Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Amefika Bei??
Hakufika BEI alipokuwa anainadi CDM atafika BEI leo alipoifikisha mpaka FISADI LOWASSA anaiona CDM?Mtakuwa wa choyo wa fadhila.Tusipende kuamini kila kitu kiandikwacho kwenye haya magazeti yanayotafuta profit kwa damu za watanzania.