Dr. Slaa amuonya vikali Spika Anne Makinda

Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
vivyo hivyo pia bunge siyo idara ya ccm. huwezi kuchukua maelekezo ya chama ukaendeshea bunge. mtu akisema taifa linaloongozwa na ccm linaua na kuwatesa waandishi wa habari kamchochea nani dhidi ya nani? ni sawa na kusema hata shuleni tusitathmini hali ya taifa na mustakabali wake. kama hamkutaka watu wawaseme kwanini mliwateka na kuwauwa baadhi ya waandishi?
 

A lady at work....!
 

Kichwa cha Nazi kama kuna binadamu yuko kama tahira kutaka kuchezea moyo wa watanzania kama Warioba hajatikisika mbona hajatoa Rasimu si alikuwa aitoe toka tarehe 28 mwezi April leo tarehe ngapi ,na bado lazima tume ya katiba ifuate utaratibu wa kuendesha zoezi kwa kufuata sharia za nchi Warioba hayuko juu ya sharia za nchi
 
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Nilidhani kuwa hakuna Mtanzania ambae hajui kilichmpata Dr. Ulimboka au Absalom Kibanda na wengine wengi. Kama kuna mtanzania anaamini kuwa kuongelea tafsiri ya matukio kama haya ni sawa na kuleta majungu Bungeni, basi Napata mashaka na uzalendo na hata umakini wa mtu kama huyo hasahasa kwenye mambo muhimu yenye sura ya uvunjifu wa amani kama haya
 
Hahaaa kumbe mtu anaweza sikiliza bunge bila kuangalia TBC!
Unacheka cheka nini? umeshajazwa upepo nini? ok Mburula unaweza kusikiliza bila kuangalia, ama unaweza angalia kupitia radio, ama hujui kuna TBC Radio? Uwezo wenu wa kufikiri vijana wa Lumumba ni mdogo sana, someni PL, mpate kujitambua.
 
Liberatus Barlow aliuwawa na nani?.
 
slaa ndiye anapaswa kukaripiwa kwa kumwandaa josephine kugombea jimbo la kawe na wakati mdee hajamaliza mda wake kwa nini yeye asikalipiwe anajidai kukalipia wengine.
 

Unaweza kutaja agenda za maCCM "Maalumu" kwa watanzania? kung`oa watu kucha na kutesa wataalamu?
 

mkuu shonza, nakubaliana na wewe kwa asilimia mia. wewe najua una uzoefu wa kutosha juu ya uadilifu wa dr slaa na wasaidizi wake. tunahitaji sana mawazo yako na nashukuru umekuwa ukijitokeza mara kwa mara kueleza ukweli. najua chadema wanakuchukia sana wewe na mwampamba kwa kusema ukweli daima. ni kutokana na hali hiyo ndo maana mkakati ukaandaliwa na ambao uliumbuliwa humu jf kuwa chadema wametenga kiasi kikubwa cha pesa kuwaua wewe na mwampamba. hii inadhihirisha ni kwa kiasi gani hawa watu hawataki kukosolewa. je wakichukua nchi hali itakuwaje? nadhani wataenda beyond na kung'oa watu kucha na meno kwa kutumia koleo na bila ganzi. Dr Slaa anapandikiza mbegu mbaya sana kwa ustawi wa demokrasia nchini. anahamasisha pia watoto wadogo kama akina mnyika na sugu wawavunjie heshima viongozi wa serikali ambao hawalingani hata chembe ya elimu, umri na uadilifu. kitendo cha kuhamasisha wabunge wa chadema waseme upuuzi bungeni ni utovu wa nidhamu
 
Hahahahaha!....wewe utakuwa mmoja wa wale waliopata div 0 sasa wanawachakachuliwa ili muonekane mna akili...hata wakifanyaje? Mwisho wa siku "the cream always rises to the top"....pole sana wewe na serikali yako

You're just making noise for nothing. Kwa kukusaidia katika maisha yako yanayoakisiwa na mapungufu ya msingi katika maisha.

A shuthole is the same as silence; stop talking; be quiet; shut up

Jaribu kufanya uchunguzi kwanza kabla hujafungua mdomo wako.
 
slaa ndiye anapaswa kukaripiwa kwa kumwandaa josephine kugombea jimbo la kawe na wakati mdee hajamaliza mda wake kwa nini yeye asikalipiwe anajidai kukalipia wengine.

CD ya zamani hizo...
 
chadema pia walipanga kumuuwa zito na mama yake hata wangwe vipi kuhusu msaki denisi,acheni kupakazia watu mkuu.
 

Wewe nawe umekua mwanasiasa au njaa tu zinakusumbua.Ila jitahidi kuwavulia pichu wanaweza kuwakumbuka.
 
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.

serukamba
 
kwa akili yako unafikili matusi yatakusaidia kitu kila mtu anajua matusi ila wanajiheshimu na wakiamua kukutukana mpaka utajificha hata uvunguni.
 

Tabia ya kugeuza ukweli kuwa uwongo na uwongo kuwa ukweli...ni ya ibilisi!!
Wabunge wa CCM kila mtu anajua ndio waongo wakuu wana pitisha vitu bungeni kwa kushangilia ..lkn maisha ya mtanzania wa kawaida yanazidi kuwa magumu kila siku!!!!!

Sasa nani muongo hapa!!
 
Hasira ndo zinasababbisha....ntarekebisha mkuu...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…