Starnyota
Member
- Jul 31, 2015
- 37
- 12
Mageuzi ni muhimu kuliko ndoto na malengo binafsi.
Ndicho kinachomsumbua Mzee huyu.
Mageuzi ni muhimu kuliko ndoto na malengo binafsi.
slaa ana msimamo wake tofauti na lipumba ambaye anaonekana kuwa na tamaa
slaa na lipumba wana akili kuliko mamilioni ya wanaukawa wanaotembea kama misukule wakifuata mawazo ya mbowe bila hata tafakuri
Nenda Dk. Slaa hakika utaishi ndani ya moyo wangu mpaka kufa kwangu, hakika wewe ni mwanasiasa pekee hapa Tanzania kuwahi kutokea ***Mungu akubariki Dk****
Unaona raha sana kufarakanisha eh? Mbona sijaona tusi kokote hapa, au macho yangu hayaoni? swala la Dr. Slaa bwana ni la kuacha kama lilivyo na utashi wake uheshimiwe maana hapa tunajaribu tu kufikiri na labda ziko nyingi. All in all anachotakiwa tu kukumbuka Dr. ni kuwa Lowasa nae ni mwanadamu, ampe chance ya kuprove wrong tuhuma zote anazotupiwa na alitotuhumiwa kwa kuwatumikia watanzania kiukweli. Watu hubadilika kwa hiyo si vyema kushikilia makosa ya zamani kihivyooo. Hata yeye alibadilika, alikuwa kasisi awali akaacha, tumhukumu? No tunaheshimu utashi wake
Nakupenda sana Dk,ila nafikiri ulichokipanda moyoni mwetu ni uzalendo na mabadiliko..na ndo haya yamekuja na wewe unatutosa...hatutaenda na wewe ila kweli tutakukumbuka!
...aende tu akapumzike....hatutommiss kabisa....wako watu wanaoweza kufanya yale aliyotakiwa kufanya...yeye aende tu akapumzike na mke wa mtu....btw...aende na pesa zake kupumzika na si za chama...muda wa kuwalealea hawa wazee wenye ubinafsi umekwisha...waachwe tu wapumzike....nasikitika sana napoona slaa anachukia lowassa kuhamia chadema wakati naye slaa alihamia chadema kutoka huko huko ccm....hizi double standards zinaonyesha ubinafsi wa hali ya juu wa mzee huyu....
Dr.Slaa ana akili sana upumbavu uliofanywa na chadema hauvumiliki kwakweli.
Dr.Slaa ana akili sana upumbavu uliofanywa na chadema hauvumiliki kwakweli.