Dr. Slaa amfuata Lipumba

Dr. Slaa amfuata Lipumba

Kuna baadhi ya magazeti nikimkuta mtu anayasoma natia mashaka juu ya akili yake...
 
Nenda Dk. Slaa hakika utaishi ndani ya moyo wangu mpaka kufa kwangu, hakika wewe ni mwanasiasa pekee hapa Tanzania kuwahi kutokea ***Mungu akubariki Dk****

Utaitwa msaliti
 
...aende tu akapumzike....hatutommiss kabisa....wako watu wanaoweza kufanya yale aliyotakiwa kufanya...yeye aende tu akapumzike na mke wa mtu....btw...aende na pesa zake kupumzika na si za chama...muda wa kuwalealea hawa wazee wenye ubinafsi umekwisha...waachwe tu wapumzike....nasikitika sana napoona slaa anachukia lowassa kuhamia chadema wakati naye slaa alihamia chadema kutoka huko huko ccm....hizi double standards zinaonyesha ubinafsi wa hali ya juu wa mzee huyu....
 
Si rahis kabisa kwa namna yoyote ile huyu ndugu yenu aende ikulu, mtajifariji wee, mtajipa matumaini weee, mtanunu bodaboda ili kuwaaaminisha watanzania kuwa mnakubalika lakini mwisho wa siku mtashangaa macho yenu, hii nchi si ya wahuni, ni nchi inayoendeshwa kwa misingi ya kidemokrasia na ustarabu. Magufuli ana record yake nzuri tu ambayo ameipata chini ya mfumo huu huu tena amaeshine kweli. ebu waza kidogo na 25.10.2015 mpe mamlaka kamili uone kazi itakavyokuwa mchakamchaka, sio wale wanaoimba mchaka mchaka wakati hawawezi huo mchakamchaka

Luckman Sikia ,kama una muda fanya simple research hapo ulipo Kwa kuuliza maswali yafuatayo Kwa idadi ya watu kumi tu ila wewe wamejiandikisha :mosi, wangapi watapigia kura ukawa, pili wangapi wanamtaka lowasa kama Rais na uweke angalizo watu hao wawe independent wasiwe kwenye taasisi ya uma kwani mfumo unawabana lakini majibu yao wengi ni ukawa kulingana na manyanyaso wayapatayo hasa mishahara midogo na hapo ndipo utapata jibu Kwanini tunasema wakati huu ni wa ukawa mimi mwenyewe ni mtumishi wa uma mwenye level ya masters degree kwenye uhasibu je wewe pengine hata maisha yangu ni mazuri kuliko wewe/ninyi lakini mmeng'ang'ana na mfumo wa hovyo kabisa wakati wenye nafuu wenyewe hawaipendi CCM ni ajabu ya watanzania wasiofikiri Kwa mapana.
 
monduli ingekiwa safi wamasai wasingekuwa wanalala nje na kuuza ugoro

Wauza ugoro hata mwz, arusha , mbeya na kwingineko wapo kwani ulinganifu wa maendeleo unaangalia majority walikotoka na walipo na kasi ya maendeleo yenyewe. Wamasai walikuwa mojawapo ya makabila yaliyokuwa nyuma Sana kimaendeleo fika leo monduli uone ilivyo. Mimi msukuma ila nampigia kura yangu na hata wanaonitegemea kiuchumi lazima wafanye hivyo tofauti na hivyo natoa economic sanctions kwao na wale wabishi nitawaomba wanikabidhi kadi zao na nitawarudishia baada ya uchaguzi lengo wasiyapigie kura majizi ya CCM.
 
Haya magazeti ya Chama kinachokufa ni shida tupu... RIP CCM
 
Mageuzi ni muhimu kuliko ndoto na malengo binafsi.
Khaa!! Umekosea sana. Kila kitu maishani huanzia kwenye ubinafsi kisha kwenye jamii hadi taifa. Tusidanganyane bana
A%20S-smoking.gif
 
Kuna watu uelewa wao ni mdogo sana, na hawa ni wale bendera fuata upepo....Dr Slaa huwezi kumlinganisha na mwanasiasa yeyeto hapa Tanzania...Kwa uadilifu, kusimamia uadilifu na misingi. He was for real change na kujenga institution imara ya CHADEMA, CHADEMA imekuwa maarufu sababu ya kusimamia maadili...baada ya uchaguzi ni nini kitawatofautisha CHADEMA na CCM?
Wale vijana msojielewa aacheni kumkebehi Slaa....sababu hammjui na hamuelewi. Kwa ajili ya kuanza upya baada ya uchaguzi mkuu....poa but hakutakuwa na chadema imara.
 
Lakini ninachojua hata mumeo yupo ukawa au umeolewa na jamaa mwingine tena?

Wewe kijana, Kwa nini usijenge hoja kuliko kutukana na kukashifu? Unataka kuniambia wewe ni mfano wa akili za watu wengi wanaojifanya wanataka mabadiliko bila kujuwa ni mabadiliko yapi?
 
Wewe kijana, Kwa nini usijenge hoja kuliko kutukana na kukashifu? Unataka kuniambia wewe ni mfano wa akili za watu wengi wanaojifanya wanataka mabadiliko bila kujuwa ni mabadiliko yapi?
Hizo ambazo unajenga wewe mbona sizioni? au masaburi yanakuwasha nikutafutie njemba
 
Jamani kama yeye anakataa kuikomboa tanzania yeye nigamba tuuuuuuuuuuu......aende zake
 
Hizo ambazo unajenga wewe mbona sizioni? au masaburi yanakuwasha nikutafutie njemba

Kwa aina hii ya Raia...ni ngumu sana nchi hii kuendelea. Sina uhakika kama ndo inabarehe! Either pia sijui kama unavuta bangi au uliwahi kutumia aina yoyote ile ya madawa ya kulevya. All in all I can classify and put you in a mentaly disorder group of people.

Hongera Kwa kufahamu kuandika, kuaccess Internet na kujuwa kutumia aina ya computer unayotumia kufika jamii forums. Kwa matusi yako haya soon ban itakuhusu. Badilika.
 
Nenda Dk. Slaa hakika utaishi ndani ya moyo wangu mpaka kufa kwangu, hakika wewe ni mwanasiasa pekee hapa Tanzania kuwahi kutokea ***Mungu akubariki Dk****

Hicho chumba atakachoishi moyoni mwako ni no ngapi? Watu mnachekesha sana,hivi Slaa anaweza kisimama na Magufuri akapata hata asilimia 15%:what:
 
Hicho chumba atakachoishi moyoni mwako ni no ngapi? Watu mnachekesha sana,hivi Slaa anaweza kisimama na Magufuri akapata hata asilimia 15%:what:

Kwa Mwaka huu chadema.kama.mgombea angekuwa Dr Slaa tungepigwa vibaya na viti vingi vya.ubunge tungepoteza
 
hakika dr. slaa umeonesha ukomavu wa kisiasa yakhe, kwa kauli yako utaishi kwa kula mihogo kuliko kuisaliti nafsi, pia `mkeo` kasema yeye alishaanza uza mkaa kitambo. hakika wewe ni philosopher, wanaofikiri taratibu watakuja jua baadaye unachokimaanisha kwa sasa.
 
Back
Top Bottom