangiaji wengi wengi andika HAJAWAI KUTOKEA DUNIANI MTU MAKINI KAMA SLAA hapo utaona nanma JF ilivyopoteza mwelekeo.
 
Back
Top Bottom